Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Huwezi kusoma Sasa unachangia nn matope.soma taarifa ujue ni nn kinachoelezewa.kusoma huna muda si uondoke tu humu ndani sababu walioko humu wanasugua vichwa ili wajue ya kuchangia
Muda wa kusoma page by page sina na sio kwamba siwezi. Vyanzo vya kupata summary ya hiyo ripoti viko kibao. Sina muda wa kupitia mpaka spelling error, wakati kuna watu wakufanya hivyo. Wakimaliza wenye huo muda natoa hitimisho kwa akili yangu. Kama ww unasoma kila kitu, kuna mkataba wowote umewahi kuuona kwa macho zaidi ya kusomewa kilichomo na ww kuafiki?