Rais Samia awasili Brussels, Ubelgiji

Rais Samia awasili Brussels, Ubelgiji

At least now I know that, she is in Belgium to attend a European Union - African Union Summit...

And if that's the case, the issue of democracy in African countries including Tanzania will paramountly be risen and I am pretty sure that...
Kwa yeyote anayeitakia Tanzania mema atataka kuona Rais Samia, Freeman Mbowe na Tundu Lissu wakikaa pamoja na kuyamaliza na zaidi kufanya kazi pamoja ya kuijenga Tanzania.

Najua wale maadui wa nchi hii hawatataka hilo litokee. Ila kama leo hii Rais ni wa Tanzania ni Mh. Samia na sio Magufuli basi kwa Mungu lile lililo gumu na lisilowezekana kwa mwanadamu kwake hufanyika
 
kwani kuongoza ndio kujulikana? unaweza ukaongoza na usijulikane, we hujamskia inspector swila leo alivyoulizwa na kibatala?
kamuuliza unamjua daktar anayekutibia? akajibu hamjui, akaulizwa tena amekutibia kwa muda gani? akajibu miaka miwili sasa ebu jiulize daktar kamtibia mgonjwa kwa muda wa miaka miwili lakini bado mgonjwa ameshindwa kumjua daktar wake....kwaiyo usishangae watu wakisema hawamjui chief hangaya.
Tatizo mmetake side kwenye mambo ya kisheria, mpo blind, chochote mnachoambiwa kutoka watu wa upande wenu mnakimeza kama kilivyo, kesi inaendelea, kuweni na subira! Ila nachoweza kukuhakikishia ni kwamba jamaa yenu safari hii hachomoi, kaivuruga sana nchi hii, na sasa system imemchoka! Itabidi achague kati ya kuendelea kuvuruga nchi au akimbilie uhamishoni, utakuja kuniambia
 
Kwa yeyote anayeitakia Tanzania mema atataka kuona Rais Samia, Freeman Mbowe na Tundu Lissu wakikaa pamoja na kuyamaliza na zaidi kufanya kazi pamoja ya kuijenga Tanzania...
Mbowe hafai, bora Lissu, Mbowe alikuwa anataka kuihangamiza hii nchi, hata haya masoko wanachoma watu wake! Mbowe angekuwa Rwanda leo hii tungekuwa tunaongea mengine, ni hatari kwa usalama wa taifa, aondolewe kwa namna yeyote ile
 
My mom anaupiga mwingi sana, sasa amekuwa ni Celebrity wa dunia, kila mtu anatamani kumuona
 
hahahahaha! naikumbuka sana siku hiyo ambapo mwigulu alionekana akiikimbia arusha toka hotelini mara baada ya tukio wakati ule akiitwa savimbi
CHADEMA wamefanya uhaini mkubwa sana since 2005 hadi sasa, ni vile tu Serikali iliamua kuwasitiri, ila sasa mwisho wenu umefika, haiwezekani wahuni wachache muisumbue nchi, endeleeni kuchoma masoko na ujinga mwingine katika ishara ya mfa maji, kutapatapa
 
Lissu ni mnafiki wa nchi, sema nyie wafuasi wake wa uswekeni huko hamumjui mnamfuata blindly, mnamuona kama Mungu wenu, the guy is a snitch wa nchi, endeleeni kumuabudu
Duh. Kwa hiyo Lissu ndiye aliyekuwa anapeleka siri za nchi Ulaya? Kwenye ujasusi mtu kama huyo anaitwa "asset".
 
Duh. Kwa hiyo Lissu ndiye aliyekuwa anapeleka siri za nchi Ulaya? Kwenye ujasusi mtu kama huyo anaitwa "asset".
Wewe ni kilaza wa mwisho kabisa duniani, mtu anayetoa siri za nchi yake ni asset? Fook you
 
Back
Top Bottom