kipenseli2021
JF-Expert Member
- Jul 17, 2021
- 1,390
- 1,431
Leta factsUmedanganya sana .
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Leta factsUmedanganya sana .
Hata Nyerere alisema atafikisha miaka 80 aliishia hapo alipoishia. Hata Mzee chato alitakiwa apige mpaka 2025 lakini Mungu alimpenda zaidi nani anayejua mambo ya kesho yake siyo miaka uliyotaja 6 mbele aa siku moja tu.Ndugu zangu Watanzania,
Mitaani ni shangwe, nderemo, vifijo , chereko chereko,furaha,hoihoi na tabasamu tupu kwa wananchi mbalimbali. Hii ni baada ya Rais Samia kukata kiu ya mamilioni ya watanzania waliyokuwa nayo mioyoni mwao. Kiu ya kutaka kuona Rais Samia akiendelea na muhula wa pili wa Urais kwa kuchukua ,kujaza na kurejesha Fomu ya Urais.
Shangwe hiyo imekuja baada ya Rais Samia kutamka hadharani kuwa anataka kuacha alama katika uongozi wake atakapokuwa anajiandaa kurejea Nyumbani Kizimkazi na kuja kuwahoji walipofikia kimafanikio na kimaendeleo katika Masuala Mazima ya ushirika na ugani.
Kauli ya kusema kuwa atakapo Kuwa anajiandaa kurejea Kizimkazi miaka hiyo ya mwishoni kuelekea 2030.imemaanisha kuwa Rais wetu Mpendwa amekubali Ombi na Maombi ya Mamilioni ya watanzania wa makundi mbalimbali waliohitaji kuona akiendelea kuwa Rais Wetu.
Ndio maana makundi kama Walimu walikuwa wamemchangia mamilioni ya pesa kwa ajili ya kuchukulia Fomu ya Urais.pia wahandisi nao pia walikuwa wamechanga mamilioni ya pesa kwa ajili ya kumpatia Usafiri wa helikopta atakayo kuwa anaruka nayo angani na kuteka anga lote la Tanzania kikomandoo wakati wa kampeni,huku bendera ya kijani ikipepea angani.
Kwa hakika Rais Samia ameleta furaha kubwa sana hapa Nchini kwa kauli yake hiyo.ikumbukwe ya kuwa mamilioni ya watanzania chaguo lao ni Rais Samia tuu hapo Mwakani. Watu wengi sana walikuwa wamesema kuwa wanahitaji kuona CCM ikimpatia Rais Samia ugombea Urais.jambo ambalo hata hivyo CCM kupitia viongozi wake ilijibu kwa kusema kuwa Ni Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan mpaka 2030.
Kwa hakika Rais Samia ndiye ameshikilia Furaha ya Mamilioni ya watanzania.kama Ingetokea akakataa ombi la watanzania,kwa hakika angewakatisha sana tamaa na kuwavunja moyo mamilioni ya watanzania ambao kwa sasa wamejaa matumaini tele na uhakika wa kutimiza ndoto zao.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Akimaliza, kupiga selfie, akalipe tilioni 3.2 za orca energy, kwa sababu ya kuvunja mkataba kiupambavu wa, ccmNdugu zangu Watanzania,

Na Kwa upumbavu unaoandikaga hata unayemsifia ashakudharau.Sasa kama kweli una akili Timamu na unajitambua vyema ,unaona ni nani anayeweza kushindana na Rais Samia katika sanduku la kura? Ni nani mwenye ubavu au ushawishi wa kuweza kupata kura hata laki tano tu?
Si mpaka uwe hai. Israil anatafuta watu kila sikuhilo halina ubishi.
kura yangu ni kwa dkt Mama Samia tu, sina mwengine.
Mama mchapa kazi, mwadilifu asiye majivuno, mnyenyekevu asiye lewa madaraka.
Subiri tu kama anateua watu wa aina yako atakuteuaSamia ni rais bora Tanzania tunamuhitaji sana hata baada ya 2030 tumuombee uhai tu
Mda mwalimNdugu zangu Watanzania,
Mitaani ni shangwe, nderemo, vifijo , chereko chereko,furaha,hoihoi na tabasamu tupu kwa wananchi mbalimbali. Hii ni baada ya Rais Samia kukata kiu ya mamilioni ya watanzania waliyokuwa nayo mioyoni mwao. Kiu ya kutaka kuona Rais Samia akiendelea na muhula wa pili wa Urais kwa kuchukua ,kujaza na kurejesha Fomu ya Urais.
Shangwe hiyo imekuja baada ya Rais Samia kutamka hadharani kuwa anataka kuacha alama katika uongozi wake atakapokuwa anajiandaa kurejea Nyumbani Kizimkazi na kuja kuwahoji walipofikia kimafanikio na kimaendeleo katika Masuala Mazima ya ushirika na ugani.
