Rais Samia Awasili Mbeya Kushiriki Maadhimisho ya Sikukuu ya Wakulima (NaneNane)

Kwasasa Wanyaki wako upande wa ndg yao Mwambukusi na sio mwingine

Kabisa bro, mama watz wengi hatumuelewi na hao wajinga waliopita bila kupingwa ndio wanazidi kumjaza ujinga tu
 
Sns kazi ngumu mbele yake.
Hili halipiti hivi hivi
 
Au ndio sababu uamuzi wa kesi ya bandari ume sogezwa mbele🤔🤔 kwa sababu pengine majibu yangetoka tofauti na watu walivyo tarajia angesusiwa hayo maadhimisho kesho🤔🤔
 
Wenye mamlaka wamezima hukumu
 
Ujinga huo...

Marekani ndiyo SI UNIT ya kila mambo ya walimwengu?!!

Wewe ,mimi ,wamarekani wapi na wapi ?!!! [emoji15][emoji15][emoji15][emoji1787]
 
Kabisa bro, mama watz wengi hatumuelewi na hao wajinga waliopita bila kupingwa ndio wanazidi kumjaza ujinga tu
Idadi ya hao watanzania wasiomuelewa imefanyika KISAYANSI wapi ?!! [emoji15][emoji1787][emoji1787]
 
Ujinga huo...

Marekani ndiyo SI UNIT ya kila mambo ya walimwengu?!!

Wewe ,mimi ,wamarekani wapi na wapi ?!!! [emoji15][emoji15][emoji15][emoji1787]
Kwa hoyo tubakie kuendekeza umwinyi wa viongozi wetu sio?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…