Kwani Samia anapangiwa labda na Kikwete tu ila Ndugai kutoa maoni pinzani tu kamshughulikia.Hata kama alikuwepo lakini angefanyaje kwa mfano?
Kwani bwana yule alikuwa akiambilika kwa jambo lolote na kusikia?
Alishasema yeye hapangiwi!
Nani anakusikiliza hayo maoni yako sasa? Kuna watu wana miaka kibao humu Jf ila hawachangii chochote wanaishia kusoma tu sasa wewe unaona kubwabwaja humu ndio bonge la issue cha ajabu maoni yako yanaishia humu humu hayana athari yeyote.Ni sifa kwelikweli, ndio maana ww kila siku uko humu. Kama vipi ondoka ukatolee maoni yako TBC1 maana ww ndio unaijua vizuri Tanzania.
Angekuwa Simba wa yuda ndio kafanya hivyo sasa hivi mishipa ya shingo ingekuwa inakutoka kwa kulipigia kelele hilo jambo, tatizo lenu ni wanafki mnapiga kelele tu humu.Ndugayi alijisahau akaona kama yupo kwenye vikao vya sukuma gang.
Kwani Samia anapangiwa labda na Kikwete tu ila Ndugai kutoa maoni pinzani tu kamshughulikia.
Wewe kweli una matatizo, kwa kipimo gani au dalili ipi inayokufanya uhisi hizi kelele zenu humu zinawafanya watawala wakose usingizi?Hizo hizo kelele zake ndiyo zinawanyima watawala usingizi kwani kupitia mitandao wanazipata kero za wananchi
Huo upande wa Ndugai ila kwa upande wa rais kwa kile alichofanya tafsiri yake ni matumizi mabaya ya madaraka pia.Nimekuelewa,
Ni kweli Ndughaii aliongea jambo sahihi kabisa,
Tena hata kwa mujibu wa Katiba inaruhusiwa mwananchi kutoa maoni yake juu ya jambo lolote lile.
Lakini kwenye swala la Ndughaii kuna la kujifunza,
Unajua ukiangalia kwa macho ya rohoni kilichomtokea Ndughaii huenda ni adhabu na malipo ya yale alokuwa akiwafanyia wengine [emoji108]
Madam ametumika tu na Mungu kumuadhibu lakini ile huenda ilikuwa ni matokeo ya vile alivyowafanyia wengine.
Imeandikwa: ajikwezae atashishwa, ajishushae atakwezwa.
Pia Imeandikwa; Mungu humpinga mwenye kiburi.
Unajua kanuni mojawapo ya rohoni iko hivi;
Ukimuonea mtu au humuumiza mtu sababu ya madaraka yako, pesa yako, n.k ujue Mungu atainua mtu mwingine mwenye nguvu au pesa au madaraka zaidi yako akushughulikie ipasavyo [emoji108][emoji108]
Na wakati mwingine Mungu huamua kuingilia kati mwenyewe kwa kutimiza mapenzi yake!
Kwa tuishi na watu wote kwa wema na haki.
Yani kwa kufanya hivyo Mwenyezi Mungu atamu- establish na kinyume chake Ndiyo kama hivyo!
Yani hata kama unataka kumuadhibu mtu muadhibu kwa haki ambayo ipo kisheria na utu.
Hujitambui aisee hakuna Rais aliyeiletea maendeleo makubwa Tanzania Kwa muda mfupi kama Magufuli pia Alidhibiti mfumuko wa bei sasa hivi watanzania wanalia kila kitu kinapanda beiWanaomtetea marehemu magufuri ni mashetani wenzie.
Kwa jinsi alivyokuwa na roho mbaya yaani nashangaa kuona Kuna mtu anamtetea!
Yule basi tu lakini ingekuwa huko jehanum tunawasiliana, basi tungepeleka Kuni Ili aongezewe moto.
Huo upande wa Ndugai ila kwa upande wa rais kwa kile alichofanya tafsiri yake ni matumizi mabaya ya madaraka pia.
Samia anapitia na kisha anakuja kuwajibu nyodo na yale mnayomkosoa yanabaki vilevile habadili chochote, sasa hapo utasema kuna pressure?Ina maana hujawahi kumsikia mama Samia anasema anapitia sana kwenye mitandao na kuona jinsi watanzania wanalalamika?
Umesahau kabisa kuwa Magufuli aliwahi kulalamika juu ya mitandao na akaomba angalau malaika waizime mitandao?
Unadhani kwanini hao viongozi wetu waliamua kuizungumzia mitandao?
Kwa taarifa yako mitandao inatoa pressure kubwa sana kwa watawala .
