Rais Samia awaleta Global Tree na uwekezaji wa TZS 230BL Tanzania

Muwe na shukrani basi wabongo,
 
Daaah
 
Niliandika humu baada ya safari yake ya Scotland kuwa hela ziko nje nje
Nchi inayotaka kupiga hatua huwekeza kwenye uchumi huru hata kama tutakuwa na speed ndogo lkn tunakuwa tupo huru kuchagua namna ya kujikwamua kutoka tulipo kwenda hatua nyingine ila kwa uchumi tegemezi hatuez kutoboa na sio sis bali ni kwa nchi zote zilizojarib chagua njia ya uchumi tegemezi , Marehemu alijaribu ila ttzo raia walizoea mseleleko wa Kikwete ikawa anaonekana adui wa taifa maana mzunguko wa ela za kihuni ulipungua sana
 
Tanzania ijayo ni bora sana,
 
Magufuli alituletea QNET na betting coys.
Bila kusahau Tatu Mzuka na Biko ili zituboreshee maisha yetu.
Kagame anasema akipewa Tz anaeza kuwa superpower Afrika sio kwa kutegemea misaada , nchi hii inaitaj miundombinu tu kuwa harbour ya mashariki na kati ambayo ni source tosha ya ajira ila Kenya wanatumia hiyo advantage kuwa harbour ya Afrika Mashariki na kati na hii ndio Marehemu alifahamu na alipambana sana kuboresha miundo mbinu ili Tz iwe harbour kwa mataifa yote ya ukanda huu ambayo ninkandlocked , ila kwasababu Ccm ililea wapigaj wengi mpk kufikia awamu ya marehemu nchi ilikuwa kama Haiti kila kitu connection na alipombana nao ndo hao ambao ni maadui wakubwa wa marehemu , silly Africa ! Hoja ni zile zile zinazoikwamisha Africa , utengano , ubinfsi ,uroho wa madaraka , ujinga na umaskini
 
Muwe na shukrani basi wabongo,
Shukran mirad ya brt inadolola , sgr inadolola , rushwa zinarudi kwa kasi , utendaj kazi unaslow down , halafu mtu anaenda kutafuta misaada ya kuwanyonya wakulima ( kama hujui utahisi ni siasa )
 
Suti walizo vaa haziendani na kuwekeza kwenye michikichi...
 
Umeua ajira 800,000 za machinga na mawakala ili ulete mwekezaji anaetoa ajira 500 kisha unajiona wewe ni kiongozi
 
Mama kama Mama, Upepo wa Rais Samia ni mkali sana aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…