Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Lete maneno.... Upo Tz au wapi? Hali ya huko ikoje? Muwe mnatembea tembea nchi sasa ipo wazi.Basi sawa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lete maneno.... Upo Tz au wapi? Hali ya huko ikoje? Muwe mnatembea tembea nchi sasa ipo wazi.Basi sawa
Ilifungwa na nani?Lete maneno.... Upo Tz au wapi? Hali ya huko ikoje? Muwe mnatembea tembea nchi sasa ipo wazi.
Mi sijui. Najua tu sasa ipo wazi.Ilifungwa na nani?
Kwa sensitivity ya kikao nadhani inahitaji zaidi uwepo wake kama rais, kuliko kuwakilishwa. Labda kwa vikao vitakavyofuata.
Kuhusu Waziri mkuu ma waziro wa Ulinzi, hao wanatakiwa wabaki mchini wakiwa standby kujibu maswali ya Makonda watakapohitajika.
Una mtazamo finyu sana. Kama unachoona ni tatizo la umeme leo tu huoni kitakachotokea miaka mitano ijayo, basi wewe ni hopeless 😔Soko la hapa Nchini lenyewe halina Umeme huu sasa ni wakati muafaka wa kujali siasa za ndani siasa za sijui kumkomboa mtu ndio zimetufanya tuwe masikini wa kutupwa.