Sio lazima uwe wewe moja kwa moja hata ile kwa umoja wenu, mfano sasa mnadai katiba mpya.
Najua upo kwenye system sasa hivi si ndio maana unatetea huu utawala maana una manufaa kwenu wachache, halafu nyie ndio mnapanga maandamano humu mitandaoni ila mnategemea wananchi wanyonge ndio wakaandame wapigwe huko na nyie mmejificha humu mnakula mema ya nchi.Una uhakika gani kama mimi sipo kwenye walio timiza wajibu mara baada ya kupigiwa kelele mitandaoni?
Au unajiongopea kuwa mpinzani wa serikali au mkosoaji wa serikali lazima awe nje ya system?
Hahaha maneno mazuri ya wanasiasa umelazimika kuyakubali ili kujipa matumaini.Katiba mpya ni lazima ipatikane hata serikali inakirri uhitaji huo, ila wanasema twende hatua kwa hatua. Labda tunatofautiana muda wa kuipata na njia tu.
Nakumbuka Ndugayi alivyo wanyanyasa wapinzani utadhania hawakuwa na haki ya kuwa pale bungeni.
Alivyokuwa anamchukia Mbowe uradhani lile bunge ni mali yake binafsi.
Alivyo mfuta Lissu ubunge na kumnyima haki zake ni jambo ambalo lilitakiwa kukemewa na kila mtanzania.
Ndiyo. Mimi ni mmojawao.Sasa kuna mtanzania halisi ambaye atatimiZa wajibu wake bila kushurutishwa?
Hahaha maneno mazuri ya wanasiasa umelazimika kuyakubali ili kujipa matumaini.
Mbona unajichanganya .... mara mtangulizi wake alifanya hilo la kuwaongea watangulizi ... mara hii ni tabia yake kuongea... umesimama wapi?
Bi tozo anaamini uoga wake kwa JPM ndio uoga wa wote ... binafsi sikuwahi muogopa JPM hata siku moja na zaidi ya Mungu ambae namhofia sina kiumbe mwingine nae mwogopa abadani.
Bi tozo anakosea sana kwenye ethic za kiuongozi, ndio maana tunasema wakina mama level za top executive ni kuwabebesha mzigo mzito sana. Wacha msoga wamdrive hakuna namna.
Bahati mbaya Tanzania hakuna wananchi wanyonge.Najua upo kwenye system sasa hivi si ndio maana unatetea huu utawala maana una manufaa kwenu wachache, halafu nyie ndio mnapanga maandamano humu mitandaoni ila mnategemea wananchi wanyonge ndio wakaandame wapigwe huko na nyie mmejificha humu mnakula mema ya nchi.
Tukiwaambia kuwa kupata katiba mpya ni muhimu mnatuita majina ya ajabu.JPM alifanya kosa kubwa sana kupendekeza hiki kiazi mbatata kuwa mgombea mwenza wake. Huko tuendako presidential candidates inabidi wawe makini sana katika swala la running mates. Uhai wa Rais, kama ulivyo wa wengine, sio guaranteed. Nchi inastahili kubaki kwenye competent hands pindi unapotekea ulazima wa Makamu wa Rais kuapishwa kurithi kiti cha Rais!
Wenye kumkubali walishamzika dunia nzima waliona ule umma mpaka wengine wakafa nae pia, sasa wewe na chuki zako endelea kuumia.Simba wa Yuda hana anaye mkubali hapa nchini kisa tabia zake za kukosa utu.
Huo ni wimbo tu ambao unatamba sasa ila itafika muda utachuja na kutamba wimbo mwengine nao mtauwimba sana tu, nyie mbona hamsumbui akili mnaeleweka tu.Tukiwaambia kuwa kupata katiba mpya ni muhimu mnatuita majina ya ajabu.
Ilikuwa ni muendelezo tu wa chaguzi za ccm hivyo hakuna hapo cha kueleza kwenye uchaguzi huo wa 2020 wakati chaguzi zote ccm ndio huwa yeye ni mchezaji na yeye ndiyo refa, 2020 refa(ccm) aliamua kuonesha ni jinsi gani anavyoweza kupanga matokeo.Atuambie sasa na jinsi uchaguzi mkuu wa 2020 wa Rais, wabunge, na madiwani walivyofanya mpaka kushinda kwa kishindo cha 'big bang'.
Hayo ya Legacy unayajua wewe, tofauti ya mimi na wewe ni kwamba mimi sina chuki na Jiwe.Legacy ya kubumba
Wanyonge wapo si ndio wanaolalamika sasa hivi na Samia anawakomoa anataka kuwaonesha kwamba huu sio utawala wenu ndio maana anachochea vitu kupanda bei na kuwaambiana wale kwa urefu wa kamba zao.Bahati mbaya Tanzania hakuna wananchi wanyonge.
Hii misamiati ya hovyo na ya kijinga mlilithishwa na Meco .
Siamini kama akili zako zimekaa vizuri kichwani.Wanyonge wapo si ndio wanaolalamika sasa hivi na Samia anawakomoa anataka kuwaonesha kwamba huu sio utawala wenu ndio maana anachochea vitu kupanda bei na kuwaambiana wale kwa urefu wa kamba zao.