Rais Samia awateua Dkt. Mpango na Kassim Majaliwa kuwa washauri wake

Watamshauri nini huku washajionea mtu hapendi kuambiwa ukweli!!

Washauri wake wanajulikana ni Prince na Kiziga,ningekuwa Mimi ndiye Mpango ningesisitiza nahitaji kupumzika kwa sasa!!
KWELI kabisa kwanini wasi decline hiyo offer kwa UNYENYEKEVU kabisa ,waseme tu hata afya zao miili yao inakataa,akili zimechoka umri jua limeshazama,hizo nafasi wawaachie VIJANA wenye damu changa inachemka akina POO bashite,na chemba wabobevu wazamivu wa mauchumi,na mstaafu jk chuma mwamba.

Mithali 22:1 NENO
Heri kuchagua jina jema kuliko utajiri mwingi; kuheshimiwa ni bora kuliko fedha au dhahabu.
 
Rais batili anatafuta kukubalika na kuchafua wengine. Tapeli tu wakisiasa.

Uwezo wa kuunga unga. Hakuna kitu pale.
 
Utoto Majaliwa miaka 60 anatakiwa kuwa kiongozi sio mshauri

Huyu mama muuaji anaweweseka
Angekuwa anampenda na anapenda ushauri wake asingemuachia, angemlazimisha agombee ubunge na kisha aendelee kumtumia kama PM.

Kinachowaponza viongozi wa kiafrika ni unafiki.
​
 
Does this imply anything with regard to the current office holders ?
 
Nchi hii inavijana wajinga saana wasiojua hata uongozi ni nini,kama unabisha soma komenti
Uongozi ni kupora uchaguzi na kufanya mauaji iwapo watu watagoma.
 
Wahuni
 
Heri mimi nisiejielewa sina madhara kwa yeyote katika kutojielewa kwangu,Janga linakuja pale mtu anayepaswa kuwa dira yetu hajielewi
 
Huyu Muisiharamu ana laana tena ya jiwe jeusi.
 
Kikwete anayemshauri mbona hamtangazi, wazee wa watu wamepumzika anataka wanuke wote.
Niliwaambia watu hapa jf miaka minne nyuma kuwa samia ni zigo la mavii alibebeki yoyote anaje libeba basi kajichafua na kinyesi .
 
hahaha keep your enemies closer, yaani mtu aukatae/ajiuzulu umakamu raisi halafu umteue awe mshauri wako? sasa kwa nini ulimuacha aende na ''usingemlazimisha'' aendelee kuwa makamu wako? ...
Hivi ana uwezo wa kukataa hicho cheo kipya?
 
Hivi ana uwezo wa kukataa hicho cheo kipya?

kwanza ukute siajabu hata yeye kasikia kama tulivyosikia sisi na hajaambiwa au kuulizwa kwanza, kwani sidhani kama anaweza kukubali kama ''alikataa'' umakamu uraisi iweje akubali cheo kingine cha kumsadiia raisi? hakuna ambaye anaweza kumsaidia raisi zaidi ya makamu wake, hivyo ni muendelezo wa majungu, fitina na utoto kwa maoni yangu, hakuna jipya, only mind games ...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…