Rais Samia awapa shavu Wazanzibar: Ajira asilimia 21 za Muungano kuwa za Wazanzibar

Hapa namuunga mkono Samia kwa kufanya HAKI bin HAKI huu Muungano tuliingia kwa lengo la kuwameza Wazanzibari sasa Mungu katugeuzia Kibao😂😆
 
Huu Muungano kuna siku watatokea watu wa vizazi vijavyo wataamua kuwa liwalo na liwe. Tusisubiri hadi tufike huko ndugu zangu. Kasoro zozote za Muungano zilizopo hivi sasa ni vizuri zikarekebishwa mapema kabla hatujachelewa.
 
View attachment 2015004

Watu milioni 58 wanagombania asililia 79 ya Ajira

Ila watu milioni 1.5 unawapa asilimia 21 ya Ajira

Hongera mama, Charity begibs at home.

Watanganyika huu ni muda wa kukaa na kutafakari huu muungano una faida na sisi au la?

Hebu tazama

1. Mzanzibar ana haki ya ardhi yote ya Tanzania (Tanganyika na Zanzibar) ila wewe Mtanganyika unaweza kupata ardhi kwa masharti ya wageni

2. Mzanzibar anahaki na Ajira zote za mambo hata yasiyo ya muungano kwa mfano TAMISEMI

3. Mzanzibar anaweza kugombea nafasi yoyote ya uongozi huku Tanganyika hata kwa mambo yasiyo ya muungano kwa mfano balozi wa nyumba kumikumi lakini Mtanganyika hawezi kuwa shehia kule Zanzibar

4. Ajira zote za Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar ni exclusive kwa ajili ya Wazanzibar, Yaani Wao wanakula kotekote Tanganyika na kule Zanzibar

5. Wao wamepambana kuondoa mafuta kwenye mambo ya muungano, lakini sisi Ardhi yetu wanaitaka, na wanaienjoy sana tu kwa sababu nawajua Wazanzibar wanaomiliki ardhi TZ

Sasa katika hali kama hii, Huu muungano una faida kwa Watanganyika kweli
MAMBO YA MBEREKO KWA KWENDA MBELE! NALO HILI LITAPITA TU
 
Huu Muungano jiwe angeendelea kuwa madarakani, nahisi angeweza kuuvunja.nilikua namuona kama haupendi kabisa ila hakua na namna tu.
 
Asilimia 21 ni kubwa sana, ilitakiwa wapewe asilimia moja au 0.95 , huu ni wakati wa watanganyika kuamka na kudai serikali ya Tanganyika kama ilivyo serikali ya zanzibar, ratio ilitakiwa igawiwe kutokana na idadi ya watu,
Ukidai katiba mpya wanafukua mafaili yako ya mwaka 47 huko,unapewa kesi ya ugaidi tu kukukomoa.
 
View attachment 2015004

Watu milioni 58 wanagombania asililia 79 ya Ajira

Ila watu milioni 1.5 unawapa asilimia 21 ya Ajira

Hongera mama, Charity begibs at home.

Watanganyika huu ni muda wa kukaa na kutafakari huu muungano una faida na sisi au la?

Hebu tazama

1. Mzanzibar ana haki ya ardhi yote ya Tanzania (Tanganyika na Zanzibar) ila wewe Mtanganyika unaweza kupata ardhi kwa masharti ya wageni

2. Mzanzibar anahaki na Ajira zote za mambo hata yasiyo ya muungano kwa mfano TAMISEMI

3. Mzanzibar anaweza kugombea nafasi yoyote ya uongozi huku Tanganyika hata kwa mambo yasiyo ya muungano kwa mfano balozi wa nyumba kumikumi lakini Mtanganyika hawezi kuwa shehia kule Zanzibar

4. Ajira zote za Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar ni exclusive kwa ajili ya Wazanzibar, Yaani Wao wanakula kotekote Tanganyika na kule Zanzibar

5. Wao wamepambana kuondoa mafuta kwenye mambo ya muungano, lakini sisi Ardhi yetu wanaitaka, na wanaienjoy sana tu kwa sababu nawajua Wazanzibar wanaomiliki ardhi TZ

Sasa katika hali kama hii, Huu muungano una faida kwa Watanganyika kweli
Zanzibar ni kama funza ndani ya Tanzania, inatunyonya vibaya tuujadili muungano upya.
 
Tunaimba wote si ndio
JamiiForums891598956.gif
 
View attachment 2015004

Watu milioni 58 wanagombania asililia 79 ya Ajira

Ila watu milioni 1.5 unawapa asilimia 21 ya Ajira

Hongera mama, Charity begibs at home.

Watanganyika huu ni muda wa kukaa na kutafakari huu muungano una faida na sisi au la?

Hebu tazama

1. Mzanzibar ana haki ya ardhi yote ya Tanzania (Tanganyika na Zanzibar) ila wewe Mtanganyika unaweza kupata ardhi kwa masharti ya wageni

2. Mzanzibar anahaki na Ajira zote za mambo hata yasiyo ya muungano kwa mfano TAMISEMI

3. Mzanzibar anaweza kugombea nafasi yoyote ya uongozi huku Tanganyika hata kwa mambo yasiyo ya muungano kwa mfano balozi wa nyumba kumikumi lakini Mtanganyika hawezi kuwa shehia kule Zanzibar

4. Ajira zote za Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar ni exclusive kwa ajili ya Wazanzibar, Yaani Wao wanakula kotekote Tanganyika na kule Zanzibar

5. Wao wamepambana kuondoa mafuta kwenye mambo ya muungano, lakini sisi Ardhi yetu wanaitaka, na wanaienjoy sana tu kwa sababu nawajua Wazanzibar wanaomiliki ardhi TZ

Sasa katika hali kama hii, Huu muungano una faida kwa Watanganyika kweli
Huyu mama anaanza kutumia kinywaji gani tena? Kwahiyo Zanzibar ni asilimia 21 ya waTz?
 
Na bado ,kuna deni tunawadai Machogo linashinda la IMF, fanyeni haraka mlipe kabla Khaloo Samia hajalirudisha kwa nguvu.
Wale maopiga makelele eti kazanziba kenyewe kainchi kadogo, baba yenu wa Taifa hakulijua hilo ???
 
Mbona nafasi nyingi tu zipo huko tunazishikilia Watanganyika.

JWTZ, POLISI, UHAMIAJI ,TRA, TISS, DSM MARINE SCIENCE ,MWL.NYERERE COLLEGE.
Listi ni kubwa.
Unakuta hao ndio wapinga Muungano wakubwa wanajua ukivunjika ndio weshafika Watakuja Tanganyika kama watalii ! Zanzibar ka ulaya bana ,msiilinganishe na hayo mabonde na milima mbu watupu.
 
Huu Muungano jiwe angeendelea kuwa madarakani, nahisi angeweza kuuvunja.nilikua namuona kama haupendi kabisa ila hakua na namna tu.

Kwa hii sheria ya asilimia 21 kila ajira ya taasisi iliyo katika wizara za muungano.. kila mzanzibar aliyesoma chuo level yeyote. Hatakosa ajira.. maana population wapo wachache na hizo wizara na taasisi zipo nyingii sanaaaaa Tanzania
 
Huu muungano unakasoro nyingi sana ila walioshika mpini wameweka pamba masikioni.
Hili halikubaliki, lazima tuungane kumpinga huyu bi kizee Mzanzibari mbaguzi. Bora wazanzibari wachukue kazi za huko kwao tu
 
Back
Top Bottom