Rais Samia awasili mkutano wa COP27 Sharm El Sheikh Egypt 2022

Huyu mama haonagi aibu.
Huku ndege imeanguka.
Huku mlima unawaka moto.
Huku Hakuna maji
Huku Hakuna umeme
Huku mchele, mahindi, maharagwe kimekua chakula cha anasa.
Huku Wanafunzi wamekosa mikopo ya elimu ya juu.
Huku polisi wanapunjwa Malipo yao.
Bado anapita nchi kwa nchi?

Kweli Mtanikumbuka
 

Attachments

  • F75EAC2F-C90C-4AFE-9DA6-D7CA735C80E8.jpeg
    63.3 KB · Views: 1
Kiguu na njia
 
Umesema kweli Sana!
 
By the way makamu wa Raisi yuko wapi vile ?
Naye hata hajulikani yuko nchi gani! Maana kama wako kwenye mashindano vile ya kupuyanga kwenye nchi za watu!

Mara unasikia huyu yuko USA kuhudhuria mkutano wa UNGA, wakati huo huo mwingine yuko Uingereza kumzika Malkia! 🤔
 
Naye hata hajulikani yuko nchi gani! Maana kama wako kwenye mashindano vile ya kupuyanga kwenye nchi za watu!

Mara unasikia huyu yuko USA kuhudhuria mkutano wa UNGA, wakati huo huo mwingine yuko Uingereza kumzika Malkia! 🤔
Rais wa katiba na Makamu wa Rais wa katiba.
 
Wanawake wameumbiwa petty issues... kupaka hina, kuchora piko... shughuli za tafrija kupamba nyumba mapishi n.k n.k

Mambo mengine kuwalaumu ni kuingilia kazi yake muumba aliyewatoa kwenye ubavu wetu.
Tena wa kwetu ndio hivyo kabisa kabisa
 
Eeh Mola tafadhali fast forward muda 2025 ifike ili utuondolee hila balaa waja wako, tulikukosea wapi?
Ukisema hivi Lucas mwashambwa anakushangaa! Maana kwa mtazamo wake, anaamini huyo mama yake bado yupo yupo sana!

Yaani mpaka 2030!! Tena hapo bado hajapigiwa chapuo na wachumia tumbo na chawa kama yeye mwenyewe, kutawala milele!!
 
Ukisema hivi Lucas mwashambwa anakushangaa! Maana kwa mtazamo wake, anaamini huyo mama yake bado yupo yupo sana!

Yaani mpaka 2030!! Tena hapo bado hajapigiwa chapuo na wachimia tumbo kutawala milele!!
Baada ya kifo cha JPM ilitakiwa Maza atawale miezi 6 tu, then tuingie kwenye uchaguzi mkuu wa kumchagua Rais tu, Maza angebakia kwenye nafasi aliyokuwa nayo .
Kilichofanyika wabara wamechanganyikiwa wa visiwani wanafurahia.
Hiki kipengele kwenye katiba kibadilishwe soon.
 
Wakati dunia inashuhudia ongezeko la hali mbaya ya hewa duniani kote, kwa upande mwingine makadirio ya idadi ya watu duniani imefikia 8Bn. Viongozi hatakwepa kwa vyovyote vile kuzungumzia ajenda ya kificho ya kupunguza idadi ya watu duniani.

Ni lazima wakubaliane ili waende kinyume na amri hii kutoka Mola wao;

MWANZO 1

27. Basi, Mungu akaumba mtu kwa mfano wake; naam, kwa mfano wake Mungu alimuumba. Aliwaumba mwanamume na mwanamke.

28. Mungu akawabariki na kuwaambia, “Zaeni muongezeke, mkaijaze nchi na kuimiliki; muwatawale samaki wa baharini, ndege wa angani, na kila kiumbe hai kitembeacho duniani.”

Na watafikia makubaliano ili idadi ya watu ipunguzwe duniani, ili utabiri ufuatao upate kutimia;

UFUNUO 8

6 Kisha, wale malaika 7 wenye baragumu 7 wakajiweka tayari kupiga mbiu ya mgambo.

7 Malaika wa kwanza akapiga baragumu yake. Mchanganyiko wa mvua ya mawe na moto pamoja na damu ukamwagwa juu ya nchi. Theluthi moja ya nchi ikaungua, theluthi moja ya miti ikaungua na majani yote mabichi yakaungua.

8 Kisha malaika wa pili akapiga tarumbeta yake. Na kitu kama mlima mkubwa unaowaka moto kikatupwa baharini. Theluthi moja ya bahari ikawa damu,

9 theluthi moja ya viumbe vya baharini vikafa, na theluthi moja ya meli zikaharibiwa.

(Mapigo ya baragumu jisomee wewe mwenyewe upate kujua hazina ya mabomu yaliyopo duniani yalivumbuliwa kwa ajili ya unabii wa baragumu 7)

Wakati muafaka wa kuja kwa mfumo mpya wa uendeshaji wa mambo kidunia umefika. Kinachosubiriwa ni kudhihirishwa kwa kiongozi mkuu atakaye uendesha mfumo huo mpyw.

Kwa wale wapenzi wa mieleka nadhani wameshuhudia kule Saudi Arabia matayarisho ya matumizi ya "Project Blue Beam" angani. Wale wazee wa kusema hizi ni "conspiracy theories" ni waseme, ila ukweli utabakia kuwa ukweli.
 
Eeh Mola tafadhali fast forward muda 2025 ifike ili utuondolee hila balaa waja wako, tulikukosea wapi?
Lakini afadhali huyu mwenye kidogo na mwenye kikubwa anakula kwa amani kuliko huyo anaecharazwa fimbo na malaika wa mbingun ambae kila mmoja wetu alikuwa anajua anapoteza uhai mda wowote .
 
Huyu mama tumepigwa! Na huu ni ukweli mchungu. Hadi siku ya kutoka kwake kwenye hiyo nafasi, tutakuwa tumetendea haki kama Taifa.
 
Huyu mama tumepigwa! Na huu ni ukweli mchungu. Hadi siku ya kutoka kwake kwenye hiyo nafasi, tutakuwa tumetendea haki kama Taifa.
 

Attachments

  • EC633942-D1B3-445B-A455-5759B9E357C7.jpeg
    57.4 KB · Views: 1
hana habarii.
 
Mwacheni Mama Masafiri ale mema ya nchi!
Kwani mumeenda Bagamoyo mkakuta Rais hayupo?acheni wivu Bwana🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…