Rais Samia awaleta Global Tree na uwekezaji wa TZS 230BL Tanzania


Kamari haiwezi kukutajirisha zaidi ya umaskini

Kwenye betting za huku niliko kuna warning kabisa kwenye kila mchezo kuwa kama umekuwa addicted omba msaada haraka

Inaleta umasikini na depression pia

Wenye betting companies ndio wanaofaidi kila mara
Msome Dennis Coates anaemiliki Bet365 anajilipa bonus kiasi gani
Ni billionaire wa [emoji636]
Unacheza anatajirika mwingine
 
Fact, Nakubaliana na wewe mjomba 100%
 
 
Ukiwatazama tu usoni, utabaini ya kwamba hawana tofauti kabisa na yule muwekezaji wa treni ya Mwakyembe.
 
"Kama Katiba ingeruhusu Mhe Samia Suluhu Hassan hakupashwa kuwa Rais wa mihula miwuli pekee,

Huyu Mama walau kwa Uchache angestahili miaka walau 15 "
 
 
"Kama Katiba ingeruhusu Mhe Samia Suluhu Hassan hakupashwa kuwa Rais wa mihula miwuli pekee,

Huyu Mama walau kwa Uchache angestahili miaka walau 15 "
Hapana alistahili kua Rais wa MPITO TU, baada ya 2025 anawaachia wenye uwezo nayo.
 
Tuendelee na kazi, Mambo ni mazuri sana
 
Kuna watu wanapandisha bei za bidhaa kiholela kumchafua Rais Samia,

Waziri Mkuu pambana na hawa watu nia yao si njema kabisa,
 
Team JF,


MERRY CHRISTMAS AND HAPPY NEW YEAR 2022.

#TUENDELEE KUMUUNGA MKONO RAIS WETU,
 
Happy Boxing Day kwa hisani ya Mhe Samia Suluhu Hassan
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…