Ngete besa
Member
- Oct 18, 2022
- 61
- 141
Lucac hata andike utumbo namsapoti maana hawa chawa wa mama akili wametupa wanatumia vikalio kufikiri,tuishi nao tu2025 hamta amini macho na maskio yenu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lucac hata andike utumbo namsapoti maana hawa chawa wa mama akili wametupa wanatumia vikalio kufikiri,tuishi nao tu2025 hamta amini macho na maskio yenu.
Acheni uongo mmezidi ninanazo unataka ushahidi? Namwogope Mungu watu wanaokufa kisa madaraja sio mazuri wala barabara sizo nzuri huwaoni hadi huoni hizo taarifa za habari wengine wanaliwa na mamba msikifanye mmefanya lolote laa maana nyie mlichofanya kama ccm msio wakweli ni utalii nakuwatoa wamasai hifadhini na kuwatelekeza handeni nakuwapa kila kitu waaarabu basi jingine hakuna bado watu wanashida sana na bado elimu duni , madarasa vyoo, waalimu na nyumba zao hakuna wanafunzi na waalimu wanajisaidia vichakani .takwimu za vifo vya mama na mtoto unazo kwa muda wa kipindi gani?
vijiji vilivyofikiwa na miradi ya maji kwa sasa unavifahamu?
huduma ya mama na mtoto ukitazama hayo madawa yalio wekwa na serikali tena bure kwa wananchi huwezi kuzungumza hivyo chukulia mfamo mdogo tuh zamani katika ukuwaji wetu matoto walikua wakitokwa na mate haswa kwa sasa umeliona hilo likiwa kwa mtoto muda mrefu sasa jua ni huduma za hopitali zimeimarika
Kaa kwa kutuliaLucac hata andike utumbo namsapoti maana hawa chawa wa mama akili wametupa wanatumia vikalio kufikiri,tuishi nao tu
Haha ninywe sumu mimi au wewe unaejutafuta? Kwa huu upumbavu ulionao hata Samia pamoja na ujinga wake lkn anatapika akiona nyuzi zako.Nimesema jaribu kunywa sumu UFE tu maana huna faida yoyote ile
Sawa ila CCM kila siku ni drama na uongo kipya hakuna etihayo ni maneno ya vijiweni ndugu
Nafuu mie naropoka ndio mana wewe ambaye huropoki unasema uongo mtupu na mnapewa fungu lenu hizi niporojo usifuatilieYaani wewe hujitambui kabisa.unafanya kazi ya kuropoka ropoka tu . hospitali gani hiyo isiyo na madaktari?
WeziHamna porojo acheni kufanya mzaha na Mungu, yeye Samia ana mkataba na Mungu???
Hebu acheni kukufuru , jiwe mlisema mitano Tena, .......na huyu eti mpaka 2030, mna uhakika?? Mna mkataba na Mungu???🤔🤔🤔
UNaonaje ukisomaga post tu ukapita hivi unaboa bwana nakukera unanikeraa
Kufa tuUNaonaje ukisomaga post tu ukapita hivi unaboa bwana nakukera unanikeraa
Sina mpango wowote hujajibu swali , na kwani Magufuli CCM mlimfanya nini hadi hajaiona 2025?Kwani una Mpango wa kumfanya nini my.Rais?
Kwani wewe hapo utaiona 2025?Sina mpango wowote hujajibu swali , na kwani Magufuli CCM mlimfanya nini hadi hajaiona 2025?
Kuna mahali nimesema nitaiona 2025??Kwani wewe hapo utaiona 2025?
Dogo vipi? Umeijua ccm miaka hii elfu mbilli na ...Ondoka na ujinga wako hapa wewe.
Wewe ndio utakufa kabisa wewe endelea na ujinga ulio kichwani mwakoKufa tu
Anakihere here kijitu cha 2010Dogo vipi? Umeijua ccm miaka hii elfu mbilli na ...
Sisi tupo nayo toka TAA, TANU
Unapouliza kama Sa 💯 ataiona lengo lako nini?Kuna mahali nimesema nitaiona 2025??
Wewe ndio ulianza kusema huyo Mama Abdul yupo hadi 2030 au ulipokuwa unaandika ulikua unajua umeshaswitch ID nyingine ile ila ukajisahu ukajibu kwa hii??Unapouliza kama Sa 💯 ataiona lengo lako nini?