Mgalula MzTz
JF-Expert Member
- Jul 3, 2013
- 462
- 421
Kujiandikia tu mambo bila kuwa na evidence nalo ni tatizo.Lete ushahidi na sio porojo.Alikuwa anajua kila kitu, alichokisema pale alikuwa anahadaa umma tu. Hakuna watekaji wowote zaidi ya lile kundi lake la watu wasiojulikana. Katafute walioko usingizini boss.
Kama ndio hivyo basi sina mashaka kwamba hata huo mfumo wenyewe hujui ni nini,achilia mbali kujua unajengwa vp!!
Kujiandikia tu mambo bila kuwa na evidence nalo ni tatizo.Lete ushahidi na sio porojo.
Nami sipo hapa kujadili porojo, utakuwaje na shaka nawe unaendeshwa na mihemuko.😅Nikupe ushahidi ww kama nani, sihitaji kukupa ushahidi wowote ww kwa jambo ambalo sina shaka nalo.
Muulize aliyemwita munguIla kuitwa Mungu ilikuwa sahihi!?
Utakuwa mjinga mkuu kuamini kosa la mtangulizi litafanya lako kuwa halali.Hizo kauli za karaha hata Magufuli alitumia kwa viongozi wenzake waliomtangulia, au wakati akitumia kauli zile ulikuwa bado hujaanza kufuatilia haya mambo? Ndugu ni hivi, muosha huoshwa.
Unaanzaje kum respect kichaa kama ********? Let's be serious guys Mwendazake alikuwa anaharibu umoja na ustawi wa Taifa letu. He doesn't deserve any respectKuna wakati unaweza kudhania uko sahihi lakini ukawa umekosea sana, si kila neno unaloweza kulitamka ulitamke. Kwenye executive kuna confidentiality and respect to the former executives and their methods.
Mjinga ni wewe unayeabudu mzoga tuliouzika mwaka jana Chato. Rot in Hell ********Utakuwa mjinga mkuu kuamini kosa la mtangulizi litafanya lako kuwa halali.
Yeye mwenyewe alikuwa havai barakoa, baada ya Magu kuondoka anavaa Barakoa!!
"Tunasifiwa kwamba adjustments [maboresho] tuliyoyafanya awamu ya tano kidogo zimekuza heshima ndani ya utumishi wa umma.
“Heshima iliyokuzwa ni ya woga kwa sababu kulikuwa na Simba wa Yuda, ambaye alikuwa ukimgusa sharubu anakurarua. Lakini hata hivyo hatukukua kivile, heshima inayotakiwa iwe ya moyoni, kila mmoja aheshimu mstari wa mwenzie, hicho ndicho tunachokosa Serikalini.
“Kila siku unasikia Waziri kakwaruzana na Katibu…upande wetu tunaenda kuimarisha Chuo cha Utumishi na Chuo cha Uongozi ili kufundisha watu majukumu ya utumishi wa umma, lakini Baraza la Maadili likisimama kwenye sheria na kurekebisha maadili ya watenda kazi wa Tanzania, tutaenda vizuri,"- Rais Samia Suluhu akiwaapisha viongozi watule leo Aprili 2, 2022, Chamwino Ikulu, Dodoma
---
Hakika kila chenye mwanzo lazima kiwe na mwisho.
Kumbe zile sifa za ooo nchi imerudisha heshima kwenye sehemu za kazi ilikuwa ni nidhamu ya uoga tu.
Magufuli alikuwa anawatishia watu na wakawa wanaonyesha heshima ya uoga.
Na maza alikuwa wapi wakati huo?Magufuli alaleta nidhamu ya woga tu ...hakuna lolote
Hivi wewe upo Tanzania kweli? Hebu tuanzia hapo kwanza.Serekali yote sasa hivi iko mitandaoni, maamuzi yake yanategemea pressure ya mitandaoni. Kelele za uchaguzi ule ndio hizi zinafanya viongozi waliopewa nafasi kwa uchaguzi haramu wanaogopa hata kuitisha mikutano, na wanaofanikiwa wanatumia nguvu kubwa, fedha nyingi nk. Sikuona nidhamu kipindi cha dhalimu, bali niliona sifa za kijinga, kusaka kiki na propaganda mfu. Yote haya tunayaona kwa macho yetu. Usidhani kila mtu alitekwa na zile taarifa na sifa za kupika.
Na maza alikuwa wapi wakati huo?
Jamaa wanaongea vitu vya kufikirika tu, ndio maana nimesema huyo Jiwe hakuikuta hiyo sijui nidhamu ya kutoka moyoni anayoiongelea Samia.Sasa kuna mtanzania halisi ambaye atatimiZa wajibu wake bila kushurutishwa?
Kwamba hii mijadala yenu humu mitandaoni inaipa pressure serikali hii ya ccm? Nimemwambia anitajie jambo moja tu ambalo wabongo mliipa pressure serikali kutokea humu mitandaoni ila hakutaja hata moja.Sahihi
Umepanic...bwahahahaMjinga ni wewe unayeabudu mzoga tuliouzika mwaka jana Chato. Rot in Hell ********
Vitu vyengine ni kujijengea utamaduni tu maana sisi sio mang'ombe, na ndio tofauti ya waafrika na wenzetu ngozi nyeupe.Mifumo ndio inapaswa kubana watu, na sio rais kufoka kwenye majukwaa ya siasa.
Nami sipo hapa kujadili porojo, utakuwaje na shaka nawe unaendeshwa na mihemuko.😅