Kauli ya kusema kuwa atakapo Kuwa anajiandaa kurejea Kizimkazi miaka hiyo ya mwishoni kuelekea 2030.imemaanisha kuwa Rais wetu Mpendwa amekubali Ombi na Maombi ya Mamilioni ya watanzania wa makundi mbalimbali waliohitaji kuona akiendelea kuwa Rais Wetu.
Ndio maana makundi kama Walimu walikuwa wamemchangia mamilioni ya pesa kwa ajili ya kuchukulia Fomu ya Urais.pia wahandisi nao pia walikuwa wamechanga mamilioni ya pesa kwa ajili ya kumpatia Usafiri wa helikopta atakayo kuwa anaruka nayo angani na kuteka anga lote la Tanzania kikomandoo wakati wa kampeni,huku bendera ya kijani ikipepea angani.
Kwa hakika Rais Samia ameleta furaha kubwa sana hapa Nchini kwa kauli yake hiyo.ikumbukwe ya kuwa mamilioni ya watanzania chaguo lao ni Rais Samia tuu hapo Mwakani. Watu wengi sana walikuwa wamesema kuwa wanahitaji kuona CCM ikimpatia Rais Samia ugombea Urais.jambo ambalo hata hivyo CCM kupitia viongozi wake ilijibu kwa kusema kuwa Ni Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan mpaka 2030.
Kwa hakika Rais Samia ndiye ameshikilia Furaha ya Mamilioni ya watanzania.kama Ingetokea akakataa ombi la watanzania,kwa hakika angewakatisha sana tamaa na kuwavunja moyo mamilioni ya watanzania ambao kwa sasa wamejaa matumaini tele na uhakika wa kutimiza ndoto zao.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Mimi na wewe nani anaropoka chawa??Usipende kuropoka ropoka na kubwatuka hovyo hovyo tu.
Okay no problem ila yote itakuwa nothing ukishakuwa na akili ya kuuza nchi hata ukiremba kama nchi ya ahadi haisaidiihuyu mama ukitizama hizi shule za msingi za serikali alivyo zipandisha na kuzikarabati kisasa kisha kuziwekea mchepuo wa kingereza kwa kila wilaya.,wallah ni kama mujiza flani kwa kweli
kalenga kumpa fursa myonge wa mwisho kumpeleka mwanae english medium hii itaondoa obwe kwa watanzania
Nani awape majasusi jamani awanielewimbona katika kumbukumbu zangu tuliambiwa upinzani ndo utashika nchi...?😂
Sure ndo maana wanangu siku hizi wananiongelesha sana kingereza,Mama ni jembe apewe maua yake wenye wivu wajinyongehuyu mama ukitizama hizi shule za msingi za serikali alivyo zipandisha na kuzikarabati kisasa kisha kuziwekea mchepuo wa kingereza kwa kila wilaya.,wallah ni kama mujiza flani kwa kweli
kalenga kumpa fursa myonge wa mwisho kumpeleka mwanae english medium hii itaondoa obwe kwa watanzania
Naona unaandikaga ukiwa na vimiminika kichwani mwako .HATOGOMBEA!!
Wewe ndiye mropokaji na mbwatukaji.Mimi na wewe nani anaropoka chawa??
Kwani lazima tuwe na namna Moja ya kufikiri au kuona?Naona unaandikaga ukiwa na vimiminika kichwani mwako .
Mimi siwezi kuwa sawa na wewe.Wewe ndiye mropokaji na mbwatukaji.
Hivi una akili Timamu kweli? Una macho Mazima kweli? Kwamba maendeleo huyaoni hapa Nchini? Unaposema sijuwi kitu hiki na hiki kimeuzwa ,ushahidi upo wapi wa hayo uropokayo? Unaposema wafu fulani wamehamishwa ,je ulitaka waendelea kukaa eneo ambalo linaendelea kuwa dogo ukilinganisha na idadi ya watu? Ulitaka tuuwe utalii? Hukuona kuwa idadi ya watu na mifugo ilikuwa inaongezeka kwa kasi kubwa sanaNauwakika alienda kijijini au kwa machizi jiulize tokea miaka na miaka watu wamasai hawakuwahi kutolewa kule hifadhini ,nchi hawajawahi uzwa kwa warabu,leo kuna kila mahali vimeuzwa watu wamegawanya ardhi za mababu zao kama si laana nini?
Eti wanaleta maendeleo yapi na hayaonekani.. use your brain ipo siku wanaume wote penda msipende mtageuzwa kuwa wa mama . Halafu hii ni amri kutoka kwa waarabu .