Jumbe Brown
JF-Expert Member
- Jun 23, 2020
- 12,077
- 12,786
Maneno kuntu haswaaa👏👏👏
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimekuelewa sana mkuu, ni desturi ya binadamu mazuri ni yetu sote na mabaya ni yake mwenyewe.Kwenye Mazuri utamsikia Rais akisema "Nae alikuwa sehemu ya Awamu ya Tano"
Kwenye Magumu utasikia akisema "Tunafungia nchi" Atuambia kwanza kwa nini aliifunga.
Wewe jikite kwenye kazi anayoifanya,hizo taarabu waachie wengine wanao penda taarabu.Huyu rais hawezi kufanya kazi bila mipasho kama ya taarab?
Huyo ndo rais wako mpaka 2030 upende usipendekila siku kuongea yale yale tu, inamaana hana sera, kuna watu anashindana nao au? 2025 ije haraka tu tupate Rais mwingine huyu hapana kwakweli
Kwanini kila Rais afanane na ulichokizoea ama kukifikiria kichwani kwako?!!Huyu rais hawezi kufanya kazi bila mipasho kama ya taarab?
Let your work speak for you madam.
Hii mipasho unaingilia kazi za waimba taarab.
It is very unpresidential.
Hakika 😍Wewe jikite kwenye kazi anayoifanya,hizo taarabu waachie wengine wanao penda taarabu.
Nataka kujikita kwenye kazi anayoifanya, ila yeye mwenyewe ana distract watu wasijikite kwenye kazi anayoifanya.Wewe jikite kwenye kazi anayoifanya,hizo taarabu waachie wengine wanao penda taarabu.
No wonder nchi ina watu masikini sana.Kwanini kila Rais afanane na ulichokizoea ama kukifikiria kichwani kwako?!!
Kwani mh.Rais SSH ameivunja katiba kwa hiyo "mipasho usemayo"?!!!
Aaamin aaaamin aaaamin🙏🙏🙏Huyo ndo rais wako mpaka 2030 upende usipende
Tanzania imepita marais 5 ila yenyewe ipo na itaendelea kuwepo baada ya mh.Rais Samia na watakaomfuatia.....
Twende na mh.Rais SSH kwa ujenzi wa Tanzania bora!!!!
#Siempre JMT🙏
Nani atamchagua? hata wazenji wenzake hawamtaki kabisaAtashinda
Machadema hayo!Nikina nani hao sasa
Wakati wanapanga bei ya umeme iwe 27,000 makamu wa raisi alikua Nani, wakati wanasema COVID hakuna makamu alikua NaniNakubaliana na Mh. Rais SSH, siyo uwezo wao wa kufikiri ni mdogo bali hawana uwezo wa kufikiri kabisa.
CHADEMA wamemzuia kuendeleza?Machadema hayo!
Baada ya Samia kuchukua usukani yakawa yanapiga kelele eti piga chini hiyo miradi haina faida kwa Taifa!
Yani kuna watu vichwa vyao ni kufugia kamasi tu
Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
Huyu maza ni mbaya balaaWakati wanapanga bei ya umeme iwe 27,000 makamu wa raisi alikua Nani, wakati wanasema COVID hakuna makamu alikua Nani
Walikuwa wanataka aachane nayo hiyo miradi ili kumkomoa marehemuCHADEMA wamemzuia kuendeleza?