Rais Samia awasili mkutano wa COP27 Sharm El Sheikh Egypt 2022

Rais Samia awasili mkutano wa COP27 Sharm El Sheikh Egypt 2022

tunamuomba Mungu aendelee kuwalinda wavuvi wetu wa majini ili taifa lipone kupitia maji
 
Rais Samia Hassan siku ya Jumanne tarehe 08 November 2022 kuwasilisha mpango kazi wa nchi 12 za kusini mwa Afrika kupata Mabilioni ya dolari za kimarekani kwa ajili ya nishati mbadala endelevu

Tanzania’s President Hassan Pitches $18 Billion Plan for Energy Transition in Africa​

  • Tanzanian leader seeks funding for renewable use in region
  • Opportunity for clean energy is now: Energy Minister Makamba
Tanzania's President Samia Suluhu Hassan

Tanzania's President Samia Suluhu Hassan
Photographer: Yuri Gripas/Abaca
By
David Malingha and
Will Kennedy
+Follow
7 November 2022 at 17:30 GMT

Tanzania’s President Samia Hassan will present an $18 billion plan to build renewable power generation in southern Africa at talks in Egypt as leaders from the continent seek to increase climate finance in the region.
Under the proposal, a bloc of 12 countries in the region would increase generation by about 8.4 gigawatts from sources such as solar and wind, Tanzanian Energy Minister January Makamba said in an interview. Hassan is scheduled to host a meeting of the nations’ leaders and financial institutions on Tuesday at the COP27 climate summit in Sharm el-Sheikh, Egypt. Source : Bloomberg

More on Climate Change: Finance assistance
Energy Voice
https://www.energyvoice.com › sou...
South Africa to use bulk of $8.5billion climate funding for electricity

3 days ago — South Africa's government will utilize 90% of an $8.5 billion climate-finance package to bolster its power supply....
 
Wapo wanawake wa shoka.
Wanawake wameumbiwa petty issues... kupaka hina, kuchora piko... shughuli za tafrija kupamba nyumba mapishi n.k n.k

Mambo mengine kuwalaumu ni kuingilia kazi yake muumba aliyewatoa kwenye ubavu wetu.
 
Safi Sana Rais wetu mpendwa, Ni Rais wa kazi muda wote, Ni mtumishi wetu mwaminifu aliyejitoa na kujitolea kuwatumikia watanzania
 
'Kilimanjaro' kauli mbiu ya kupambana na kasi ya mabadiliko ya tabianchi


Fjordkraft , the second largest electricity retailer in Norway, is using its purchasing power to inspire all its suppliers to be climate neutral by 2019. Fjordkraft has been climate neutral since 2007, but decided in June 2016 it could do more, launching its Klimanjaro project to inspire its suppliers to make bold commitments to climate action: to measure greenhouse gas (GHG) emissions, reduce what they can, and offset the rest. The name, Klimanjaro combines klima, the Norwegian word for climate, with the name of Africa’s highest peak, Mount Kilimanjaro. Mount Kilimanjaro is difficult to climb, but fully feasible if we summit together. Learn more: unfccc.int/climate
 
Huyu mama haonagi aibu.
Huku ndege imeanguka.
Huku mlima unawaka moto.
Huku Hakuna maji
Huku Hakuna umeme
Huku mchele, mahindi, maharagwe kimekua chakula cha anasa.
Huku Wanafunzi wamekosa mikopo ya elimu ya juu.
Huku polisi wanapunjwa Malipo yao.
Bado anapita nchi kwa nchi?
Waziri wa uchukuzi yupo
Waziri wa maliasili na utalii & Waziri wa mambo ya ndani wapo
Waziri wa maji yupo
Naibu waziri wa nishati yupo
Waziri wa elimu yupo
waziri wa mambo ya ndani yupo

Zaidi ya yote waziri mkuu yupo
 
Waziri wa uchukuzi yupo
Waziri wa maliasili na utalii & Waziri wa mambo ya ndani wapo
Waziri wa maji yupo
Naibu waziri wa nishati yupo
Waziri wa elimu yupo
waziri wa mambo ya ndani yupo

Zaidi ya yote waziri mkuu yupo
Ukiowataja waliwahi kuwaomba Kura wananchi wa Tanzania?
Hujui maana ya Rais mkuu?
 
07 November 2022
Sharm El Sheikh, Egypt

MKUTANO WA COP27 SHARM EL SHEIKH EGYPT 2022


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Samia Suluhu Hassan pamoja na wakuu wengi wa nchi wapo kuhudhuria Mkutano wa 27 wa nchi wanachama wa mkataba wa Kimataifa wa tabianchi COP27 mwaka huu 2022 unafanyika mjini Sharm el-Sheikh, nchini Misri.

Ajenda kuu ni kunusuru ulimwengu ambapo dunia inashuhudia ongezeko la hali mbaya ya hewa duniani kote, shida ya nishati iliyochochewa na vita vya Ukraine, na takwimu za wanasayansi zinasisitiza kwamba ulimwengu haufanyi vya kutosha kukabiliana na utoaji wa hewa ya kaboni na kulinda mustakabali wa sayari yetu.

Katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa / UN Bw. General António Guterres amepeleka ujumbe kwa dunia kuwa mpaka sasa ktk mapambano ya kunusuru uhai wetu, tunaelekea kushindwa.

Katibu mkuu wa UN Bw. António Guterres anaongeza tupo katika spidi kali barabara kuu kuelekea mazingira ya hali ya hewa ya kuzimu huku tukikandamiza vikali accelerator ya mwendo wa gari . Maneno hayo mazito yanaashiria kuwa inabidi dunia kuchukua hatua za ziada kupunguza uharibifu wa mazingira unaoleta mabadiliko ya tabia nchi .

Rais Abdel Fattah El-Sisi wa Egypt nchi ambayo imekuwa mwenyeji wa mkutano huo wa Umoja wa Mataifa wa TabiaNchi amesisitiza kuwa dunia yote inawaangalia viongozi wanaohudhuria mkutano huo waje na mkakati unaoweza kukabiliana na tishio la mabadiliko la tabianchi.



Mkutano huu utakuwa na vikao vingi vya wakuu wa nchi kukubaliana utekelezaji wa mkakati wa makubaliano ya kukabiliana na mabadiliko ya tabia-nchi, usipozingatiwa basi unaotishia uwepo wa maisha ya binadamu, ekolojia na viumbe duniani

 
Wasije wakaleta sheria za kukandamiza binadamu kwa kudhani majanga ya mabadiriko ya tabia ya nchi au Climate change solution ni kulazimisha siku za ibada. Carbon free Sunday/ Zero Carbon Sunday. shida zitazidi.
 
Back
Top Bottom