SweetyCandy
JF-Expert Member
- Sep 17, 2022
- 3,109
- 6,323
Kwanini miaka na miaka mkuwaona wakiwa na hiyo mifugo jingine maendeleo yapi kama kila siku wamama wajawazito wanakufa wakijifungua ?? Jingine hadi kia imeuzwa au huna hizo post , nenda you tube wa bunge wanavyolalamika ,chadema wanalalamika , wananchi wanalalamika hospitali hakuna, ambulance hakuna , madawa hakuna, chakula hakuna unataka ushaidi nenda vijiji vya kati navikuu ndani ndani angalia kuanzia shule za kata, angalia maji kama wanayo, angalia hospitali kama kuna daktari, kama kuna manesi, madawa , kama huduma inatolewa kwa wakati halafu ndio uongee ujinga .Hivi una akili Timamu kweli? Una macho Mazima kweli? Kwamba maendeleo huyaoni hapa Nchini? Unaposema sijuwi kitu hiki na hiki kimeuzwa ,ushahidi upo wapi wa hayo uropokayo? Unaposema wafu fulani wamehamishwa ,je ulitaka waendelea kukaa eneo ambalo linaendelea kuwa dogo ukilinganisha na idadi ya watu? Ulitaka tuuwe utalii? Hukuona kuwa idadi ya watu na mifugo ilikuwa inaongezeka kwa kasi kubwa sana
Hata kijiji chenu hakijaendelea