Phillipo Bukililo
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 18,487
- 13,611
Akija rais mwingine mtaanza kumkumbuka huyu wa sasa.Kila siku kuongea yale yale tu, inamaana hana sera, kuna watu anashindana nao au?
2025 ije haraka tu tupate Rais mwingine huyu hapana kwakweli
Rais mwingine nani?Kila siku kuongea yale yale tu, inamaana hana sera, kuna watu anashindana nao au?
2025 ije haraka tu tupate Rais mwingine huyu hapana kwakweli
Ni kama wewe na sukuma gang mwenzako.Nikina nani hao sasa
Rais mwingine utapata 2030Kila siku kuongea yale yale tu, inamaana hana sera, kuna watu anashindana nao au?
2025 ije haraka tu tupate Rais mwingine huyu hapana kwakweli
Taarabu waachie wanaopenda wewe jikite kwenye hoja yake.Huyu rais hawezi kufanya kazi bila mipasho kama ya taarab?
Let your work speak for you madam.
Hii mipasho unaingilia kazi za waimba taarab.
It is very unpresidential.
Lini ulimsikia Samia akisema umeme ni 27,000? Hiyo ilikuwa ni Bei ya REA sio Tanesco.Wakati wanapanga bei ya umeme iwe 27,000 makamu wa raisi alikua Nani, wakati wanasema COVID hakuna makamu alikua Nani
Huyu rais hawezi kufanya kazi bila mipasho kama ya taarab?
Let your work speak for you madam.
Ikifika 2025 utasema tena 2030.Kila siku kuongea yale yale tu, inamaana hana sera, kuna watu anashindana nao au?
2025 ije haraka tu tupate Rais mwingine huyu hapana kwakweli
kama ndege ni ya magufuli basi apewe mama Janeth kama urithiMbowe anatukanaaaa alafu akimaliza anaenda kupanda Dreamliner ya Magufuli.
Shame upon him
Hotumba zake na maneno yake hayana mtililiko wa kimantiki, kisiasa haijaiva. Urais ni mkubwa sana kwakeManeno kuntu haswaaa👏👏👏View attachment 2161705
Wewe hujui kazi aliifanya Kikwete kwa huyo wa kwenu?Sawa dada joyce mukya
Watunza legacy!!Nikina nani hao sasa
Mtu ananipa ndoo kashayakojolea maji, ananiambia ninywe.Taarabu waachie wanaopenda wewe jikite kwenye hoja yake.
Acha ujuha asee, ndege ni za serikali!! OverMbowe anatukanaaaa alafu akimaliza anaenda kupanda Dreamliner ya Magufuli.
Shame upon him
Mama mtu wa pwani mipasho ni asili yake.Huyu rais hawezi kufanya kazi bila mipasho kama ya taarab?
Let your work speak for you madam.
Hii mipasho unaingilia kazi za waimba taarab.
It is very unpresidential.
Nape ni wa Chadema? Si ndio aliyesema ujenzi wa bwawa la umeme usimamishwe!! Halafu akazawadiwa uwaziri!!Machadema hayo!
Baada ya Samia kuchukua usukani yakawa yanapiga kelele eti piga chini hiyo miradi haina faida kwa Taifa!
Yani kuna watu vichwa vyao ni kufugia kamasi tu
Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
Nape hakusema huo mradi usimame!Nape ni wa Chadema? Si ndio aliyesema ujenzi wa bwawa la umeme usimamishwe!! Halafu akazawadiwa uwaziri!!