'Wewe Mkurugenzi nikulipe mshahara, marupurupu, gari na nyumba halafu umtangaze mpinzani'? Imagine kauli kama hiyo kutoka kwa Rais wa nchi kwenda kwa kamtu kadogo kama kamkurugenzi wa halmashauri! Aiseee?Hakuna kiongozi alileta maneno ya mgawanyiko kwa watanzania kama dhalimu vwa chattle, msidhani tumesahau. Umesahau maneno kuwa watu wa mwanza wasivunjiwe nyumba maana ndio wamenipa kura? Umesahau maneno kuwa sileti maendeleo maeneo haya maana mmechagua wapinzani? Au wakati wa lugha zile ulikuwa hujajiunga hapa jf uanzishe uzi?

Bakini na mavi yenu , huko nyuma si kulikuwa na viongozi mbona hawakufanya , nchi hii imechezewa sana, mkichagua chadema sileti maendeleo , serikali haijaleta tetemeko, nitawapiga mpaka shangazi zako , ni mengi wengine wataongezeaTupe mifano
Wazee wa legacy hawawezi kukuelewa lakini kiukweli yule jamaa alikua na kauli chafu na roho mbaya sana. Mungu atadeal nae huko tumwachie ataamua mwenyewe.'Wewe Mkurugenzi nikulipe mshahara, marupurupu, gari na nyumba halafu umtangaze mpinzani'? Imagine kauli kama hiyo kutoka kwa Rais wa nchi kwenda kwa kamtu kadogo kama kamkurugenzi wa halmashauri! Aiseee?
Kuna wakati unaweza kudhania uko sahihi lakini ukawa umekosea sana, si kila neno unaloweza kulitamka ulitamke. Kwenye executive kuna confidentiality and respect to the former executives and their methods.Huyo mama amesema ukweli, kipindi cha utawala uliopita kulikuwa na utawala wa vitisho na mabavu wala hakukuwa na nidhamu ya dhati. Huo ni ukweli unaojulikana bila hata huyo mama kusema. Hiyo 2025 angekuwa na hofu iwapo box la kura lingekuwa linaheshimiwa. Magufuli ndio aliyepandikiza kutokuheshimu box la kura, hivyo hata hawa wengine hawataliheshumu na hawatapata ugumu wowote maana hawategemei kura kukaa madarakani.
Sasa Kama mfanyakazi wa Umma hataki kua na maadili yeye mwenyewe,basi Mkuu wake lazima amnyooshe na hakuna kubembelezana ebo!
"Tunasifiwa kwamba adjustments [maboresho] tuliyoyafanya awamu ya tano kidogo zimekuza heshima ndani ya utumishi wa umma.
“Heshima iliyokuzwa ni ya woga kwa sababu kulikuwa na Simba wa Yuda, ambaye alikuwa ukimgusa sharubu anakurarua. Lakini hata hivyo hatukukua kivile, heshima inayotakiwa iwe ya moyoni, kila mmoja aheshimu mstari wa mwenzie, hicho ndicho tunachokosa Serikalini.
“Kila siku unasikia Waziri kakwaruzana na Katibu…upande wetu tunaenda kuimarisha Chuo cha Utumishi na Chuo cha Uongozi ili kufundisha watu majukumu ya utumishi wa umma, lakini Baraza la Maadili likisimama kwenye sheria na kurekebisha maadili ya watenda kazi wa Tanzania, tutaenda vizuri,"- Rais Samia Suluhu akiwaapisha viongozi watule leo Aprili 2, 2022, Chamwino Ikulu, Dodoma
---
Hakika kila chenye mwanzo lazima kiwe na mwisho.
Kumbe zile sifa za ooo nchi imerudisha heshima kwenye sehemu za kazi ilikuwa ni nidhamu ya uoga tu.
Magufuli alikuwa anawatishia watu na wakawa wanaonyesha heshima ya uoga.
Unadhani nchi za wenzetu waliostaaribika wanaishi hivyo?Sasa kuogopa kufukuzwa kazi sindio nidhamu inayohitajika. Kama huna hofu ya kupoteza kitu ambacho ni cha maana kwako utakuwaje makini?