Hivi mnafikiri wazungu hawana adhabu kwa watu wazembe Ulaya utakula fine na kwenda jela ukifanya utani na kazi yoyote uliyoajiriwa au mali ya umaSamia anataka kupandikiza uzungu kwa muafrika kitu ambacho hatafanikiwa
Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
Simba wa Yuda hana anaye mkubali hapa nchini kisa tabia zake za kukosa utu.Angekuwa Simba wa yuda ndio kafanya hivyo sasa hivi mishipa ya shingo ingekuwa inakutoka kwa kulipigia kelele hilo jambo, tatizo lenu ni wanafki mnapiga kelele tu humu.
Nakumbuka Ndugayi alivyo wanyanyasa wapinzani utadhania hawakuwa na haki ya kuwa pale bungeni.Nimekuelewa,
Ni kweli Ndughaii aliongea jambo sahihi kabisa,
Tena hata kwa mujibu wa Katiba inaruhusiwa mwananchi kutoa maoni yake juu ya jambo lolote lile.
Lakini kwenye swala la Ndughaii kuna la kujifunza,
Unajua ukiangalia kwa macho ya rohoni kilichomtokea Ndughaii huenda ni adhabu na malipo ya yale alokuwa akiwafanyia wengine [emoji108]
Madam ametumika tu na Mungu kumuadhibu lakini ile huenda ilikuwa ni matokeo ya vile alivyowafanyia wengine.
Imeandikwa: ajikwezae atashishwa, ajishushae atakwezwa.
Pia Imeandikwa; Mungu humpinga mwenye kiburi.
Unajua kanuni mojawapo ya rohoni iko hivi;
Ukimuonea mtu au humuumiza mtu sababu ya madaraka yako, pesa yako, n.k ujue Mungu atainua mtu mwingine mwenye nguvu au pesa au madaraka zaidi yako akushughulikie ipasavyo [emoji108][emoji108]
Na wakati mwingine Mungu huamua kuingilia kati mwenyewe kwa kutimiza mapenzi yake!
Kwa hiyo tuishi na watu wote kwa wema na haki.
Yani kwa kufanya hivyo Mwenyezi Mungu atamu- establish na kinyume chake mtu huyo muovu huondolewa kwenye kile anachotegemea matharani madaraka, pesa, nguvu n.k
Yani hata kama unataka kumuadhibu mtu muadhibu kwa haki ambayo ipo kisheria na kuzingatia utu pia.
Una uhakika gani kama mimi sipo kwenye walio timiza wajibu mara baada ya kupigiwa kelele mitandaoni?Wewe kweli una matatizo, kwa kipimo gani au dalili ipi inayokufanya uhisi hizi kelele zenu humu zinawafanya watawala wakose usingizi?
Hivi kelele za jibwa koko unajua kabisa haling'ati zitakunyima amani? Mi naona mnapiga kelele na kupata stress ila wenyewe huko yakwao yanaenda kama watakavyo sasa kuna kukosa usingizi hapo?
Alikutungulia mke wako tuUna poteza muda wako, hao wapo kama 15-20 hapa Jamboforums, ni kama ma bots flani, wanarudia talking points hizo hizo za kumtukana marehemu muheshimiwa JPM. Hawajui wanasapoti nini wala wanapinga nini, wao ni JPM tu kama vile aliwatungulia wake zao.
Huna lolote zaidi ya kutetea legacy ya kulazimisha ya mecoSamia anapitia na kisha anakuja kuwajibu nyodo na yale mnayomkosoa yanabaki vilevile habadili chochote, sasa hapo utasema kuna pressure?
Magufuli aliona hamfanyi kazi kutwa kubwabwaja tu mitandaoni ndio maana akatamani ifungwe, mlipiga sana kelele kuhusu Makonda hadi mkachoka ila Jiwe hamkumpa pressure yeyote hadi mwenyewe huko alipomchoka kipindi nyie mshanyoosha mikono.
Huo ndio ukweli.
Nani anakusikiliza hayo maoni yako sasa? Kuna watu wana miaka kibao humu Jf ila hawachangii chochote wanaishia kusoma tu sasa wewe unaona kubwabwaja humu ndio bonge la issue cha ajabu maoni yako yanaishia humu humu hayana athari yeyote.
Sio lazima uwe wewe moja kwa moja hata ile kwa umoja wenu, mfano sasa mnadai katiba mpya.Acha kupanick tafadhali, au mpaka serekali itokeze iseme imefanyia kazi madai ya Tindo wa jf?
Wewe hiyo chuki yako kwa Magufuli ndio inafanya uone kila mwenye mtazamo tofauti na wako kuhusu Jiwe basi unamuona ni mtetezi wa legacy.Huna lolote zaidi ya kutetea legacy ya kulazimisha ya meco