Rais Samia awapa shavu Wazanzibar: Ajira asilimia 21 za Muungano kuwa za Wazanzibar

Asilimia 21 ni kubwa sana, ilitakiwa wapewe asilimia moja au 0.95 , huu ni wakati wa watanganyika kuamka na kudai serikali ya Tanganyika kama ilivyo serikali ya zanzibar, ratio ilitakiwa igawiwe kutokana na idadi ya watu,
Ni Jambo jema, ila tusisahau tukiwa na hiyo Serikali, hizo ajira za MUUNGANO zitatoka 21% kwenda 50%.(Nchi mbili huru zenye hadhi sawa itapata nguvu)

Tusijekuwa wagumu tu Wapemba watakapo shadidia utekelezaji wa ACCOUNT YA PAMOJA.
 
View attachment 2015004

Watu milioni 58 wanagombania asililia 79 ya Ajira

Ila watu milioni 1.5 unawapa asilimia 21 ya Ajira

Hongera mama, Charity begibs at home.

Watanganyika huu ni muda wa kukaa na kutafakari huu muungano una faida na sisi au la?

Hebu tazama

1. Mzanzibar ana haki ya ardhi yote ya Tanzania (Tanganyika na Zanzibar) ila wewe Mtanganyika unaweza kupata ardhi kwa masharti ya wageni

2. Mzanzibar anahaki na Ajira zote za mambo hata yasiyo ya muungano kwa mfano TAMISEMI

3. Mzanzibar anaweza kugombea nafasi yoyote ya uongozi huku Tanganyika hata kwa mambo yasiyo ya muungano kwa mfano balozi wa nyumba kumikumi lakini Mtanganyika hawezi kuwa shehia kule Zanzibar

4. Ajira zote za Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar ni exclusive kwa ajili ya Wazanzibar, Yaani Wao wanakula kotekote Tanganyika na kule Zanzibar

5. Wao wamepambana kuondoa mafuta kwenye mambo ya muungano, lakini sisi Ardhi yetu wanaitaka, na wanaienjoy sana tu kwa sababu nawajua Wazanzibar wanaomiliki ardhi TZ

Sasa katika hali kama hii, Huu muungano una faida kwa Watanganyika kweli

Angefanya 50/50 ingependeza zaidi 😁😁
 
Mmeanza tulitulia kbs
 
Akili ya negotiation inapimwa hapo halafu unambie tunaweza kunegotiate na mchina tupewe faida za kiuchumi za bandari ya bagamoyo
 
Ni Jambo jema, ila tusisahau tukiwa na hiyo Serikali, hizo ajira za MUUNGANO zitatoka 21% kwenda 50%.(Nchi mbili huru zenye hadhi sawa itapata nguvu)

Tusijekuwa wagumu tu Wapemba watakapo shadidia utekelezaji wa ACCOUNT YA PAMOJA.
Haina noma, maana tutachangia gharama za kuendesha mambo ya muungano sawa, Halafu zile ajira za serokali ya Tanganyika zisizo za muungano zitabaki kwa Watanganyika tu!
 
Basi muungano uvunjwe na kuwe na nchi moja ya Tanzania, rais mmoja , Zanzibar kusiwe na rais ila ubaki kama mkoa ,
 
Haina noma, maana tutachangia gharama za kuendesha mambo ya muungano sawa, Halafu zile ajira za serokali ya Tanganyika zisizo za muungano zitabaki kwa Watanganyika tu!
Gharama za MUUNGANO zitagharamiwa na mapato yatokanayo na vyanzo vya Muungano. Kama kutakuwa na deficit ndio pande mbili sasa zitatakiwa zijalizie palipopungua kwa usawa.

Shida ni kwamba asilimia kubwa sana ya mapato ni ya Muungano.

Mapato ya partner states hayawezi kuendesha states zao labla wabadilishe katiba.

Ugumu wa utekelezaji wa ACCOUNT ya pamoja kwa sasa unaanzia hapo.
 
View attachment 2015004

Watu milioni 58 wanagombania asililia 79 ya Ajira

Ila watu milioni 1.5 unawapa asilimia 21 ya Ajira

Hongera mama, Charity begibs at home.

Watanganyika huu ni muda wa kukaa na kutafakari huu muungano una faida na sisi au la?

