Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Sio lazima uwe wewe moja kwa moja hata ile kwa umoja wenu, mfano sasa mnadai katiba mpya.
Katiba mpya ni lazima ipatikane hata serikali inakirri uhitaji huo, ila wanasema twende hatua kwa hatua. Labda tunatofautiana muda wa kuipata na njia tu.