Rais Samia: Awamu ya 5 heshima iliyokuzwa ni ya uoga kwa sababu kulikuwa na Simba wa Yuda, ukimgusa sharubu anakurarua, hatukukua kivile

Rais Samia: Awamu ya 5 heshima iliyokuzwa ni ya uoga kwa sababu kulikuwa na Simba wa Yuda, ukimgusa sharubu anakurarua, hatukukua kivile

Daahh Pole sana Mama Janeth

Ziba Masikio usisikie..na uzibe Macho yasione .



Hivi huyu mwanamke kumbe anaroho mbaya sana namna hii, kumbe ni kweli JPM alikua akitafuta mchawi wake hamuoni kumbe nihuyu Mama?.


Mambo Mazuri aloyafanya JPM , licha ya udhaifu wake, amefikia hatua ya kudharauliwa hivi??.


Ama kweli, Kufa usemwe.
 
Amani ya moyo ulijiondolea mwenyewe na sasa umeirudisha mwenyewe, ni suala la kisaikolojia tu hakuna aliyeondoa amani ya mtu ya moyo.
Jiwe aliitawala nchi kwa mikwara mingi
 
Kwa mtu ambaye anapenda na kuzingatia siasa za kistaarabu, haki, kiutu na maelewano, atauelewa kwa urahisi sana mtizamo wa kiungozi wa Rais SSH. Lakini wale kwangu pakavu tia mchuzi bado vichwani mwao wamebakia na kumbukumbu za siasa za kiharamia za awamu iliyopita.

Wakati msimamo wa Madam President ni kurithi na kuyaendeleza mazuri yote ya awamu zilizopita, baadhi ya wanufaika wa awamu iliyopita wanatamani ayaendeleze na mabaya yake pia.

Toka mwaka 2016 walijawa na dhihaka, majivuno na kejeli nyingi pale Watanzania wenzao walipipitia katika madhila makubwa. Waliwabeza na kuwasimanga, huku wakisema kila zama ina msahafu wake.

Wamekuwa wepesi wa kusahau na wagumu wa kuelewa zama zimebadilika ijapokuwa zilikuwa ni fupi ama zilifupishwa. Ni dhahiri sasa ni kuwa ukishindwa kukabiliana ama kupambana nao, ni vyema ukaungana nao.

Mwenye akili na busara anamuelewa sana Madam President, wewe ni nani ambaye huoni aibu ya kulazimisha vitu vilivyopuuzwa, kusahaulika na kutupiliwa mbali!?
Ushauri wangu kwa wote uongozi mzuri ni hybrid ya upole na ukali yaani carrot stick principle siyo ukali tuu ndiyo falsafa ya mama
 
Mkuu watu wanatofautiana mitazamo ndio maana huyu Jiwepamoja na yote ila kazikwa na watu wengi pengine zaidi wanavyozikwa watu wema unaowajua, usitumie nguvu kutaka watu wote wamtizame Jiwe kwa mtazamo wa ubaya muda wote.
Hakuna anaye mpenda
 
Ni kweli unafikiri kama sio kuogopa moto nitaanzaje kujinyima kufanya starehe nitavyo hapa duniani au kufanya ibada na kuacha kufanya mambo mengine.
🤣🤣🤣🤣 So mzeya isingekuwa kuna moto ingekuwa full burudani
 
Kwani amekosea nini kuusema ukweli wa moyoni mwake? ITS true jiwe alikua na roho mbaya hata wakati mwingine mama akimuomba asamehe baadhi ya watu na kusonga mbele alikataa, JIWE was such an idiot
 
Mwalimu alifanya makosa makubwa mwaka 1982 aliona madaraka makubwa ya hii katiba ila hakuibadili na utabiri wake ukatimia tukapata mtu asiye na break sasa msubiri huenda tutapata vichaa wengine soon.
 
Ameongea Kama Rais sio Mwenyekiti wa chama. Jitahidi kutofautisha. Aliongea Kama Rais Wananchi wote Wana haki ya kumsikiliza.
Mwambie huyo mtwana wa meco
 
Kama ilikuwa inaketa tija safi sana!
.
Sasa yeye ajenge huo mfumo sasa anaotaka wa kutoka moyoni, aujenge ili mambo yaende hicho ndio watu wanataka

Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app

Umemuelewa lakini?. Kasema watu wawe na nidhamu ya moyoni sio ya kinafiki. Maana nidhamu ya kinafiki ni ya muda na Wala haisaidii.
 
Back
Top Bottom