Pre GE2025 Rais Samia awalipua watu kwa shangwe, nderemo na vifijo mitaani baada ya kuwahakikishia kuwepo Madarakani hadi 2030

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Samia ni rais bora Tanzania tunamuhitaji sana hata baada ya 2030 tumuombee uhai tu
 
Maadui wa Taifa letu na asilimia ambayo Dr Samia anapambania
1:Ujinga 90%
2:Maradhi 90%
3:Umasikini 70%
 
Uchaguzi wa 2025 umekwisha anaandaliwa Mrundi Kafulila kuelekea 2030 ni bandika bandua
Kidumu Chama Cha Mapinduzi😀


Eti Kafulila

Hivi nyie mnalipwa na Kafulila kumtangaza mtandaoni, kwa taarifa yako hata katika Top 30 wanao onekana watafaa kugombea urais 2030, Kafulila hayupo kabisa, wala CCM hawamjui kabisa, so acheni kumtangaza kwa kupewa vihela, Kafulila hata uweke CCM 100 wagombea, hawezi pita
 
Usipende kuropoka ropoka na kubwatuka hovyo hovyo tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…