Hebu tazama

1. Mzanzibar ana haki ya ardhi yote ya Tanzania (Tanganyika na Zanzibar) ila wewe Mtanganyika unaweza kupata ardhi kwa masharti ya wageni

2. Mzanzibar anahaki na Ajira zote za mambo hata yasiyo ya muungano kwa mfano TAMISEMI

3. Mzanzibar anaweza kugombea nafasi yoyote ya uongozi huku Tanganyika hata kwa mambo yasiyo ya muungano kwa mfano balozi wa nyumba kumikumi lakini Mtanganyika hawezi kuwa shehia kule Zanzibar

4. Ajira zote za Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar ni exclusive kwa ajili ya Wazanzibar, Yaani Wao wanakula kotekote Tanganyika na kule Zanzibar

5. Wao wamepambana kuondoa mafuta kwenye mambo ya muungano, lakini sisi Ardhi yetu wanaitaka, na wanaienjoy sana tu kwa sababu nawajua Wazanzibar wanaomiliki ardhi TZ

Sasa katika hali kama hii, Huu muungano una faida kwa Watanganyika kweli
Kidogo kidogo nikinyataa....kwaya ya Tabata mnaikumbuka?
 
Tulieni nyinyi mwaka mmoja kelele kibao SI tushavumilia nusu karne mauzauza ya muungano huu lkn ilikua tukisema mnatia pamba maskioni tulieni kidogo nanyi mle matunda ya muungano wa mfano duniani😁😁
 
Magufuli alichukua Wasukuma wenzake na kuwajaza kila sehemu, sasa ni zamu ya Wazenji kujazwa kila mahali
Wewe umelikosa bomba la magufuli kukusukumia hata kama hayupo wewe unamuwaza tu,
Lini ukiwa wa msiba wake utausahau ili.uondikane na ujane na utafute mume mwingine?
Mleta hija hajaweka magufulu hapa wewe unamtafuta tumjadili ili iweje?
Kama umemmisi nenda chato ukalie kwenye kaburi lake na kama huna cha kuchangia kaa kimya usubili hoja zingine.

Hii ni.hoja ya msingi inabidi tuijadili kwa kutumia akili zetu ili palipo na makosa wasahihishe
Ikiwezekana watanganyika nao wapate ajira huko zanziba hata kwa % 5
 
View attachment 2015004

Watu milioni 58 wanagombania asililia 79 ya Ajira

Ila watu milioni 1.5 unawapa asilimia 21 ya Ajira

Hongera mama, Charity begibs at home.

Watanganyika huu ni muda wa kukaa na kutafakari huu muungano una faida na sisi au la?

Hebu tazama

1. Mzanzibar ana haki ya ardhi yote ya Tanzania (Tanganyika na Zanzibar) ila wewe Mtanganyika unaweza kupata ardhi kwa masharti ya wageni

2. Mzanzibar anahaki na Ajira zote za mambo hata yasiyo ya muungano kwa mfano TAMISEMI

3. Mzanzibar anaweza kugombea nafasi yoyote ya uongozi huku Tanganyika hata kwa mambo yasiyo ya muungano kwa mfano balozi wa nyumba kumikumi lakini Mtanganyika hawezi kuwa shehia kule Zanzibar

4. Ajira zote za Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar ni exclusive kwa ajili ya Wazanzibar, Yaani Wao wanakula kotekote Tanganyika na kule Zanzibar

5. Wao wamepambana kuondoa mafuta kwenye mambo ya muungano, lakini sisi Ardhi yetu wanaitaka, na wanaienjoy sana tu kwa sababu nawajua Wazanzibar wanaomiliki ardhi TZ

Sasa katika hali kama hii, Huu muungano una faida kwa Watanganyika kweli
Katiba mpya haiepukiki
 
Asilimia 21 ni kubwa sana, ilitakiwa wapewe asilimia moja au 0.95 , huu ni wakati wa watanganyika kuamka na kudai serikali ya Tanganyika kama ilivyo serikali ya zanzibar, ratio ilitakiwa igawiwe kutokana na idadi ya watu,
Akili zimewarudi sasa 😁
 
Sasa nchi yetu kubwa kiasi hiki halafu tuwaonee wivu tena wao wenye visiwa viwili vidogo kweli
Yaani inabidi wasaidiwe zaidi kwani sisi ni big brother

Kuhusu ardhi pia wao wenyewe haiwatoshi hivi umewahi kuona kundi la ng’ombe lukichunga Zanzibar?
Sana utaona mmoja mmoja tena kafungwa pua kipini anavutwa [emoji23]

Kuendelea kwao ndio furaha kwetu tusiwe na roho za kwanini
 
Back
Top Bottom