Volatility
JF-Expert Member
- Aug 22, 2018
- 3,935
- 7,513
well summarized.Ni tukio lisilo na mvuto japo unalipa promo. Sio kwamba tunamkubali huyo mama maana naye ni jizi la kura, ila tunamstahi kwa sasa wakati tunamsoma mwelekeo wake. Tunasubiri tumuone Zito akichambua ripoti ya CAG ITV na AZAM hiyo saa 6.
Acha dharau za kipumbavu. Mama yako angekuwa anapoenda kazini au shambani ungependa aambiwe hayo maneno?Kama hakuambatana huko na mumewe basi mwambieni asilale huko awahi kurudi leo. Mu7 sio mtu mzuri. Bora aende kulala Kenya
Kama hakuambatana huko na mumewe basi mwambieni asilale huko awahi kurudi leo. Mu7 sio mtu mzuri. Bora aende kulala Kenya
Ni ziara ya siku moja bwashee!
Rais Samia Sukuhu Hassan amewasili Kampala nchini Uganda na kupoke!ewa na Rais Yoweri Museveni.
Watu wote akiwemo Rais Samia wamevalia barakoa
Tukio liko mubashara TBC!
Kama huna cha kuandika Chuna tu mkuu. Siyo vizur kujadili mambo ya faragha ambayo kimsingi hayapoKama hakuambatana huko na mumewe basi mwambieni asilale huko awahi kurudi leo. Mu7 sio mtu mzuri. Bora aende kulala Kenya
Hapo sawa, next time utamke wazi ni wewe na mke wako.Mimi na mke wangu.
Hapo sawa, next time utamke wazi ni wewe na mke wako.
Unaonekana umelelewa kwenye malezi ya hovyo kuliko hovyo yenyewe.Kama hakuambatana huko na mumewe basi mwambieni asilale huko. Bora aende kulala Kenya
Shauri yenu msiomjua Zito imekula kwenu.Ulizeni Wana KIGOMA.Kwani Zito ni Mhasibu au mchumia?Lugha ya kiuhasibu anaijua?Msijeingizwa chaka some I na nyinyi muone nn kilichomo.mnategemea kichwa Cha Zito kiwachambulie?Huo ni uvivu wa kujisomea ndo maana mnalishwa matango poriNi tukio lisilo na mvuto japo unalipa promo. Sio kwamba tunamkubali huyo mama maana naye ni jizi la kura, ila tunamstahi kwa sasa wakati tunamsoma mwelekeo wake. Tunasubiri tumuone Zito akichambua ripoti ya CAG ITV na AZAM hiyo saa 6.
Ni muda gani huo mkuu? , Maana umeandika 6Ni tukio lisilo na mvuto japo unalipa promo. Sio kwamba tunamkubali huyo mama maana naye ni jizi la kura, ila tunamstahi kwa sasa wakati tunamsoma mwelekeo wake. Tunasubiri tumuone Zito akichambua ripoti ya CAG ITV na AZAM hiyo saa 6.
Labda katerero
Shauri yenu msiomjua Zito imekula kwenu.Ulizeni Wana KIGOMA.Kwani Zito ni Mhasibu au mchumia?Lugha ya kiuhasibu anaijua?Msijeingizwa chaka some I na nyinyi muone nn kilichomo.mnategemea kichwa Cha Zito kiwachambulie?Huo ni uvivu wa kujisomea ndo maana mnalishwa matango pori
Mechi imeisha kaka.Ni muda gani huo mkuu? , Maana umeandika 6
Yule jamaa wa Kenya ndo balaa kabisa ni bora hata mu7 mara sabaKama hakuambatana huko na mumewe basi mwambieni asilale huko. Bora aende kulala Kenya
Uhuru na Suluhu ni majina ya amani na upendo.Yule jamaa wa Kenya ndo balaa kabisa ni bora hata mu7 mara saba
Huwezi kusoma Sasa unachangia nn matope.soma taarifa ujue ni nn kinachoelezewa.kusoma huna muda si uondoke tu humu ndani sababu walioko humu wanasugua vichwa ili wajue ya kuchangiaUnadhani Zito akichambua ndio hatuwezi kupima anachambua nini? Sio kila mtu ana muda wa kusoma ripoti nzima ya CAG, hata kama tunajua kusoma kwani kuna watu wana muda huo. Hata huko kanisani wachungaji ndio wanatusomea biblia na kuanza kutafsiri, kwani unadhani hatuwezi kusoma Bible?