Rais Samia awaleta Global Tree na uwekezaji wa TZS 230BL Tanzania

Mwanahabari wa Taifa

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2020
Posts
1,588
Reaction score
956
===
Ajira hizo Watanzania wenzangu, kidogo kidogo tu mtamwelewa na mtaelewa nia njema za mama yetu mnyenyekevu Mhe Samia Suluhu Hassan kwenye safari zake za nje,

Dodoma, Tanzania.

Naibu wa Waziri wa Kilimo Mhe. Hussein Bashe ameongoza jopo la serikali katika Mazungumzo ya awali na kampuni ya Global Tree ambayo inajihusisha na miradi ya kimazingira kwenye kilimo.

Mheshimiwa Bashe amesema “Mazungumzo yetu ya awali yamejikita zaidi kuandaa mradi mkubwa wa kupanda mazao yenye asili ya miti ambayo itamsaidia mkulima kupata kipato na sio tu kuwa na pori ambalo siku ya mwisho mkulima itamchukua muda mrefu kupata mapato ya moja kwa moja.”

Bashe anaendelea kusema kuwa “Mazungumzo haya yanalenga kuanzisha kituo cha pamoja ambapo kupitia taasisi zetu za TARI na ASSA watakuwa na jukumu la kuanzisha Vitalu na miundombinu ya Umwagiliaji kwa ajili ya miche ya Korosho, Kakao, Makademia (Katanga Miti), Michikichi na Kahawa.”

Aidha Bashe alipoulizwa kuhusu muundo wa utekelezaji wa mradi alisema “Mradi huu utakua wa ushirikiano wa pamoja baina ya serikali na sekta binafsi (PPP) na miti hii itakua ni ile ambayo tunazalisha wenyewe Kwa njia za asili pamoja na njia za kisasa za urutubishahi.”

Kuhusu gharama za mradi Bashe alisema “Mpango wa uwekezaji wa mradi huu una thamani ya dola za kimarekani Milioni mia moja sawa na zaidi ya shilingi za kitanzania bilioni mia mbili thelathini.”

Aidha, uwekezaji huu utajikita katika kumuwezesha mkulima bila kuwa na mzigo wa kulipia gharama za awali za uwekezaji kwakua Mradi huu mbali na kuwa na tija kwenye kilimo pia utakuwa mradi wenye toja kubwa kwenye mazingira huku lengo la msingi likuwa ni kuboresha maisha ya watanzania wengi wanaotegemea kilimo kama sehemu ya msingi ya kipato cha kuendeshea familia.

Naibu Waziri Bashe aliongeza ya kuwa “Hata hivyo bado tunachangamoto nyingi kwenye sekta ya kilimo ingawa mabadiliko na muelekeo wetu wa kisera juu ya kuruhusu uwekezaji binafsi kwenye sekta hii Kwa sehemu kubwa utatatua changamoto hizi hasa za mitaji kwa wakulima wadogo na kuongeza tija ya Kilimo.”

IMG-20211216-WA0031.jpg

IMG-20211216-WA0030.jpg

IMG-20211216-WA0029.jpg
 
View attachment 2045762

View attachment 2045763

View attachment 2045764
Safi Sana kila la heri
 
'...Aidha, uwekezaji huu utajikita katika kumuwezesha mkulima bila kuwa na mzigo wa kulipia gharama za awali za uwekezaji...' Hapa ndo nina shida na huu uwekezaji. Ukisikia mwekezaji anasema mkulima ataandaa shamba na kutunza shamba halafu pembejeo zote atapewa huwa kuna mambo mawili ya kumnyonya mkulima. Kwanza pembejeo hizo mara nyingine zinakuwa si za lazima ila ni dili la mtu anataka auze hizo pembejeo. Pili mwekezaji anahesabu pembejeo zilizotumika na mwisho mkulima huyo anakatwa. Mwisho wa siku anayefaidika ni mwenye pembejeo na mwekezaji. Mkulima asipokuwa mwangalifu anaweza kuishia kudaiwa na mara nyingi wanaolipa deni hilo ni wanakikundi.
 
Habari njema sana hii kwa Tanzania,

Kama kuna mtu wa kumlinda kwa kila hali basi ni Rais Samia Suluhu Hassan,

Mungu ibariki Tanzania,
Mungu mbariki Rais Samia Suluhu Hassan
Kwakweli anastahili kulindwa kwa wivu mkubwa sana.
 
===
Ajira hizo Watanzania wenzangu, kidogo kidogo tu mtamwelewa na mtaelewa nia njema za mama yetu mnyenyekevu Mhe Samia Suluhu Hassan kwenye safari zake za nje,

Dodoma, Tanzania.

Naibu wa Waziri wa Kilimo Mhe. Hussein Bashe ameongoza jopo la serikali katika Mazungumzo ya awali na kampuni ya Global Tree ambayo inajihusisha na miradi ya kimazingira kwenye kilimo.

Mheshimiwa Bashe amesema “Mazungumzo yetu ya awali yamejikita zaidi kuandaa mradi mkubwa wa kupanda mazao yenye asili ya miti ambayo itamsaidia mkulima kupata kipato na sio tu kuwa na pori ambalo siku ya mwisho mkulima itamchukua muda mrefu kupata mapato ya moja kwa moja.”

Bashe anaendelea kusema kuwa “Mazungumzo haya yanalenga kuanzisha kituo cha pamoja ambapo kupitia taasisi zetu za TARI na ASSA watakuwa na jukumu la kuanzisha Vitalu na miundombinu ya Umwagiliaji kwa ajili ya miche ya Korosho, Kakao, Makademia (Katanga Miti), Michikichi na Kahawa.”

