Rais Samia awasili Saudi Arabia kushiriki mkutano unaozikutanisha nchi za Afrika na Saudi Arabia kujadili masuala mbalimbali ya ushirikiano

Rais Samia awasili Saudi Arabia kushiriki mkutano unaozikutanisha nchi za Afrika na Saudi Arabia kujadili masuala mbalimbali ya ushirikiano

Uwe na adabu kwa mh Rais na siyo kuandika kwa kuropoka kama mlevi wa gongo.
Nina sababu gani za kumheshimu mtu ambae hana utu ?

Jana kuna Mzee kakutwa na hatia ya kuiba bilioni 71 za ATCL, kafungwa miaka 4 au faini mil 12. Kalipa faini kaondoka. Leo kuna Mama kakutwa na minofu 12 ya Faru, kapewa miaka 22 jela. Waarabu wangapi wanasafirisha hizo mali za porini kijambazi?

Hatuna sababu za kuipenda nchi au kumheshimu mtawala au serikali ya watu kama hawa.
 
Nina sababu gani za kumheshimu mtu ambae hana utu ?

Jana kuna Mzee kakutwa na hatiaya kuiba bilioni 71 za ATCL, kafungwa miaka 4 au faini mil 12. Kalipa kaondoka faini. Leo kuna Mama kakutwa na minofu 12 ya Faru, kapewa miaka 22 jela. Waarabu wangapi wanasafirisha hizo mali za porini kijambazi ?

Hatuna sababu za kuipenda nchi, kumheshimu mtawala au serikali.
Katika masuala ya kesi ukiona umeonewa katika mahakama hii unayo haki ya kukata rufaa mahakama ya juu yake ili kupigania haki yako .lakini pia mahakama ni chombo huru kinachofanya maamuzi yake kwa uhuru.maamuzi hayatolewi na Rais wala Serikali yake kwa kuwa mahakama ni mhimili unaojitegemea na hauingiliwi na mhimili mwingine. Kwa hiyo kufungwa kwa mtu usipeleke mahasira yako kwa serikali au Rais wetu mpendwa.
 
Kuna wale nyumbu walisema ooh Samia kaenda peke yake 😂😂
1121748717.jpg
586162213.jpg
-2027218176.jpg
1898936350.jpg
 
Nina sababu gani za kumheshimu mtu ambae hana utu ?

Jana kuna Mzee kakutwa na hatiaya kuiba bilioni 71 za ATCL, kafungwa miaka 4 au faini mil 12. Kalipa kaondoka faini. Leo kuna Mama kakutwa na minofu 12 ya Faru, kapewa miaka 22 jela. Waarabu wangapi wanasafirisha hizo mali za porini kijambazi ?

Hatuna sababu za kuipenda nchi, kumheshimu mtawala au serikali.
Rais na mambo ya Mahakama wapi na wapi?

Mwingine ana uwezo wa kuweka Wakili na mwingine hana ,unategemea hukumu zitakuwa sawa?
 
mahakama ni chombo huru kinachofanya maamuzi yake kwa uhuru.maamuzi hayatolewi na Rais wala Serikali yake kwa kuwa mahakama ni mhimili unaojitegemea na hauingiliwi na mhimili mwingine.

Mahakama ya Tanzania ni chombo huru na hakiingiliwi na mihimili mingine ????

You are a mental patient. You need a frontal lobe transplant, or if that is not within reach, you can just ride it out for the rest of your life as long as you are aware of your condition.
 
Mahakama ya Tanzania chombo huru na hakiingiliwi na mihimili mingine ????

You are a mental patient. You need a frontal lobe transplant, or if that is not within reach, you can just ride it out as long as you are aware of your condition.
Mahakama ni mhimili huru na hufanya kazi kwa uhuru pasipo kuingiliwa na mhimili mwingine wowote ule wala chombo nyingine chochote kile.
 
Kwanini asihamishie ofisi yake huko ili asipate shida ya kusafiri kila mara kwenda huko?

Nadhani ikulu ya Dom tungeijenga Riyadh ama Doha ili mama yetu kipenzi asipate shida ya kupanda ndege kwenda kutafuta fedha za kuwainua Watanzania kiuchumi....

Mama mitano tena jamani, anafanya kazi kubwa sana...
A atafuta pesa ilihali kuna akina KADIKO wengi tu hapa wanavuna pesa mingi bila jasho na bila kulipa kodi
 
Back
Top Bottom