Jukwaa hili siku hzi vimejaa vitoto vya darasa la saba F na vi-form 4.0. NO CRITICAL THINKING AT ALL 😄😄Sasa kuogopa kufukuzwa kazi sindio nidhamu inayohitajika. Kama huna hofu ya kupoteza kitu ambacho ni cha maana kwako utakuwaje makini?
"Tunasifiwa kwamba adjustments [maboresho] tuliyoyafanya awamu ya tano kidogo zimekuza heshima ndani ya utumishi wa umma.
“Heshima iliyokuzwa ni ya woga kwa sababu
Asante Rais hii ni kweli. Watu waliacha kutumia weledi na taaluma Yao Kwa kuogopa. Watu waogope wajibu na kazi zao si mtu!kulikuwa na Simba wa Yuda, ambaye alikuwa ukimgusa sharubu anakurarua. Lakini hata hivyo hatukukua kivile, heshima inayotakiwa iwe ya moyoni, kila mmoja aheshimu mstari wa mwenzie, hicho ndicho tunachokosa Serikalini.
“Kila siku unasikia Waziri kakwaruzana na Katibu…upande wetu tunaenda kuimarisha Chuo cha Utumishi na Chuo cha Uongozi ili kufundisha watu majukumu ya utumishi wa umma, lakini Baraza la Maadili likisimama kwenye sheria na kurekebisha maadili ya watenda kazi wa Tanzania, tutaenda vizuri,"- Rais Samia Suluhu akiwaapisha viongozi watule leo Aprili 2, 2022, Chamwino Ikulu, Dodoma
---
Hakika kila chenye mwanzo lazima kiwe na mwisho.
Your
Kumbe zile sifa za ooo nchi imerudisha heshima kwenye sehemu za kazi ilikuwa ni nidhamu ya uoga tu.
Magufuli alikuwa anawatishia watu na wakawa wanaonyesha heshima ya uoga.
Mkuu watu wanatofautiana mitazamo ndio maana huyu Jiwepamoja na yote ila kazikwa na watu wengi pengine zaidi wanavyozikwa watu wema unaowajua, usitumie nguvu kutaka watu wote wamtizame Jiwe kwa mtazamo wa ubaya muda wote.Yupo sahihi sana mama .
Hakuna mwananchi anayemkumbuka jiwe kwa mema.
Atamchapaje hayupo!Aisee! Hivi Magufuli hkupendwa na wengi hata wa karibu yake! Mama anaendelea kumchapa tu
Hiyo hiyo nidham ya uoga anayoisema ilitusaidia sana raia.., siyo kama kipindi kile mzee wenu watumishi walikuwa wanaweka makoti then inakuwa kaenda kula kutwa nzima., ni ngumu sana kuwaaminisha raja kuwa jamaa alikuwa mbaya kiasi hicho, kila mtu ana mapungufu na hata huyo bibi yenu mapungufu anayo makubwa tu.Watu wanatafsiri vibaya sana ile kauli. Mbona iko sawa yeye alikuwa makamu wa Rais alikuwa anawaona watumishi walivyokuwa waoga badala ya kuwa na ufanisi. Uoga huondoa ufanisi na hufinya madhaifu ambayo yalipaswa kusemwa na kurekebishwa.
Tulifikia hatu ya kufunga akaunti za watu hovyo, yaani hata deni la Laki 5 mtu anafungiwa akaunti yake. Haikuwa nidhamu bali ulikuwa uoga.
In reality binadamu wengi hawapendi kazi hasa hzi za kuajiriwa wanafanya tu kwa ajili ya mshahara ili maisha yaende. Hivyo akipata loop hole ya ku-relax nakufanya mambo yake ya ajabu ajabu na kazi haifanyiki kama inavyotakiwa. Hata nchi zilizo endelea wako very strict kwenye kazi kwa kuwa wanajua nature ya binadamu ilivyo na wana mifumo inayo wabana watumishi wa umma hata kwenye private sector pia. Nilitegemea huyu bibi aseme tunaboresha mfumo wa uwajibikaji ili watumishi wa umma wabanwe na mfumo (kanuni na taratibu za utumishi) badala ya kumtegemea kiongozi mkuu wa nchi kwenye kila japo linalohusiana na nidhamu za watumishi wa umma.Sasa kama mtu hapewi discpline atajifunzaje? Kwahio mule rushwa mdharau wateja hio kwenu ndio upendo au sio yani mjifanyie mnavyotaka mkiwa kazini muda wa kazi mpige soga wateja kitu cha kukamilika siku moja kichukue week sababu boss ana mambo yake hayupo ofisini mda wa kazi?
