Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ana mijina mingi huyo .Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu
Samia ni rais bora Tanzania tunamuhitaji sana hata baada ya 2030 tumuombee uhai tuNdugu zangu Watanzania,
Mitaani ni shangwe, nderemo, vifijo , chereko chereko,furaha,hoihoi na tabasamu tupu kwa wananchi mbalimbali. Hii ni baada ya Rais Samia kukata kiu ya mamilioni ya watanzania waliyokuwa nayo mioyoni mwao. Kiu ya kutaka kuona Rais Samia akiendelea na muhula wa pili wa Urais kwa kuchukua ,kujaza na kurejesha Fomu ya Urais.
Shangwe hiyo imekuja baada ya Rais Samia kutamka hadharani kuwa anataka kuacha alama katika uongozi wake atakapokuwa anajiandaa kurejea Nyumbani Kizimkazi na kuja kuwahoji walipofikia kimafanikio na kimaendeleo katika Masuala Mazima ya ushirika na ugani.
Kauli ya kusema kuwa atakapo Kuwa anajiandaa kurejea Kizimkazi miaka hiyo ya mwishoni kuelekea 2030.imemaanisha kuwa Rais wetu Mpendwa amekubali Ombi na Maombi ya Mamilioni ya watanzania wa makundi mbalimbali waliohitaji kuona akiendelea kuwa Rais Wetu.
Ndio maana makundi kama Walimu walikuwa wamemchangia mamilioni ya pesa kwa ajili ya kuchukulia Fomu ya Urais.pia wahandisi nao pia walikuwa wamechanga mamilioni ya pesa kwa ajili ya kumpatia Usafiri wa helikopta atakayo kuwa anaruka nayo angani na kuteka anga lote la Tanzania kikomandoo wakati wa kampeni,huku bendera ya kijani ikipepea angani.
Kwa hakika Rais Samia ameleta furaha kubwa sana hapa Nchini kwa kauli yake hiyo.ikumbukwe ya kuwa mamilioni ya watanzania chaguo lao ni Rais Samia tuu hapo Mwakani. Watu wengi sana walikuwa wamesema kuwa wanahitaji kuona CCM ikimpatia Rais Samia ugombea Urais.jambo ambalo hata hivyo CCM kupitia viongozi wake ilijibu kwa kusema kuwa Ni Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan mpaka 2030.
Kwa hakika Rais Samia ndiye ameshikilia Furaha ya Mamilioni ya watanzania.kama Ingetokea akakataa ombi la watanzania,kwa hakika angewakatisha sana tamaa na kuwavunja moyo mamilioni ya watanzania ambao kwa sasa wamejaa matumaini tele na uhakika wa kutimiza ndoto zao.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Muulize ana mume?Hivi kwa uandishi huu unaweza kweli ukawa unamiliki mke nyumbani ? maana aina ya uandashi km huu ni wa kishoga !
Bado kidogo utawehuka tu .Hata Magufuli mlisema atatawala milele.... mpumbavu na hayawani peke yake ndo anaeijua kesho yake.
Unatia kinyaa sana sana nafikiri hata huyo Samia kama anasoma hizi nyuzi hutapika!!
Huku mitaani ni shangwe tupu.Mtaa gani uliolipuka mwashambwa ? Au umevimbiwa makusu? Umekula nini au chikanda na mkoyo ? Mbona umezidisha uchawa au umekunywa ulanzi ??
Ndio.Wew sio mchumia tumbo?
London ya wapi hiyo?Mitaa ya wapi? Mbona huku London mitaani ni huzuni tupu
Kama unafikiri huu ujinga Samia atakupenda pole sana! Unatia kinyaa!!Bado kidogo utawehuka tu .
Kunywa sumu UFE tu maana huna faida yoyote ile na hakuna atakayesikitikaKama unafikiri huu ujinga Samia atakupenda pole sana! Unatia kinyaa!!
Unazidi kutia kinyaa!! Amini nakuambia huu ujinga unaoandika hata Samia akisoma anatapika!Kunywa sumu UFE tu maana huna faida yoyote ile na hakuna atakayesikitika
Uchaguzi wa 2025 umekwisha anaandaliwa Mrundi Kafulila kuelekea 2030 ni bandika bandua
Kidumu Chama Cha Mapinduzi😀
Nimesema jaribu kunywa sumu UFE tu maana huna faida yoyote ileUnazidi kutia kinyaa!! Amini nakuambia huu ujinga unaoandika hata Samia akisoma anatapika!
Nimesema jaribu kunywa sumu UFE tu maana huna faida yoyote ileUnazidi kutia kinyaa!! Amini nakuambia huu ujinga unaoandika hata Samia akisoma anatapika!
Umedanganya sana .Maadui wa Taifa letu na asilimia ambayo Dr Samia anapambania
1:Ujinga 90%
2:Maradhi 90%
3:Umasikini 70%
Usipende kuropoka ropoka na kubwatuka hovyo hovyo tu.Eti "Kuripua" acha kuharibu lugha wewe chawa ni " Kulipua".
Halafu labda ailipue nchi kwa ufisadi uliotamalaki huku yeye akiwa anajiita ni chura kiziwi.
Mafisadi na majizi yaliyotajwa kwenye ripoti ya CAG yanapeta huko mitaani na hakuna hatua yoyote wamechukuliwa.
Kagawa bandari na mbuga zetu kwa waarabu huko ndio kulipua nchi kwa shangwe chawa?
View attachment 3066251