Rais Samia awasili Kampala Uganda vyombo vya habari duniani ikiwemo TBC viko mubashara.

Ni tukio lisilo na mvuto japo unalipa promo. Sio kwamba tunamkubali huyo mama maana naye ni jizi la kura, ila tunamstahi kwa sasa wakati tunamsoma mwelekeo wake. Tunasubiri tumuone Zito akichambua ripoti ya CAG ITV na AZAM hiyo saa 6.
well summarized.
 
Mumewe ana wake watatu. President ni mke wa tatu. Sio kama ninyi mmekalia kamke kamoja tu ndiyo maana mnakufa mapema. Angalieni mzee Mwinyi anavyodunda. Angekuwa na mke mmoja angesha endazake
Kama hakuambatana huko na mumewe basi mwambieni asilale huko awahi kurudi leo. Mu7 sio mtu mzuri. Bora aende kulala Kenya
 
Ni tukio lisilo na mvuto japo unalipa promo. Sio kwamba tunamkubali huyo mama maana naye ni jizi la kura, ila tunamstahi kwa sasa wakati tunamsoma mwelekeo wake. Tunasubiri tumuone Zito akichambua ripoti ya CAG ITV na AZAM hiyo saa 6.
Shauri yenu msiomjua Zito imekula kwenu.Ulizeni Wana KIGOMA.Kwani Zito ni Mhasibu au mchumia?Lugha ya kiuhasibu anaijua?Msijeingizwa chaka some I na nyinyi muone nn kilichomo.mnategemea kichwa Cha Zito kiwachambulie?Huo ni uvivu wa kujisomea ndo maana mnalishwa matango pori
 
Ni muda gani huo mkuu? , Maana umeandika 6
 
Shauri yenu msiomjua Zito imekula kwenu.Ulizeni Wana KIGOMA.Kwani Zito ni Mhasibu au mchumia?Lugha ya kiuhasibu anaijua?Msijeingizwa chaka some I na nyinyi muone nn kilichomo.mnategemea kichwa Cha Zito kiwachambulie?Huo ni uvivu wa kujisomea ndo maana mnalishwa matango pori

Unadhani Zito akichambua ndio hatuwezi kupima anachambua nini? Sio kila mtu ana muda wa kusoma ripoti nzima ya CAG, hata kama tunajua kusoma kwani kuna watu wana muda huo. Hata huko kanisani wachungaji ndio wanatusomea biblia na kuanza kutafsiri, kwani unadhani hatuwezi kusoma Bible?
 
Huwezi kusoma Sasa unachangia nn matope.soma taarifa ujue ni nn kinachoelezewa.kusoma huna muda si uondoke tu humu ndani sababu walioko humu wanasugua vichwa ili wajue ya kuchangia
 
Back
Top Bottom