Baadhi ya Wafanyakazi wa Umma mnakera sana,na mnazani mmepata Chaka la kujifichia uvivu wenu kupitia Mama kumbe kawatega tu,Mama kawapa kamba ndefu mjinyonge wenyewe sanukeni kungali na mapema!!Unadhani nchi za wenzetu waliostaaribika wanaishi hivyo?
Kuishi kwa kuogopaogopa na kutishana tishana kuko huku shithole countries. Kufanya kazi ni raha, licha ya kupata kipato tunatakiwa tufanye kazi kuutimiza utu wetu. Mungu mwenyewe ndiye mwanzilishi wa ajira pale alipomwambia Adamu ailime na kuitunza bustani. MWANZO 2:15.
YAANI KUFANYA KAZI HADI UTISHWE!!!!!?
YESU ni BWANA na MWOKOZI
Hapa point ni kuwa jiwe alikuwa anatumia mabavu tuSasa Kama mfanyakazi wa Umma hataki kua na maadili yeye mwenyewe,basi Mkuu wake lazima amnyooshe na hakuna kubembelezana ebo!
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Hakuna mtanzania aliyekuwa na imani na jiweBaadhi ya Wafanyakazi wa Umma mnakera sana,na mnazani mmepata Chaka la kujifichia uvivu wenu kupitia Mama kumbe kawatega tu,Mama kawapa kamba ndefu mjinyonge wenyewe sanukeni kungali na mapema!!
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Mkuu hawa chawa wa mzee Meco hawawezi kukuelewaUnadhani nchi za wenzetu waliostaaribika wanaishi hivyo?
Kuishi kwa kuogopaogopa na kutishana tishana kuko huku shithole countries. Kufanya kazi ni raha, licha ya kupata kipato tunatakiwa tufanye kazi kuutimiza utu wetu. Mungu mwenyewe ndiye mwanzilishi wa ajira pale alipomwambia Adamu ailime na kuitunza bustani. MWANZO 2:15.
YAANI KUFANYA KAZI HADI UTISHWE!!!!!?
YESU ni BWANA na MWOKOZI
Jambo gani mlitia pressure huku mitandaoni na likaleta matokeo? Kuna jambo kubwa kama ule uchaguzi wa 2020 mkapiga kelele za kutosha humu ila nini kilitokea?
Kama hukuona nidhamu kipindi cha Simba wa yuda basi una matatizo makubwa, tatizo lenu mnaishi nje ya nchi mnapiga tu kelele hata hamuelewi hasa nini kinachoendelea nchini.
Kuna wakati unaweza kudhania uko sahihi lakini ukawa umekosea sana, si kila neno unaloweza kulitamka ulitamke. Kwenye executive kuna confidentiality and respect to the former executives and their methods.
Hata kama hukubaliani na waliokutangulia tumia Tafsida... staha na ukumbuke sio kila unachowaza ndio kinaamiwa na wengine wote. JPM hata kama alichukiwa na mimi haina maana wote walimchukia kuna majority waliomlilia kwa nguvu sana so once you became a president unakuwa president wa wote... sio wa karba yakk tu.... hapo ndio sikubaliani na kauli zake.
Sasa kuna mtanzania halisi ambaye atatimiZa wajibu wake bila kushurutishwa?Unadhani nchi za wenzetu waliostaaribika wanaishi hivyo?
Kuishi kwa kuogopaogopa na kutishana tishana kuko huku shithole countries. Kufanya kazi ni raha, licha ya kupata kipato tunatakiwa tufanye kazi kuutimiza utu wetu. Mungu mwenyewe ndiye mwanzilishi wa ajira pale alipomwambia Adamu ailime na kuitunza bustani. MWANZO 2:15.
YAANI KUFANYA KAZI HADI UTISHWE!!!!!?
YESU ni BWANA na MWOKOZI
Ondoka usemwe.
Kwani wapi nimemtaja Jiwe hapo!? Mi niko na Mama hapo!!Hakuna mtanzania aliyekuwa na imani na jiwe
Na mimi nipo na jiweKwani wapi nimemtaja Jiwe hapo!? Mi niko na Mama hapo!!
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app