a sinner saved by Christ
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 4,014
- 4,600
Hili ni BWM na JK ndio Waliweza kuvumilia kukoselewa na wakati mwingine kuchukulua upinzani positive ,ili uweze kuvumilia kukoselewa kwanza lazima uwe ha akili tumamu,uwe umepevuka kisiasa,nakumbukaaa kuba wakati JK akawahimiza wana ccm watoke wajibu hoja za wapinzani kwa kuonyesha kile wanekifanya ,wapinzani wakisema hujafanya hiki toka wainyeshe tumefanya hiki na kile..jibu hoja kqa hoja .watakosa cha kusema..Ukishakuwa Rais halafu unatamani kula mtu awe mshauri wako, ujue hapo hakuna Rais. Mara nyingi washauri wanakuangalia usoni mwelekeo wako ndo wanakushauri hivyohivyo unavyotaka. Hakuna mshauri mzuri kama mpinzani wako maana anakupa black and white hapohapo.
upinzani ni kioo chako cha kujitazama wapi pa kurekebisha,internal audit.