Pre GE2025 Rais Samia awalipua watu kwa shangwe, nderemo na vifijo mitaani baada ya kuwahakikishia kuwepo Madarakani hadi 2030

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Unaona umesema ukweli kuwa hamjamaliza na hitaji mtu ambaye ataacha kujiona mijini anasaidia nakwenda vijijini kusaidia sasa wawe na vyoo vya shule , madarasa watu wanakaa chini,watu hawana waalimu wengine wanakaa na njaa hii system mnayoisifia nyie ipo tu mjini na miji yakati ndani ndani sasa shughuli ipo . So acheni figisu figisu tendeni kazo kwa akili naufasaha
Una ukakika? Unajua kwamba Kijijini ni kama mjini Kwa Sasa au umekariri ujinga wako huko Mjini?

Uliza ndugu zako uliowatelekeza Vijijini wakwambie walichokosa badala ya kuropoka tuu
 
Samia alichaguliwa na nani kuwa rais chawa?

Onyesha hapa evidence kuwa alikuwa presidential aspirant.

View attachment 3066437
Rais wa viwango ndio huyu anayewaambia wezi waibe kadiri ya wanavyoweza [ kula kwa urefu wa kamba].

Nyie machawa wajinga mtakuwa mlipata 0 kidato cha nne kama boss wenu.
2015 na 2020 Ni Mama Yako ndio alikuwa anapiga kampeni na picha na jina lake vilikiwa kwenye mbao za wagombea?

2025-30 Rais ni Samia imeisha hiyo na atashinda Kwa kishindo ,mapovu mtaishia kumwaga jf tuu.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Mitaani ni shangwe, nderemo, vifijo , chereko chereko,furaha,hoihoi na tabasamu tupu kwa wananchi mbalimbali. Hii ni baada ya Rais Samia kukata kiu ya mamilioni ya watanzania waliyokuwa nayo mioyoni mwao. Kiu ya kutaka kuona Rais Samia akiendelea na muhula wa pili wa Urais kwa kuchukua ,kujaza na kurejesha Fomu ya Urais.

Shangwe hiyo imekuja baada ya Rais Samia kutamka hadharani kuwa anataka kuacha alama katika uongozi wake atakapokuwa anajiandaa kurejea Nyumbani Kizimkazi na kuja kuwahoji walipofikia kimafanikio na kimaendeleo katika Masuala Mazima ya ushirika na ugani.

Kauli ya kusema kuwa atakapo Kuwa anajiandaa kurejea Kizimkazi miaka hiyo ya mwishoni kuelekea 2030.imemaanisha kuwa Rais wetu Mpendwa amekubali Ombi na Maombi ya Mamilioni ya watanzania wa makundi mbalimbali waliohitaji kuona akiendelea kuwa Rais Wetu.

Ndio maana makundi kama Walimu walikuwa wamemchangia mamilioni ya pesa kwa ajili ya kuchukulia Fomu ya Urais.pia wahandisi nao pia walikuwa wamechanga mamilioni ya pesa kwa ajili ya kumpatia Usafiri wa helikopta atakayo kuwa anaruka nayo angani na kuteka anga lote la Tanzania kikomandoo wakati wa kampeni,huku bendera ya kijani ikipepea angani.

Kwa hakika Rais Samia ameleta furaha kubwa sana hapa Nchini kwa kauli yake hiyo.ikumbukwe ya kuwa mamilioni ya watanzania chaguo lao ni Rais Samia tuu hapo Mwakani. Watu wengi sana walikuwa wamesema kuwa wanahitaji kuona CCM ikimpatia Rais Samia ugombea Urais.jambo ambalo hata hivyo CCM kupitia viongozi wake ilijibu kwa kusema kuwa Ni Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan mpaka 2030.

Kwa hakika Rais Samia ndiye ameshikilia Furaha ya Mamilioni ya watanzania.kama Ingetokea akakataa ombi la watanzania,kwa hakika angewakatisha sana tamaa na kuwavunja moyo mamilioni ya watanzania ambao kwa sasa wamejaa matumaini tele na uhakika wa kutimiza ndoto zao.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Mi sikushangai nawashangaa wale waliolike Uzi wako
 
2015 na 2020 Ni Mama Yako ndio alikuwa anapiga kampeni na picha na jina lake vilikiwa kwenye mbao za wagombea?

2025-30 Rais ni Samia imeisha hiyo na atashinda Kwa kishindo ,mapovu mtaishia kumwaga jf tuu.
Mtanganyika Gani atamchagua raisi wa kuazima Toka nchi jirani??
 
Mie natenda haki wewe na hao wapumbavu wenzako laana lazima ziwatokee puani siumeona laana za wananchi ndio maana mnalipuka na hayo vx yenu kwa roho mbay kila siku mnatumbuana
Wewe ndiye mwenye laana usiyejitambua.
 
Una ukakika? Unajua kwamba Kijijini ni kama mjini Kwa Sasa au umekariri ujinga wako huko Mjini?

Uliza ndugu zako uliowatelekeza Vijijini wakwambie walichokosa badala ya kuropoka tuu
Vifo vya wamama viko vingapi kwa sasa kibao, maji hakuna , madawa hospitali hakuna madaktari sipigani na mashetani mie wenye hari za uongozi na uchawa maana hauna akili ndio maana mtu mweye akili anaelewa nakutoa msaada wewe chizi . Hutoelewa .
 
