Pre GE2025 Rais Samia awalipua watu kwa shangwe, nderemo na vifijo mitaani baada ya kuwahakikishia kuwepo Madarakani hadi 2030

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hata Nyerere alisema atafikisha miaka 80 aliishia hapo alipoishia. Hata Mzee chato alitakiwa apige mpaka 2025 lakini Mungu alimpenda zaidi nani anayejua mambo ya kesho yake siyo miaka uliyotaja 6 mbele aa siku moja tu.
 
Akimaliza, kupiga selfie, akalipe tilioni 3.2 za orca energy, kwa sababu ya kuvunja mkataba kiupambavu wa, ccm
 
Sasa kama kweli una akili Timamu na unajitambua vyema ,unaona ni nani anayeweza kushindana na Rais Samia katika sanduku la kura? Ni nani mwenye ubavu au ushawishi wa kuweza kupata kura hata laki tano tu?
Na Kwa upumbavu unaoandikaga hata unayemsifia ashakudharau.
 
hilo halina ubishi.
kura yangu ni kwa dkt Mama Samia tu, sina mwengine.
Mama mchapa kazi, mwadilifu asiye majivuno, mnyenyekevu asiye lewa madaraka.
Si mpaka uwe hai. Israil anatafuta watu kila siku
 
huyu mama ukitizama hizi shule za msingi za serikali alivyo zipandisha na kuzikarabati kisasa kisha kuziwekea mchepuo wa kingereza kwa kila wilaya.,wallah ni kama mujiza flani kwa kweli

kalenga kumpa fursa myonge wa mwisho kumpeleka mwanae english medium hii itaondoa obwe kwa watanzania
 
Mda mwalim
 
Nauwakika alienda kijijini au kwa machizi jiulize tokea miaka na miaka watu wamasai hawakuwahi kutolewa kule hifadhini ,nchi hawajawahi uzwa kwa warabu,leo kuna kila mahali vimeuzwa watu wamegawanya ardhi za mababu zao kama si laana nini?
Eti wanaleta maendeleo yapi na hayaonekani.. use your brain ipo siku wanaume wote penda msipende mtageuzwa kuwa wa mama . Halafu hii ni amri kutoka kwa waarabu .
 
Okay no problem ila yote itakuwa nothing ukishakuwa na akili ya kuuza nchi hata ukiremba kama nchi ya ahadi haisaidii
 
Sure ndo maana wanangu siku hizi wananiongelesha sana kingereza,Mama ni jembe apewe maua yake wenye wivu wajinyonge
 
Hivi una akili Timamu kweli? Una macho Mazima kweli? Kwamba maendeleo huyaoni hapa Nchini? Unaposema sijuwi kitu hiki na hiki kimeuzwa ,ushahidi upo wapi wa hayo uropokayo? Unaposema wafu fulani wamehamishwa ,je ulitaka waendelea kukaa eneo ambalo linaendelea kuwa dogo ukilinganisha na idadi ya watu? Ulitaka tuuwe utalii? Hukuona kuwa idadi ya watu na mifugo ilikuwa inaongezeka kwa kasi kubwa sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…