Rais Samia awateua Dkt. Mpango na Kassim Majaliwa kuwa washauri wake

hili hata mimi nimelifikiria ILI PALE ANAPOHARIBU IONEKANE SASA WASHAURI WAKE NDIO WANAOMSHAURI VIBAYA
 
Ukiwa na akili zako timamu na ukaanza kuzitumia kuongea kwa usahihi na wakati sahihi mahaka sahihi kuunganisha jamii kujenga nchi badala ya kubomoa ...katika timu hii UTAKUWA UNAHATARISHA MAISHA YAKO .utaonekana ni TISHIO..UTAGEUKA ADUI.

watanakiwa watu ambao wanazifungia akili zao kkabatini..wana kuja na lopo lopo waliojitoa ufahamu wasio na hata tone la aibu wala hofu ya Mungu..
hao ndio wataonekana wanafaa kuendana na kasi iliyopo..machawa pro max.
 
Amejaribu kusogeza watu ambao haendani nao kimtazamo, akitarajia attention ya hadhira ambayo inaamini katika methodology ya hao akina magufulists, anaweza akapata wa 2 au wa 3,ila yeye atabaki kuwa mchafu tu, kwa sababu ni mchafu from the core and essence of her bloody dirty crown.
 
Huyu mama ni shetani,

Hawa wazee wanaenda kuchafuliwa kwa mauaji ya halaiki yaliyofanywa na Serikali ya Samia tarehe 29 October.
 
Anaendana nao. Si hawa hawa ambao alikuwa nao? Wangekuwa hawaendani naye wangekubali teuzi?
 
Halafu nisikie tena watu wanasema eti Mpango alijiondoa kwenye umakamu kwa sababu hakubaliani na Samia. Hawa watu wote wanapigania matumbo yao. Wangekuwa washauri wa kweli wangemwambia ajiuzulu kwa mauaji aliyofanya.
Mfumo mzima umeoza. Hakuna aliye ndani ya mfumo huo aliye na ujasiri wa kujitenga nao.

Hata hawa wanaosemekana kujiweka au kuwekwa pembeni, wanapumzishwa tu ila kurudishwa ni lazima.
 
Ila hii Dunia bhana... Mzee wa watu kajistaafia kaona akae kimya aendelee kulima na kufuga paap keshatajwa Duniani huko tena'.
 
Angekua anapenda ushauri angechukua ushauri wa polepole,gwajima au hata lissu kabla ya uchafuzi mkuu walau angeliepusha taifa na fedheha tuliyoipata
Atauchukuwaje na Mkuu wa nchi yupo Kikwete na Genge lake akina Rostam hawataki ??
 
Ila hii Dunia bhana... Mzee wa watu kajistaafia kaona akae kimya aendelee kulima na kufuga paap keshatajwa Duniani huko tena'.

hawamwachi wanaogopa asije akaanza pirika pirika za kumwondoa Bwana mwenye nchi kikwete. haya yote huyapanga Kikwete
 
Kwa hiyo kaenda kuwaambia hilo kina Kapombe na Feisal?
Lengo ilikuwa ni kuwatuliza watu wa Magufuli. Ilionekana amewapukutisha watu wa karibu wa Magufuli; sasa amewaleta karibu ili watu wasinung'unike na kuonekana kumhujumu. Angetaka wawe washauri wake kwanini Nchimbi amekuwa Makamu wa Rais, kwanini Majaliwa hakuendelea kuwa Waziri Mkuu nafasi ambazo zinawapa nguvu kweli ya kuwa washauri wa Rais kikatiba?
 
Nchi ya maajabu,
Kwa nini aliwatimua sasa kama bado alikuwa anawahitaji!

wasikae bure wakapata akili nje ya mfumo lazima waweze kudhibitiwa na mfumo wa ki Mafia chini ya Boss Kikwete na genge lake
 
Point yangu ya msingi ilikuwa kuuliza kama hiyo ilikuwa audience sahihi kuitangazia habari hiyo.
 
Amewadhalilisha au kulazimika lau wamsaidie kukubalika baada ya kuiba kura. Kama walikuwa wa maana, kwanini aliwaacha?
 
Nchi hii inavijana wajinga saana wasiojua hata uongozi ni nini,kama unabisha soma komenti
 
Watamshauri nini huku washajionea mtu hapendi kuambiwa ukweli!!

Washauri wake wanajulikana ni Prince na Kiziga,ningekuwa Mimi ndiye Mpango ningesisitiza nahitaji kupumzika kwa sasa!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…