Rais Samia Awasili Mbeya Kushiriki Maadhimisho ya Sikukuu ya Wakulima (NaneNane)

Rais Samia Awasili Mbeya Kushiriki Maadhimisho ya Sikukuu ya Wakulima (NaneNane)

Glenn ndugu yangu kwani iliyozimwa ni VERDICT ya kesi ?!!

Mbona tukio la 8/8 liko ndani ya ALMANAC....
Mkuu hii nchi ni rahisi sana kutabiri kinachofuata.
Tujipe muda na tuombe uzime tuone alhamisi labdq malaika wataingilia kati. Vinginevyo kesi hii kishinda mbingu ziingilie kati
 
Kwa hoyo tubakie kuendekeza umwinyi wa viongozi wetu sio?
Unachanganya mambo....

Unazungumzia UMWINYI ?!! [emoji15][emoji1787][emoji1787]

Hata huko Marekani upo....hukumbuki kuwa TRUMP alivituhumu vyombo vya dola kumuibia kura ilihali ni rais....unadhani waliofanya hayo si mtandao wa "mamwinyi"?!!

Kazi ya serikali zote duniani ni "kuupunguza UMWINYI" na kamwe hawawezi kuufuta kuwa ZERO DEGREE....
 
Mkuu hii nchi ni rahisi sana kutabiri kinachofuata.
Tujipe muda na tuombe uzime tuone alhamisi labdq malaika wataingilia kati. Vinginevyo kesi hii kishinda mbingu ziingilie kati
[emoji1787][emoji1787]
Kumbe unatembea na matokeo ya kesi kabla hukumu kutolewa...

Kwa hiyo akina Mwambukusi wakishindwa itakuwa HAKI haijate deka ?!! [emoji15][emoji15][emoji1787]
 
Kuna wakati watoto wabaki shule tu.
JPM hadi anafariki hakuipenda Mbeya hata kidogo kwani kuanzia kampeni zake za urais alikuwa akikutana na zomea zomea
Nakumbuka 2015 alizomewa vibaya sana ndo maana alimuondoa Kandoro soon baada ya Urais!

Rais wa nchi hii aliyepata heshimika Mbeya ni Nyerere peke yake waliofuata wote walikumbana na Zomeazomea hasa Mkapa... JK yeye msafara wake ulipopolewa kwa mawe!
 
Bora unisaidie kueleza, kuna wanazi hawataki kusikia hili
 
baada ya kuwasili katika uwanja wa Ndege wa Songwe Mkoani Mbeya tarehe 07 Agosti, 2023.
Uwanja wa ndege "wa Songwe" uko mkoani Mbeya?

Kwa nini usiitwe uwanja wa ndege "wa Mbeya"?
 
punguzeni uwongo nyie vijana, JPM alizomewa mwaka gani ktk mkutano wa nini, JPM NI MTU WA KUZOMEWA? UWONGO UNAWASAIDIA NINI? Hakuna wa kumzomea rais wetu, watanzania wanampenda mno, kwani ni mara ya kwanza kwenda Mbeya? Msitake kufanya Mbeya a special case, tena ktk jambo la hovyo.
Chawa wa mama wapigwa marufuku je umekaidi?
 
Kuzomeana si ustaarabu...

Polisi wakitumwa kulinda USTAARABU itakuwa ni uonevu ?!!! [emoji15][emoji1787]

Kwa anakolipeleka taifa lazima azomewe [emoji23][emoji23]
Na nyie machawa wake mkiingilia tunawazomea pia
 
Nakumbuka 2015 alizomewa vibaya sana ndo maana alimuondoa Kandoro soon baada ya Urais!

Rais wa nchi hii aliyepata heshimika Mbeya ni Nyerere peke yake waliofuata wote walikumbana na Zomeazomea hasa Mkapa... JK yeye msafara wake ulipopolewa kwa mawe!
Kufanya ujinga Kisha kujiona ni ukosefu wa akili.
 
Wanyakyusa watamwacha salama bila zomea zomea kweli?

Mbeya ilimzomea JPM mchana kweupe.
Wanyaki hawanaga woga wakiamua
Mbeya hawaku mzomea, ila walimsimam8sha na kumpigisha 'Peoplez Power'
 
Back
Top Bottom