Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
Haya Mh. Amewatakia kila la kheri Form four, Kwa hiyo tufanyeje?Ndugu zangu Watanzania,
Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan,amewatakia heri wanafunzi wote kidato cha nne Nchini kwote wanaoanza mitihani yao hii leo.View attachment 3149130View attachment 3149131
Kama huna mtoto huwezi kuelewa.Baki na ujinga wako.Haya Mh. Amewatakia kila la kheri Form four, Kwa hiyo tufanyeje?
Acha ujinga wako ndugu yangu.Hivi yeye ndio anashika simu na ku post?Tumia fuvu lako vizuri
Kwa hiyo hili siyo la Msingi?Fanya mambo ya Msingi mkuu
Hata password ya hiyo account haijui.Hivi yeye ndio anashika simu na ku post?Tumia fuvu lako vizuri
Ila uchawaKama huna mtoto huwezi kuelewa.Baki na ujinga wako.
Mwenye watoto anapata wapi kupost ujinga ujinga kama wako tena asbh kama hii?Kama huna mtoto huwezi kuelewa.Baki na ujinga wako.
Mnahangaika sana enyi wenye roho za kishetaniHata password ya hiyo account haijui.
Inawezekana unalala kama mgonjwa ndio maana unaona kwa sasa ni mapema .wakati watu wanakesha wakifanya kazi.mvivu mkubwa wewe.Mwenye watoto anapata wapi kupost ujinga ujinga kama wako tena asbh kama hii?
Comrade Mwashambwa, mama hawezi ku deal ni vitu kama account za twitter, kuna watu maalum wa shughuli hizo.Mnahangaika sana enyi wenye roho za kishetani
Uchawa sio kazi!Inawezekana unalala kama mgonjwa ndio maana unaona kwa sasa ni mapema .wakati watu wanakesha wakifanya kazi.mvivu mkubwa wewe.
Kwani unafikiri huyo mbubujikwa machozi hajui kuwa anayeendesha hiyo akaunti ya Rais ni mtu mwingine!?Hivi yeye ndio anashika simu na ku post?Tumia fuvu lako vizuri
Umekosa kazi na kukalia ujinga jinga tu.Ukistaajabu ya kuendelea kuchapa kazi utayaona ya kuwatakia kheri kidato cha nne
Kama kawaida yaNdugu zangu Watanzania,
Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan, amewatakia heri wanafunzi wote kidato cha nne Nchini kwote wanaoanza mitihani yao hii leo.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
View attachment 3149130View attachment 3149131