Rais Samia Awasili Mbeya Kushiriki Maadhimisho ya Sikukuu ya Wakulima (NaneNane)

Wanyakyusa watamwacha salama bila zomea zomea kweli?

Mbeya ilimzomea JPM mchana kweupe.
Wanyaki hawanaga woga wakiamua
punguzeni uwongo nyie vijana, JPM alizomewa mwaka gani ktk mkutano wa nini, JPM NI MTU WA KUZOMEWA? UWONGO UNAWASAIDIA NINI? Hakuna wa kumzomea rais wetu, watanzania wanampenda mno, kwani ni mara ya kwanza kwenda Mbeya? Msitake kufanya Mbeya a special case, tena ktk jambo la hovyo.
 
Wanyakyusa watamwacha salama bila zomea zomea kweli?

Mbeya ilimzomea JPM mchana kweupe.
Wanyaki hawanaga woga wakiamua
Kwa hiyo dada yangu Tusekelege Erythrocyte yupo Mbeya kuongoza zomea zomea hiyo ?!!![emoji1787]

Usitutie WANYAKYUSA wote katika UJINGA NA UPUMBAVU wa utovu wa adabu na NIDHAMU....

Mkuu tuombe radhi kwani si wote wa kapu hilo la kutoheshimu tunu na ALAMA za taifa....

#MamaAnaupigaMwingi[emoji120]
 
[emoji7][emoji7]
 
Sidhani kama JPM aliwahi kuzomewa Mbeya akiwa rais. Katika maeneo walimkubalia JPM basi ni Mbeya.

Aliyezomewa ni Kikwete. Na sidhani kama watafanya hivyo kwa SSH. Ameipendelea sana mikoa ya nyanda za juu kusini. Kuna miradi mikubwa kadhaa amepeleka kule.
 
Kuna wakati watoto wabaki shule tu.
JPM hadi anafariki hakuipenda Mbeya hata kidogo kwani kuanzia kampeni zake za urais alikuwa akikutana na zomea zomea
 
Kuna wakati watoto wabaki shule tu.
JPM hadi anafariki hakuipenda Mbeya hata kidogo kwani kuanzia kampeni zake za urais alikuwa akikutana na zomea zomea
Tabia mbaya ilioje ya kuzomeana....sembuse kuizomea ALAMA kuu ya TAIFA?!!! Daah [emoji22]
 
Kwasasa Wanyaki wako upande wa ndg yao Mwambukusi na sio mwingine
Si wanyaki wote....

Yule Mwambukusi ni mfuasi wa mh.Mbowe....wana ajenda zao nzito ndani yake...Sugu naye yumo humo......
 
Tabia mbaya ilioje ya kuzomeana....sembuse kuizomea ALAMA kuu ya TAIFA?!!! Daah [emoji22]
Mkuu, rais sio mtu ni taasisi.
Hata Marekani ambalo hulinda TUNU zao kwa gharama zoxote na eivu mkubwa lakini raisi huzomewa asipoenda sawasawa.
Zomea zomea ni aina ya kufikisha ujumbe japo dio ustaarabu.

Watawala wajifunze kuheshimu sauti ya waliowaweka pale vinginevyo kuzomewa ni haki yao kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…