Pre GE2025 Rais Samia awalipua watu kwa shangwe, nderemo na vifijo mitaani baada ya kuwahakikishia kuwepo Madarakani hadi 2030

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Wewe ndio ulianza kusema huyo Mama Abdul yupo hadi 2030 au ulipokuwa unaandika ulikua unajua umeshaswitch ID nyingine ile ila ukajisahu ukajibu kwa hii??
Ndio yupo Hadi 2030,Hilo sio swali ni jibu
 
Mama yupo Hadi 2030,povu halitakusaidia na huna Cha kufanya 😁😁😁😁
Hapa ulitaka kuswitch ID ila ukasahau chawa?

Maana wewe ndio ulileta "assurance" kwamba mama Abdul yupo hadi 2030 nikakuuliza hata Magufuli machawa wake walisema atakuwepo sana hadi 2025 na pia atake asitake atatawala hadi achoke ndio maana nikauliza Magufuli yuko wapi kwa sasa?
 
Yupo Hadi 2030 hakuna mjadala.
 
Watu wanasiri kumbe mshindi amesha patikana kabla hata y kipenga kupulizwa mbona hatuambizani bandungu
 
Wewe utakuwepo 2025?
Jibu swali la msingi.

Hakuna mahali mimi nimesema nitakuwepo.

Wewe ndio umeweka hoja kuwa Samia yupo hadi 2030 , ndio maana nikakuuliza Magufuli yupo wapi maana yeye ndio tuliambiwa atakuwepo hadi 2025 na baada ya hapo atake asitake watamlazimisha atawale.

Sasa umeshindwa kuelewa hoja nyepesi kama hiyo chawa , hizo buku 7 mkipewa mnasahau hata kujiendeleza na shule?
 
Jibu ni moja tu kuwa ni Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan hadi mwaka 2030. Kama hutaki hama Nchi au jinyonge UFE tu maana huna faida yoyote ile
 
Jibu ni moja tu kuwa ni Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan hadi mwaka 2030. Kama hutaki hama Nchi au jinyonge UFE tu maana huna faida yoyote ile
Eti daktari!.

Mpuuzi kweli wewe , udaktari huo anaopewa kila kukicha kwa kutunukiwa bila merit?

Hebu weka hapa tasnifu yoyote aliyowahi kuiandika Samia .
 
Eti daktari!.

Mpuuzi kweli wewe , udaktari huo anaopewa kila kukicha kwa kutunukiwa bila merit?

Hebu weka hapa tasnifu yoyote aliyowahi kuiandika Samia .
Na wewe nenda ukapewe kama ni rahisi kupewa. wanapewa akili kubwa na siyo vichwa panzi kama wewe
 
Na wewe nenda ukapewe kama ni rahisi kupewa. wanapewa akili kubwa na siyo vichwa panzi kama wewe
Jibu ni kuwa hana tasnifu yoyote.

Na chawa kama wewe uliyekimbia shule hujaelewa hata tasnifu ni nini .?

I rest my case muda wa kuwajibu vilaza kwa asubuhi ya leo nimefungia hapa.
 
LUCAS MWASHAMBWA UNATAFUTWA MBEYA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…