Sure ndo maana wanangu siku hizi wananiongelesha sana kingereza,Mama ni jembe apewe maua yake wenye wivu wajinyonge
ukitizama kwa umakini maendeleo yanayofanyika kwa kasi tena kwa vitendo ni kama upinzani unakosa la kuzungumza na kubaki kupandikiza chuki kwa wasio na tarifa za kina,uzuri baadae wananchi wanachuja na kuwapuuza
 
Vifo vya wamama viko vingapi kwa sasa kibao, maji hakuna , madawa hospitali hakuna madaktari sipigani na mashetani mie wenye hari za uongozi na uchawa maana hauna akili ndio maana mtu mweye akili anaelewa nakutoa msaada wewe chizi . Hutoelewa .
Yaani wewe hujitambui kabisa.unafanya kazi ya kuropoka ropoka tu . hospitali gani hiyo isiyo na madaktari?
 
Vifo vya wamama viko vingapi kwa sasa kibao, maji hakuna , madawa hospitali hakuna madaktari sipigani na mashetani mie wenye hari za uongozi na uchawa maana hauna akili ndio maana mtu mweye akili anaelewa nakutoa msaada wewe chizi . Hutoelewa .
takwimu za vifo vya mama na mtoto unazo kwa muda wa kipindi gani?

vijiji vilivyofikiwa na miradi ya maji kwa sasa unavifahamu?

huduma ya mama na mtoto ukitazama hayo madawa yalio wekwa na serikali tena bure kwa wananchi huwezi kuzungumza hivyo chukulia mfamo mdogo tuh zamani katika ukuwaji wetu matoto walikua wakitokwa na mate haswa kwa sasa umeliona hilo likiwa kwa mtoto muda mrefu sasa jua ni huduma za hopitali zimeimarika
 
On
Ndugu zangu Watanzania,

Mitaani ni shangwe, nderemo, vifijo , chereko chereko,furaha,hoihoi na tabasamu tupu kwa wananchi mbalimbali. Hii ni baada ya Rais Samia kukata kiu ya mamilioni ya watanzania waliyokuwa nayo mioyoni mwao. Kiu ya kutaka kuona Rais Samia akiendelea na muhula wa pili wa Urais kwa kuchukua ,kujaza na kurejesha Fomu ya Urais.

Shangwe hiyo imekuja baada ya Rais Samia kutamka hadharani kuwa anataka kuacha alama katika uongozi wake atakapokuwa anajiandaa kurejea Nyumbani Kizimkazi na kuja kuwahoji walipofikia kimafanikio na kimaendeleo katika Masuala Mazima ya ushirika na ugani.

Kauli ya kusema kuwa atakapo Kuwa anajiandaa kurejea Kizimkazi miaka hiyo ya mwishoni kuelekea 2030.imemaanisha kuwa Rais wetu Mpendwa amekubali Ombi na Maombi ya Mamilioni ya watanzania wa makundi mbalimbali waliohitaji kuona akiendelea kuwa Rais Wetu.

Ndio maana makundi kama Walimu walikuwa wamemchangia mamilioni ya pesa kwa ajili ya kuchukulia Fomu ya Urais.pia wahandisi nao pia walikuwa wamechanga mamilioni ya pesa kwa ajili ya kumpatia Usafiri wa helikopta atakayo kuwa anaruka nayo angani na kuteka anga lote la Tanzania kikomandoo wakati wa kampeni,huku bendera ya kijani ikipepea angani.

Kwa hakika Rais Samia ameleta furaha kubwa sana hapa Nchini kwa kauli yake hiyo.ikumbukwe ya kuwa mamilioni ya watanzania chaguo lao ni Rais Samia tuu hapo Mwakani. Watu wengi sana walikuwa wamesema kuwa wanahitaji kuona CCM ikimpatia Rais Samia ugombea Urais.jambo ambalo hata hivyo CCM kupitia viongozi wake ilijibu kwa kusema kuwa Ni Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan mpaka 2030.

Kwa hakika Rais Samia ndiye ameshikilia Furaha ya Mamilioni ya watanzania.kama Ingetokea akakataa ombi la watanzania,kwa hakika angewakatisha sana tamaa na kuwavunja moyo mamilioni ya watanzania ambao kwa sasa wamejaa matumaini tele na uhakika wa kutimiza ndoto zao.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula w
 
🤔🤔 Ni kufuru kwa MUNGU,anayeshikilia zawadi ya uhai, kuongea hivyo ni laana ku mu over smart MUNGU???🤔🤔🤔
 
Hamna porojo acheni kufanya mzaha na Mungu, yeye Samia ana mkataba na Mungu???

Hebu acheni kukufuru , jiwe mlisema mitano Tena, .......na huyu eti mpaka 2030, mna uhakika?? Mna mkataba na Mungu???🤔🤔🤔
Mungu aliyemuinua Rais wetu ndiye kwa Mapenzi yake atamlinda na kumpatia uzima na afya njema ya kuendelea kutuongoza hadi 2030
 
2025 hashindi, CCM tayari kumevurugika hiyo ni advantage ya upinzani.
Lakini watu hawataki mnada wa Mali za Tanganyika anaoufanya.
Mama hana mvuto kabisa, siijui ataongea nini kwenye kampeni za Urais zaidi ya vijembe na taarabu
 
Back
Top Bottom