Rais Samia awateua Dkt. Mpango na Kassim Majaliwa kuwa washauri wake

Utoto Majaliwa miaka 60 anatakiwa kuwa kiongozi sio mshauri

Huyu mama muuaji anaweweseka

ANGEMTEUA RUWAICHI AU KITIMA LAKINI TATIZO HATA KULEA MKE NA FAMILY HAWAJAJUA WATAWEZAJE MAJUKUMU YA KITAIFA???
 
Nchi ngumu sana hii!, kwani ukiachana na hawa wastafu walioamua kujipumzikia hakuna watu wengine huku mtaani wanaweza fanya hiyo kazi!!?.

BASI PELEKENI MAJINA YA RUWAICHI,PENGO NA KITIMA AWAPE UTEUZI MFURAHI NYINYI MAKAFIRI
 

KAMA MMEKASIRIKA NENDENI KASHITAKI KWA TEC WAANDIKE WARAKA MWINGINE BASI MAKAFIRI
 

KAMA MMEKASIRIKA NENDENI MKASEME KWA WALE JAMAA ZENU WAVAA MAGAUNI WAANDAE WARAKA MWINGINE MAKAFIRI...
 
Ushahidi mwingine huu kuwa Samia amechanganyikiwa, zile damu za maelfu ya Watanganyika alizomwaga haziwezi kumuacha salama hata kidogo.
 
Ushauri gani wa kujipangia unachopenda kusikia wewe,si kama tume ya CHANDE tu? Huo ni wizi na rushwa ya Wazi.Tangu lini Mshauri wako ukaishi naye nyumbani kwako,adabu mfuate wewe pale unapokuwa na uhitaji.CCM Acheni wizi wa kura na utekaji, Nchi itatulia
 
Wanashauri nini sasa, hivi wakuu mnajua mpaka sasa nchi ipo kwenye mkwamo mkubwa sana
 
Halafu nisikie tena watu wanasema eti Mpango alijiondoa kwenye umakamu kwa sababu hakubaliani na Samia. Hawa watu wote wanapigania matumbo yao. Wangekuwa washauri wa kweli wangemwambia ajiuzulu kwa mauaji aliyofanya.
ili waitwe wahaini, polepole kajaribu umeona. Wameteuliwa ili kusaidia kutuliza upepo
 
Kwani waziri wake mkuu na makamu wa rais hawampi ushauri Hadi akawaokoteze aliowatosa?
Hao aliowaita wakae mguu sawa kwani anataka kuwazamisha kwenye matope alimo!
 

Wakati watu wanauawa MO29 hao washauri si walikuwepo?
 
Anaendana nao. Si hawa hawa ambao alikuwa nao? Wangekuwa hawaendani naye wangekubali teuzi?
Ukishakuwa Rais halafu unatamani kula mtu awe mshauri wako, ujue hapo hakuna Rais. Mara nyingi washauri wanakuangalia usoni mwelekeo wako ndo wanakushauri hivyohivyo unavyotaka. Hakuna mshauri mzuri kama mpinzani wako maana anakupa black and white hapohapo.
 
Alitaka jeshi litoke kwenye force na kuwa service.

Wafuate PGO kwenye ukamataji ,alisema wakienda kukamata wafuate taratibu na hakuna kuvaa mask za kujificha na wanatakiwa kuvaa mavazi rasmi ya jeshi la polisi wakienda kumkamata mtu.
Dah ndo hicho TU kikamtoa jamaa kazini? Kweli nchi imeoza hii
 
Ndo wakamtetee ICC?
Hivi nani alishasikia majaliwa anabonga kienglish? Mi sijawahi, kabudu ndio sometimes
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…