Phillipo Bukililo
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 18,487
- 13,611
Akija rais mwingine mtaanza kumkumbuka huyu wa sasa.Kila siku kuongea yale yale tu, inamaana hana sera, kuna watu anashindana nao au?
2025 ije haraka tu tupate Rais mwingine huyu hapana kwakweli
Huwa hamna jema hata kidogo watanzania.
Mnajiona mna haki sana ni kama vile mnachokipata hakilingani na hadhi zenu, mnasahau kuwa huyo Rais alikuwa makamu kwa miaka mitano na anajua anachokifanya pengine kuliko mimi au wewe.