Walikuwa wanaogopa nini sasa kama walikuwa wanafanya kazi zao kwa usahihi?Asante Rais hii ni kweli. Watu waliacha kutumia weledi na taaluma Yao Kwa kuogopa. Watu waogope wajibu na kazi zao si mtu!
Mama anataka kujenga utamaduni mpya wa kufanya kazi na mitizamo mipya ya wafanya kazi sasa muhimu ni kuweka mifumo mipya inayotokana na marekebisho ya katiba, sera, sheria na kanuni mpya.Tusijidanganye.Watumishi si kwamba wana nidhamu ya kweli.Uoga,unafiki na kujipendekeza hasa kwa watu wa CCM ndiyo vimetamalaki.Ni kujilisha upepo tu.Binadamu anatakiwa ajengewe mazingira ya upendo,kujiamini na kuwajibika kwa haki.
Ni kweli unafikiri kama sio kuogopa moto nitaanzaje kujinyima kufanya starehe nitavyo hapa duniani au kufanya ibada na kuacha kufanya mambo mengine.Kama ilikuwa na effect nzuri ya mambo kwenda basi jamaa alifanikiwa....wabongo bila vitisho hawaendi.
Ndio maana ata kwemye dini unatishiwa uwepo wa moto...maana bila hivyo hakuna ambaye angekuwa mfuatiliaji wa dini
Utasubili sana huo utamaduni mpya.., kitu ni upigaji tu mwanzo mwisho.Mama anataka kujenga utamaduni mpya wa kufanya kazi na mitizamo mipya ya wafanya kazi sasa muhimu ni kuweka mifumo mipya inayotokana na marekebisho ya katiba, sera, sheria na kanuni mpya.
Ni kweli unafikiri kama sio kuogopa moto nitaanzaje kujinyima kufanya starehe nitavyo hapa duniani au kufanya ibada na kuacha kufanya mambo mengine.Kama ilikuwa na effect nzuri ya mambo kwenda basi jamaa alifanikiwa....wabongo bila vitisho hawaendi.
Ndio maana ata kwemye dini unatishiwa uwepo wa moto...maana bila hivyo hakuna ambaye angekuwa mfuatiliaji wa dini
Kama ilikuwa inaketa tija safi sana!
.
Sasa yeye ajenge huo mfumo sasa anaotaka wa kutoka moyoni, aujenge ili mambo yaende hicho ndio watu wanataka
Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
Hatimaye Legasi imezikwa rasmi !
"Tunasifiwa kwamba adjustments [maboresho] tuliyoyafanya awamu ya tano kidogo zimekuza heshima ndani ya utumishi wa umma.
“Heshima iliyokuzwa ni ya woga kwa sababu kulikuwa na Simba wa Yuda, ambaye alikuwa ukimgusa sharubu anakurarua. Lakini hata hivyo hatukukua kivile, heshima inayotakiwa iwe ya moyoni, kila mmoja aheshimu mstari wa mwenzie, hicho ndicho tunachokosa Serikalini.
“Kila siku unasikia Waziri kakwaruzana na Katibu…upande wetu tunaenda kuimarisha Chuo cha Utumishi na Chuo cha Uongozi ili kufundisha watu majukumu ya utumishi wa umma, lakini Baraza la Maadili likisimama kwenye sheria na kurekebisha maadili ya watenda kazi wa Tanzania, tutaenda vizuri,"- Rais Samia Suluhu akiwaapisha viongozi watule leo Aprili 2, 2022, Chamwino Ikulu, Dodoma
---
Hakika kila chenye mwanzo lazima kiwe na mwisho.
Kumbe zile sifa za ooo nchi imerudisha heshima kwenye sehemu za kazi ilikuwa ni nidhamu ya uoga tu.
Magufuli alikuwa anawatishia watu na wakawa wanaonyesha heshima ya uoga.
Amani ya moyo ulijiondolea mwenyewe na sasa umeirudisha mwenyewe, ni suala la kisaikolojia tu hakuna aliyeondoa amani ya mtu ya moyo.Mambo yanaenda, wewe huoni!?. Wala hatutaki mambo mengi, tunahitaji tu amani ya moyo.
Jesus is Lord of lords
Tatizo ni mifumoUkweli unauma lakini Rais ni bora anakuwa mkweli. Cha kushangaza bado kuna watu wanataka Raisi naye asiwe mkweli na kuaminisha watu uongo maana siku hizi Watanzania wengine wanapenda uongo kuliko ukweli. Nakushukuru Raisi kwa kuwa mwazi. Wafanyakazi wa Serikali wanatakiwa kutengeneza heshima ya kazi sio kumuogopa Raisi bali utamaduni wa kazi, heshima, kufuata sheria na kutopenda rushwa