Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu wacha tumpe muda,mwaka ni mda mfupi sana,bado tuna mengi ya kushuhudia, Yehova atujalie uzima na afyaDah! Jifunzeni kuwa wavumilivu tu maana ni kama mama bado ana hasira kali na hayati'
Yaani kakosea sana huyu bibi. Anaongeaga kama hana kichwa.yule alikuwa simba wa Burigi, sio wa Yuda. Aache kumtaja kizembe Bwana wetu Yesu Kristo Aliye ni Bwana na Mwokozi wa maisha yetu.
JESUS IS LORD
Wenzako walikua wanamwita mpaka mungu[emoji1787][emoji1787][emoji1787] hatari fire
Ila kwa sisi wakristo simba wa yuda ni yesu, na Wala hajawahi kumrarua mtu. Labda Simba wa chato
Sikupingi,hakuna mwanadam mkamilifu,pamoja na kuwa na mabaya yake bwana yule ila amekua na mazuri pia hilo siwezi kulisahau....japo wanadam tunasahau mazuri 100 kwa baya moja...Watu walikuwa wanaishi kwenye maisha ya uoga tu hakuna cha unafuu.
Magufuli alikuwa anatishia watu tu na wakati mwingine aliwafanyia ubaya vilevile
Hakuna mtanzania anampenda yule mtu katiliSikupingi,hakuna mwanadam mkamilifu,pamoja na kuwa na mabaya yake bwana yule ila amekua na mazuri pia hilo siwezi kulisahau....japo wanadam tunasahau mazuri 100 kwa baya moja...
Wengi wanaomchukia bwana yule,ni wale waliozibiwa mianya yao ya janjajanja.
Hakuna mtu anampenda JiweSamia anataka kupandikiza uzungu kwa muafrika kitu ambacho hatafanikiwa
Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
Mamako mwenyewe anampenda sasa kwanini unawasemea watuHakuna mtu anampenda Jiwe
Nakwambia huyu bibi anaropokaga tu, yuko hapo ili amfunike Magufuli aonekane yeye ni bora lakini muda ni mwalimu mzuri.Simba wa Yuda ni Mungu kamili kwa imani ya kikristo hivyo kumuita mwanadamu jina la kiMungu ni kwenda kinyume na imani. Ingefaa afananishwe na kitu kingine