Pre GE2025 Rais Samia awalipua watu kwa shangwe, nderemo na vifijo mitaani baada ya kuwahakikishia kuwepo Madarakani hadi 2030

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kwanini miaka na miaka mkuwaona wakiwa na hiyo mifugo jingine maendeleo yapi kama kila siku wamama wajawazito wanakufa wakijifungua ?? Jingine hadi kia imeuzwa au huna hizo post , nenda you tube wa bunge wanavyolalamika ,chadema wanalalamika , wananchi wanalalamika hospitali hakuna, ambulance hakuna , madawa hakuna, chakula hakuna unataka ushaidi nenda vijiji vya kati navikuu ndani ndani angalia kuanzia shule za kata, angalia maji kama wanayo, angalia hospitali kama kuna daktari, kama kuna manesi, madawa , kama huduma inatolewa kwa wakati halafu ndio uongee ujinga .

Hata kijiji chenu hakijaendelea
 
Bila shaka wewe ni kipofu wa akili na macho.hata ukielezwa vipi huwezi kuelewa maana umeshapofuka akili na macho yako.
 
Watafute kazi za kufanya Sasa Hakuna ujinga ujinga mwingine πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Nchi gani imewahi maliza mchakato wa Maendeleo hapa Duniani?
 
Ndani ya CCM,chaguo ni Rais Samia na in fact Kwa kazi yake ndio chaguo la Watanzania.

Sasa uache kumchagua mtu aliye deliver uanze kuchagua Hadithi? Utakuwa na akili?
 
Uzushi hautakusaidia wewe nyumbu
 
Uzushi hautakusaidia wewe nyumbu
Naona mnakuja kwa kubadilisha ID.

Nakukaribisha uje na zile ID zako nyingine mbili chawa.

Ila huyu mama yenu hatoshi na nitazidi kuonyesha anavyopwaya, maana nchi inatafunwa tu nyie machawa mmebaki kusifia upuuzi.
 
Naona mnakuja kwa kubadilisha ID.

Nakukaribisha uje na zile ID zako nyingine chawa.

Ila huyu mama yenu hatoshi na nitazidi kuonyesha anavyopwaya, maana nchi inatafunwa tu nyie machawa mmebaki kusifia upuuzi.
Onyesha na sisi tuone.Mwishi kutosha au kutotosha kunapimwa na wewe au namba?

Tangu lini matamanio Yako binafsi yakawa ndio Kipimo Cha Watanzania? πŸ‘‡πŸ‘‡
 
Naona mnakuja kwa kubadilisha ID.

Nakukaribisha uje na zile ID zako nyingine mbili chawa.

Ila huyu mama yenu hatoshi na nitazidi kuonyesha anavyopwaya, maana nchi inatafunwa tu nyie machawa mmebaki kusifia upuuzi.
Hutoshi wewe na akili yako kisoda. Kama unajiamini na una akili Timamu embu nenda uchukue Fomu ugombee Urais. Ila ni nakukumbusha tu kuwa ni lazima uwe na akili Timamu
 
hakika ni furaha iliyoje kama Taifa kwa waTanzania katika umoja wao, wanafurahia habari njema ya kwamba, kipenzi cha ndoto zao za maisha na maendeleo Dr.Samia Suluhu Hassan, yuko tayari tena kwa wajibu huo muhimu na mzito, wa kuwatimizia matarajio yao waTanzania, kuanzia kwenye uchaguzi mkuu mwaka ujao 2025πŸ‘ŠπŸ’ͺ
 
Manyumbu yamechanganyikiwa kabisa maana yanajuwa kuwa hayani ubavu wala uwezo wala nguvu za kuweza kushindana na Rais Samia katika sanduku la kura.
 
Hutoshi wewe na akili yako kisoda. Kama unajiamini na una akili Timamu embu nenda uchukue Fomu ugombee Urais. Ila ni nakukumbusha tu kuwa ni lazima uwe na akili Timamu
Samia alichaguliwa na nani kuwa rais chawa?

Onyesha hapa evidence kuwa alikuwa presidential aspirant.
Onyesha na sisi tuone.Mwishi kutosha au kutotosha kunapimwa na wewe au namba?

Tangu lini matamanio Yako binafsi yakawa ndio Kipimo Cha Watanzania? πŸ‘‡πŸ‘‡View attachment 3066422
Your browser is not able to display this video.

Rais wa viwango ndio huyu anayewaambia wezi waibe kadiri ya wanavyoweza [ kula kwa urefu wa kamba].

Nyie machawa wajinga mtakuwa mlipata 0 kidato cha nne kama boss wenu.
 
Magufuli aliwahakikishia watanzanzia kuwepo sana ikulu...kilichotokea wote tunajua
 
Nchi gani imewahi maliza mchakato wa Maendeleo hapa Duniani?
Unaona umesema ukweli kuwa hamjamaliza na hitaji mtu ambaye ataacha kujiona mijini anasaidia nakwenda vijijini kusaidia sasa wawe na vyoo vya shule , madarasa watu wanakaa chini,watu hawana waalimu wengine wanakaa na njaa hii system mnayoisifia nyie ipo tu mjini na miji yakati ndani ndani sasa shughuli ipo . So acheni figisu figisu tendeni kazo kwa akili naufasaha
 
Watu wanaomsifia huyu mama ni wendawazimu na wanafanya hivo kwa malengo fulani, mtu mwenye akili timamu na anayejua jinsi hali ya maisha ilivyobadilika hawez kumwendekeza huyu raisi mnafiki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…