kwa mkataba huu wa DPW amewapa heshima kubwa sana wadogo na wakubwa wa Dubai.sijawahi kukutana na Rais lakini ninapo muona kila mahali anapo kwenda ni mtu mwenye kuheshimu sana binadaamu wenzake awe mdogo au mkubwa, kwake yeye Urais haujamvaa bali kauvaa Urais.......
Kwamba amekuja kutembelea na kwako ama?Rais mwenye upendo na mwenye kuheshimu utu. safi sana
Ni mjane wa kifikra huyo mzeee.Makamba kawekwa kwenye kundi la wajane?
Mmmmmm๐๐๐๐Kwa nyakati tofauti leo Julai 14 2023 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan ametembelea na kumfariji Mama Dorcas Membe Mjane wa Waziri Mstaafu wa Mambo ya Nje Hayati Bernard Membe nyumbani kwake Mikocheni Jijini Dar es Salaam.
Rais Samia pia amemtembelea Katibu Mkuu Mstaafu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Mzee Yusuf Makamba nyumbani kwake Wazo Jijini Dar es Salaam.
Vilevile Rais Samia amemtembelea kumsalimia na kumjulia hali Mjane wa Baba wa Taifa Mama Maria Nyerere nyumbani kwake Msasani Jijini Dar es Salaam.
View attachment 2688103
View attachment 2688104
View attachment 2688105
View attachment 2688106
View attachment 2688107
Nilichokiona kwa maneno yako ni kuwa kupitia picha na video zake ndizo hukupa kuona anao utu na heshima.sijawahi kukutana na Rais lakini ninapo muona kila mahali anapo kwenda ni mtu mwenye kuheshimu sana binadaamu wenzake awe mdogo au mkubwa, kwake yeye Urais haujamvaa bali kauvaa Urais.
viongozi wengine wanapaswa kumuiga sana Rais sio mtu wa kujivuna wala kujisikia yeye ni Rais kiongozi wa juu zaidi lakini ....yuko simple na humble kwa kila mtu......
Hajauza chochote mama wa watu ila tu wewe na CHADEMA na akina Mwabukusi na Tibaijuka mmeamua kutoelewa mnachoambiwa tena kwa maksudi.Wa kuuza rasilimali za Taifa?
Unataka we kama naniHata akiwatembelea haisaidii, sisi tunataka afute mkataba wa kuuza mali asili zetu za Tanganyika.
Na utasikia pumbafu stupid wakati watu wamefunga! hivi wale pumbafu stupid wa ndege yetu issue imefikia wapi kwa maana si kwa hasira zile.sijawahi kukutana na Rais lakini ninapo muona kila mahali anapo kwenda ni mtu mwenye kuheshimu sana binadaamu wenzake awe mdogo au mkubwa, kwake yeye Urais haujamvaa bali kauvaa Urais.
viongozi wengine wanapaswa kumuiga sana Rais sio mtu wa kujivuna wala kujisikia yeye ni Rais kiongozi wa juu zaidi lakini ....yuko simple na humble kwa kila mtu......
Kwani ulitakaje?๐Anatembea na kiti chake?
Hana kazi ya kufanyaRais mwenye upendo na mwenye kuheshimu utu. safi sana