Rais Samia awatembelea Mzee Makamba, Mama Maria Nyerere pamoja na Familia ya Marehemu Membe leo 14 Julai 2023

Rais Samia awatembelea Mzee Makamba, Mama Maria Nyerere pamoja na Familia ya Marehemu Membe leo 14 Julai 2023

sijawahi kukutana na Rais lakini ninapo muona kila mahali anapo kwenda ni mtu mwenye kuheshimu sana binadaamu wenzake awe mdogo au mkubwa, kwake yeye Urais haujamvaa bali kauvaa Urais.......
kwa mkataba huu wa DPW amewapa heshima kubwa sana wadogo na wakubwa wa Dubai.

Umenena vyema ana utu sana mama yetu
 
Yote hayo kayafanya kwa siku moja? Nakuapisha akina Mwigulu na Kitila.
 
Hata akiwatembelea haisaidii, sisi tunataka afute mkataba wa kuuza mali asili zetu za Tanganyika.
 
Kwa nyakati tofauti leo Julai 14 2023 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan ametembelea na kumfariji Mama Dorcas Membe Mjane wa Waziri Mstaafu wa Mambo ya Nje Hayati Bernard Membe nyumbani kwake Mikocheni Jijini Dar es Salaam.

Rais Samia pia amemtembelea Katibu Mkuu Mstaafu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Mzee Yusuf Makamba nyumbani kwake Wazo Jijini Dar es Salaam.

Vilevile Rais Samia amemtembelea kumsalimia na kumjulia hali Mjane wa Baba wa Taifa Mama Maria Nyerere nyumbani kwake Msasani Jijini Dar es Salaam.

View attachment 2688103
View attachment 2688104
View attachment 2688105
View attachment 2688106
View attachment 2688107
Mmmmmm🙄🙄🙄🙄
 
sijawahi kukutana na Rais lakini ninapo muona kila mahali anapo kwenda ni mtu mwenye kuheshimu sana binadaamu wenzake awe mdogo au mkubwa, kwake yeye Urais haujamvaa bali kauvaa Urais.

viongozi wengine wanapaswa kumuiga sana Rais sio mtu wa kujivuna wala kujisikia yeye ni Rais kiongozi wa juu zaidi lakini ....yuko simple na humble kwa kila mtu......
Nilichokiona kwa maneno yako ni kuwa kupitia picha na video zake ndizo hukupa kuona anao utu na heshima.

Wote tukipiga picha/video kila tukio la kuwajali wagonjwa au wafiwa yatima na wenye uhitaji n.k na baada ya hapo tukakuonyesha, najiuliza utatupa daraja gani?
 
Asiwasahau wazee pia kama Butiku, WARIOBA, Prof Shivji nk nk watamsaidia sana kumwambia Kweli.
 
sijawahi kukutana na Rais lakini ninapo muona kila mahali anapo kwenda ni mtu mwenye kuheshimu sana binadaamu wenzake awe mdogo au mkubwa, kwake yeye Urais haujamvaa bali kauvaa Urais.

viongozi wengine wanapaswa kumuiga sana Rais sio mtu wa kujivuna wala kujisikia yeye ni Rais kiongozi wa juu zaidi lakini ....yuko simple na humble kwa kila mtu......
Na utasikia pumbafu stupid wakati watu wamefunga! hivi wale pumbafu stupid wa ndege yetu issue imefikia wapi kwa maana si kwa hasira zile.
 
Back
Top Bottom