Naipendatz
JF-Expert Member
- Jul 27, 2011
- 5,096
- 8,234
Mama ni "Magufuli mstaarabu" na "Kikwete mkali", akiendelea hivi atatufikisha mahali flaniUzuri mama anapiga sindano kwa upole huku anakupeti na kupulizia kidogo lakini taratiiibu sindano inapenya [emoji38]
Sababu ipo mkuu liwe fundisho hata kwa maDc na wakurugenzi wenye mitabia ya kunyanyasa na kuonea wafanyabiasharaSasa kuna sababu gani ya kutumbua mtu wakati unakaribia kufanya mabadiliko nchi nzima.
Kuna maeneo tuwe wakweli, hii siyo sawa.Kwahio alingoja kuwatumbua leo wakati kosa lilifanyika lini ? (au alikuwa bado anafanya upelelezi kuhusu makosa na jibu alipata dakika chache kabla ya utumbuzi)?
Nilidhani hizi zama zimekwisha....
Mzee wa mea culpa sijui yupo wapi siku hizi!Hahhahaa huyo wa kwanza aliyeandika barua ya kilio nimekosa nimekosa mimi😂😂😂😂
Huyu mkurugenzi ndio alifanya figisu za wagombea wanaporudisha fomu 2020?
Kama ndivyo aende zake
Mipango miji itasaidia nini kama wananchi wataendelea kuteseka, Bora tunyanganyane hicho kidogo kilichopoKuna maeneo tuwe wakweli, hii siyo sawa.
Nchi Ina Sheria za mipango miji Kama nchi itaendeshwa kwa siasa na uholela ivi hatutakuwa na miji Safi Bora na yenye mpangilio.
Kama ndivyo idara ya mipangomiji ifutwe tuokoe pesa ya kuwalipa watumishi wa idara hiyo nchi nzima maana haina kazi
Baadhi hata hawakukosewa hata hawaelewi lipi ni baya kwa Magufuli ila wanaambiwa nyumbani mambo hayo! Ndo maana nilimuona Mbowe kama hazimtoshi baada ya kujiita shujaa wa kusema jambo la ukabila bila hata ushahidi.Shida Chuki zimezidi mkuu!
Anachunga MbusiiHivi yule Bonge Mmmasai Loota Sanare amepotelea wapi?