Pre GE2025 Rais Samia awalipua watu kwa shangwe, nderemo na vifijo mitaani baada ya kuwahakikishia kuwepo Madarakani hadi 2030

Pre GE2025 Rais Samia awalipua watu kwa shangwe, nderemo na vifijo mitaani baada ya kuwahakikishia kuwepo Madarakani hadi 2030

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
takwimu za vifo vya mama na mtoto unazo kwa muda wa kipindi gani?

vijiji vilivyofikiwa na miradi ya maji kwa sasa unavifahamu?

huduma ya mama na mtoto ukitazama hayo madawa yalio wekwa na serikali tena bure kwa wananchi huwezi kuzungumza hivyo chukulia mfamo mdogo tuh zamani katika ukuwaji wetu matoto walikua wakitokwa na mate haswa kwa sasa umeliona hilo likiwa kwa mtoto muda mrefu sasa jua ni huduma za hopitali zimeimarika
Acheni uongo mmezidi ninanazo unataka ushahidi? Namwogope Mungu watu wanaokufa kisa madaraja sio mazuri wala barabara sizo nzuri huwaoni hadi huoni hizo taarifa za habari wengine wanaliwa na mamba msikifanye mmefanya lolote laa maana nyie mlichofanya kama ccm msio wakweli ni utalii nakuwatoa wamasai hifadhini na kuwatelekeza handeni nakuwapa kila kitu waaarabu basi jingine hakuna bado watu wanashida sana na bado elimu duni , madarasa vyoo, waalimu na nyumba zao hakuna wanafunzi na waalimu wanajisaidia vichakani .

Uonevu muache . Tatueni shida sijui why hamuelewi .

Elewa hili.1. Mnafanya mijini na miji yakati mnaishia huko ila vijiji vya mbali hamfiki sijui mnaelewa hata mijini bado kuna sehemu hamjakamilisha miundo mbinu so acheni kujisifia tulieni. Watu nyie
 
Yaani wewe hujitambui kabisa.unafanya kazi ya kuropoka ropoka tu . hospitali gani hiyo isiyo na madaktari?
Nafuu mie naropoka ndio mana wewe ambaye huropoki unasema uongo mtupu na mnapewa fungu lenu hizi niporojo usifuatilie
 
Back
Top Bottom