a sinner saved by Christ
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 4,014
- 4,600
KWELI kabisa kwanini wasi decline hiyo offer kwa UNYENYEKEVU kabisa ,waseme tu hata afya zao miili yao inakataa,akili zimechoka umri jua limeshazama,hizo nafasi wawaachie VIJANA wenye damu changa inachemka akina POO bashite,na chemba wabobevu wazamivu wa mauchumi,na mstaafu jk chuma mwamba.Watamshauri nini huku washajionea mtu hapendi kuambiwa ukweli!!
Washauri wake wanajulikana ni Prince na Kiziga,ningekuwa Mimi ndiye Mpango ningesisitiza nahitaji kupumzika kwa sasa!!
Mithali 22:1 NENO
Heri kuchagua jina jema kuliko utajiri mwingi; kuheshimiwa ni bora kuliko fedha au dhahabu.