Verrazanno
JF-Expert Member
- Sep 15, 2021
- 454
- 1,011
Nina sababu gani za kumheshimu mtu ambae hana utu ?Uwe na adabu kwa mh Rais na siyo kuandika kwa kuropoka kama mlevi wa gongo.
Jana kuna Mzee kakutwa na hatia ya kuiba bilioni 71 za ATCL, kafungwa miaka 4 au faini mil 12. Kalipa faini kaondoka. Leo kuna Mama kakutwa na minofu 12 ya Faru, kapewa miaka 22 jela. Waarabu wangapi wanasafirisha hizo mali za porini kijambazi?
Hatuna sababu za kuipenda nchi au kumheshimu mtawala au serikali ya watu kama hawa.