Mama yupo sahihi sana
Dunia ina amani kutokana na uvumilivu wa imani tulionao wakristo na hilo halina ubishi. Sijapendezwa kabisa na kauli hiyo ya Simba wa Yuda hata kama ni alikuwa mkali kama simba ni bora angeitwa hata simba wa ChatoNawaza tu Mtume M angetajwa kuhusiana na huo mfano nadhani mtaani pangeshachafuka mno na wafia dini flani, hakika wakristo ni wastaarabu sana.
Angestep down leo angekuwa Rais??Huyu ni ndumilakuwili,mbona aku step down
Tuseme tu ukweli umejaribu kwenda kwenye taasisi za serikali ukaona huduma zao zikoje ukifananisha na simba wa chato huduma ilikuaje.
Tanzania?Tusijidanganye.Watumishi si kwamba wana nidhamu ya kweli.Uoga,unafiki na kujipendekeza hasa kwa watu wa CCM ndiyo vimetamalaki.Ni kujilisha upepo tu.Binadamu anatakiwa ajengewe mazingira ya upendo,kujiamini na kuwajibika kwa haki.
Mambo yanaenda, wewe huoni!?. Wala hatutaki mambo mengi, tunahitaji tu amani ya moyo.Kama ilikuwa inaketa tija safi sana!
.
Sasa yeye ajenge huo mfumo sasa anaotaka wa kutoka moyoni, aujenge ili mambo yaende hicho ndio watu wanataka
Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
Kasema Simba wa Yuda lakini anaoneakana hafahamu vizuri maana yake Simba wa Yuda.Nawaza tu Mtume M angetajwa kuhusiana na huo mfano nadhani mtaani pangeshachafuka mno na wafia dini flani, hakika wakristo ni wastaarabu sana.
Sasa Samia Kichwa maji atamshinda nani kwa Usmart, huyu mama inabidi tufanye namnaNafikiri kinachofanyika sasa ni ku out smart uongozi uliopita. Kama magu alimfanyia kikwete ni kukandia madhaifu tuu ili wewe uonekane unabadili muelekeo
Mimi siyo mtumishi mkuu.Watumishi kama walivyo watu wengine nao wana udhaifu mwingi tu.Na ndiyo binadamu alivyoumbika.Makosa, changamoto.Hayo yote yasitufanye tukawa wanyama kwao.Kupeana nidhamu si lazima upande juu ya paa na kuutangazia umma kwamba unanikomesha Hapo unanitia usugu(unawapa usugu na wenzake) uso lazima.Toa miongozo.Hitaji tija.Hayo mengine ni ziada tu.Sasa kama mtu hapewi discpline atajifunzaje? Kwahio mule rushwa mdharau wateja hio kwenu ndio upendo au sio yani mjifanyie mnavyotaka mkiwa kazini muda wa kazi mpige soga wateja kitu cha kukamilika siku moja kichukue week sababu boss ana mambo yake hayupo ofisini mda wa kazi?
Nadhani mama hajui maana ya "Simba wa Yuda" vinginevyo asingemfananisha na yule mzee. TUMSAMEHE.Dunia ina amani kutokana na uvumilivu wa imani tulionao wakristo na hilo halina ubishi. Sijapendezwa kabisa na kauli hiyo ya Simba wa Yuda hata kama ni alikuwa mkali kama simba ni bora angeitwa hata simba wa Chato
Hiyohiyo unayoifahamu.Tusikariri.Tanzania?
Genge tiifu la Magufuli wote Ni MATAJIRI wa kutisha.Awamu ile kulikwa na wapigaji sana lakini kwa sababu ya jamaa akiwalinda na wakionekana wanatenda haki
Mtakuwa mmmekamilisha nyaraka zenu za kusaidia kupaka matope majina! Si bure nadhani.Awamu ile kulikwa na wapigaji sana lakini kwa sababu ya jamaa akiwalinda na wakionekana wanatenda haki