Vugu-Vugu
JF-Expert Member
- Feb 24, 2017
- 1,381
- 1,600
HowUmaskini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HowUmaskini
Fact, Nakubaliana na wewe mjomba 100%Kamari haiwezi kukutajirisha zaidi ya umaskini
Kwenye betting za huku niliko kuna warning kabisa kwenye kila mchezo kuwa kama umekuwa addicted omba msaada haraka
Inaleta umasikini na depression pia
Wenye betting companies ndio wanaofaidi kila mara
Msome Dennis Coates anaemiliki Bet365 anajilipa bonus kiasi gani
Ni billionaire wa [emoji636]
Unacheza anatajirika mwingine
===
Ajira hizo Watanzania wenzangu, kidogo kidogo tu mtamwelewa na mtaelewa nia njema za mama yetu mnyenyekevu Mhe Samia Suluhu Hassan kwenye safari zake za nje,
Dodoma, Tanzania.
Naibu wa Waziri wa Kilimo Mhe. Hussein Bashe ameongoza jopo la serikali katika Mazungumzo ya awali na kampuni ya Global Tree ambayo inajihusisha na miradi ya kimazingira kwenye kilimo.
Mheshimiwa Bashe amesema “Mazungumzo yetu ya awali yamejikita zaidi kuandaa mradi mkubwa wa kupanda mazao yenye asili ya miti ambayo itamsaidia mkulima kupata kipato na sio tu kuwa na pori ambalo siku ya mwisho mkulima itamchukua muda mrefu kupata mapato ya moja kwa moja.”
Bashe anaendelea kusema kuwa “Mazungumzo haya yanalenga kuanzisha kituo cha pamoja ambapo kupitia taasisi zetu za TARI na ASSA watakuwa na jukumu la kuanzisha Vitalu na miundombinu ya Umwagiliaji kwa ajili ya miche ya Korosho, Kakao, Makademia (Katanga Miti), Michikichi na Kahawa.”
Aidha Bashe alipoulizwa kuhusu muundo wa utekelezaji wa mradi alisema “Mradi huu utakua wa ushirikiano wa pamoja baina ya serikali na sekta binafsi (PPP) na miti hii itakua ni ile ambayo tunazalisha wenyewe Kwa njia za asili pamoja na njia za kisasa za urutubishahi.”
Kuhusu gharama za mradi Bashe alisema “Mpango wa uwekezaji wa mradi huu una thamani ya dola za kimarekani Milioni mia moja sawa na zaidi ya shilingi za kitanzania bilioni mia mbili thelathini.”
Aidha, uwekezaji huu utajikita katika kumuwezesha mkulima bila kuwa na mzigo wa kulipia gharama za awali za uwekezaji kwakua Mradi huu mbali na kuwa na tija kwenye kilimo pia utakuwa mradi wenye toja kubwa kwenye mazingira huku lengo la msingi likuwa ni kuboresha maisha ya watanzania wengi wanaotegemea kilimo kama sehemu ya msingi ya kipato cha kuendeshea familia.
Naibu Waziri Bashe aliongeza ya kuwa “Hata hivyo bado tunachangamoto nyingi kwenye sekta ya kilimo ingawa mabadiliko na muelekeo wetu wa kisera juu ya kuruhusu uwekezaji binafsi kwenye sekta hii Kwa sehemu kubwa utatatua changamoto hizi hasa za mitaji kwa wakulima wadogo na kuongeza tija ya Kilimo.”
View attachment 2045762
View attachment 2045763
View attachment 2045764
DaaahUkiwatazama tu usoni, utabaini ya kwamba hawana tofauti kabisa na yule muwekezaji wa treni ya Mwakyembe.

Hapana alistahili kua Rais wa MPITO TU, baada ya 2025 anawaachia wenye uwezo nayo."Kama Katiba ingeruhusu Mhe Samia Suluhu Hassan hakupashwa kuwa Rais wa mihula miwuli pekee,
Huyu Mama walau kwa Uchache angestahili miaka walau 15 "
Kazi ndio zinamweka hadi 2030Hapana alistahili kua Rais wa MPITO TU, baada ya 2025 anawaachia wenye uwezo nayo.
Tuendelee na kazi, Mambo ni mazuri sana===
Ajira hizo Watanzania wenzangu, kidogo kidogo tu mtamwelewa na mtaelewa nia njema za mama yetu mnyenyekevu Mhe Samia Suluhu Hassan kwenye safari zake za nje,
Dodoma, Tanzania.
Naibu wa Waziri wa Kilimo Mhe. Hussein Bashe ameongoza jopo la serikali katika Mazungumzo ya awali na kampuni ya Global Tree ambayo inajihusisha na miradi ya kimazingira kwenye kilimo.
Mheshimiwa Bashe amesema “Mazungumzo yetu ya awali yamejikita zaidi kuandaa mradi mkubwa wa kupanda mazao yenye asili ya miti ambayo itamsaidia mkulima kupata kipato na sio tu kuwa na pori ambalo siku ya mwisho mkulima itamchukua muda mrefu kupata mapato ya moja kwa moja.”
Bashe anaendelea kusema kuwa “Mazungumzo haya yanalenga kuanzisha kituo cha pamoja ambapo kupitia taasisi zetu za TARI na ASSA watakuwa na jukumu la kuanzisha Vitalu na miundombinu ya Umwagiliaji kwa ajili ya miche ya Korosho, Kakao, Makademia (Katanga Miti), Michikichi na Kahawa.”
Aidha Bashe alipoulizwa kuhusu muundo wa utekelezaji wa mradi alisema “Mradi huu utakua wa ushirikiano wa pamoja baina ya serikali na sekta binafsi (PPP) na miti hii itakua ni ile ambayo tunazalisha wenyewe Kwa njia za asili pamoja na njia za kisasa za urutubishahi.”
Kuhusu gharama za mradi Bashe alisema “Mpango wa uwekezaji wa mradi huu una thamani ya dola za kimarekani Milioni mia moja sawa na zaidi ya shilingi za kitanzania bilioni mia mbili thelathini.”
Aidha, uwekezaji huu utajikita katika kumuwezesha mkulima bila kuwa na mzigo wa kulipia gharama za awali za uwekezaji kwakua Mradi huu mbali na kuwa na tija kwenye kilimo pia utakuwa mradi wenye toja kubwa kwenye mazingira huku lengo la msingi likuwa ni kuboresha maisha ya watanzania wengi wanaotegemea kilimo kama sehemu ya msingi ya kipato cha kuendeshea familia.
Naibu Waziri Bashe aliongeza ya kuwa “Hata hivyo bado tunachangamoto nyingi kwenye sekta ya kilimo ingawa mabadiliko na muelekeo wetu wa kisera juu ya kuruhusu uwekezaji binafsi kwenye sekta hii Kwa sehemu kubwa utatatua changamoto hizi hasa za mitaji kwa wakulima wadogo na kuongeza tija ya Kilimo.”
View attachment 2045762
View attachment 2045763
View attachment 2045764
Muwe na shukrani basi wabongo,
Wewe ndio bure aiseHahahaaa
Mablah blah blah tu haya
Bure kabisa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wewe ndio ungetakiwa utuoneshe sisi wananchi kwamba kweli wewe sio Bure!