Aidha Bashe alipoulizwa kuhusu muundo wa utekelezaji wa mradi alisema “Mradi huu utakua wa ushirikiano wa pamoja baina ya serikali na sekta binafsi (PPP) na miti hii itakua ni ile ambayo tunazalisha wenyewe Kwa njia za asili pamoja na njia za kisasa za urutubishahi.”

Kuhusu gharama za mradi Bashe alisema “Mpango wa uwekezaji wa mradi huu una thamani ya dola za kimarekani Milioni mia moja sawa na zaidi ya shilingi za kitanzania bilioni mia mbili thelathini.”

Aidha, uwekezaji huu utajikita katika kumuwezesha mkulima bila kuwa na mzigo wa kulipia gharama za awali za uwekezaji kwakua Mradi huu mbali na kuwa na tija kwenye kilimo pia utakuwa mradi wenye toja kubwa kwenye mazingira huku lengo la msingi likuwa ni kuboresha maisha ya watanzania wengi wanaotegemea kilimo kama sehemu ya msingi ya kipato cha kuendeshea familia.

Naibu Waziri Bashe aliongeza ya kuwa “Hata hivyo bado tunachangamoto nyingi kwenye sekta ya kilimo ingawa mabadiliko na muelekeo wetu wa kisera juu ya kuruhusu uwekezaji binafsi kwenye sekta hii Kwa sehemu kubwa utatatua changamoto hizi hasa za mitaji kwa wakulima wadogo na kuongeza tija ya Kilimo.”

View attachment 2045762

View attachment 2045763

View attachment 2045764
Mimi mawaziri wenye kupenda viprojekt vya kuletewa na mikutano ofisini na wajasiriamali wazungu nakua na mashaka kama kweli kuna interest ya binafsi kwa eaziri au kitu kina manufaa kwa nchi. Nyingi miradi kama hii inakuja kama upepo halafu ilipoishia huwezi kujua. Kwani project kama hilo lazima itoke nje tena kwa kukopa hela kwa hao watu?
 
===
Ajira hizo Watanzania wenzangu, kidogo kidogo tu mtamwelewa na mtaelewa nia njema za mama yetu mnyenyekevu Mhe Samia Suluhu Hassan kwenye safari zake za nje,

Dodoma, Tanzania.

Naibu wa Waziri wa Kilimo Mhe. Hussein Bashe ameongoza jopo la serikali katika Mazungumzo ya awali na kampuni ya Global Tree ambayo inajihusisha na miradi ya kimazingira kwenye kilimo.

Mheshimiwa Bashe amesema “Mazungumzo yetu ya awali yamejikita zaidi kuandaa mradi mkubwa wa kupanda mazao yenye asili ya miti ambayo itamsaidia mkulima kupata kipato na sio tu kuwa na pori ambalo siku ya mwisho mkulima itamchukua muda mrefu kupata mapato ya moja kwa moja.”

Bashe anaendelea kusema kuwa “Mazungumzo haya yanalenga kuanzisha kituo cha pamoja ambapo kupitia taasisi zetu za TARI na ASSA watakuwa na jukumu la kuanzisha Vitalu na miundombinu ya Umwagiliaji kwa ajili ya miche ya Korosho, Kakao, Makademia (Katanga Miti), Michikichi na Kahawa.”

Aidha Bashe alipoulizwa kuhusu muundo wa utekelezaji wa mradi alisema “Mradi huu utakua wa ushirikiano wa pamoja baina ya serikali na sekta binafsi (PPP) na miti hii itakua ni ile ambayo tunazalisha wenyewe Kwa njia za asili pamoja na njia za kisasa za urutubishahi.”

Kuhusu gharama za mradi Bashe alisema “Mpango wa uwekezaji wa mradi huu una thamani ya dola za kimarekani Milioni mia moja sawa na zaidi ya shilingi za kitanzania bilioni mia mbili thelathini.”

Aidha, uwekezaji huu utajikita katika kumuwezesha mkulima bila kuwa na mzigo wa kulipia gharama za awali za uwekezaji kwakua Mradi huu mbali na kuwa na tija kwenye kilimo pia utakuwa mradi wenye toja kubwa kwenye mazingira huku lengo la msingi likuwa ni kuboresha maisha ya watanzania wengi wanaotegemea kilimo kama sehemu ya msingi ya kipato cha kuendeshea familia.

Naibu Waziri Bashe aliongeza ya kuwa “Hata hivyo bado tunachangamoto nyingi kwenye sekta ya kilimo ingawa mabadiliko na muelekeo wetu wa kisera juu ya kuruhusu uwekezaji binafsi kwenye sekta hii Kwa sehemu kubwa utatatua changamoto hizi hasa za mitaji kwa wakulima wadogo na kuongeza tija ya Kilimo.”

View attachment 2045762

View attachment 2045763

View attachment 2045764
Ondoa kabisa hilo neno mnyenyekevu. Huyu ni mnafiki. Hawezi kuwa mnyenyekevu wala kuwa mcha Mungu. Sifa kuu ya mtu mnyenyekevu na mcha Mungu ni ukweli na kutenda haki.

Mnyenyekevu hawezi kuwabambikia watu kesi za uwongo. Hawezi kuwadanganya watu. Na hawezi kutaka kuabudiwa.
 
Back
Top Bottom