Standards Person
JF-Expert Member
- Apr 22, 2021
- 672
- 860
Hata bila nyama imeeleweka na walengwa ndio hivyo tenaTulia mkuu uandike vizuri
Uweke na nyama za kutosha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata bila nyama imeeleweka na walengwa ndio hivyo tenaTulia mkuu uandike vizuri
Uweke na nyama za kutosha
Hata DC na DED ni Watanzania piaAsante sana Rais kwa kuwa mtetezi wa kweli wa watanzania
Tuliokula chumvi, hakuwahi kuwa mtangazaji RTD huyu kweli? Kama hujui RTD tulia usijibuKumradhi Wana JF:
DC aliyetumbuliwa sio Ms Regina Chonjo DC aliyehudumu Wilaya za Morogoro Mjini na Nachingwea.
Ms Regina Chonjo alistaafu Juni 21, 2020 na nafasi yake aliteuliwa Mheshimiwa Bakari Msulwa
View attachment 1819423
View attachment 1819424
View attachment 1819426
Kasifiwa mbio anapitiliza hata kwaoHuyu hana tofaut na mwendazake,
Usilazimishe wafananeWalipoambiwa
Samia = Magufuli
hawakuelewa? Unyumbu wao umewaponza
duh nawahi nafasi kama ulivyowahi kuandika
Acha utoto mayala ni kijana au huelewi kijana ni MTU wa namna ganiKama Pasco hakikosa kuteuliwa kwenye hizi nafasi mbili zilizo wazi hapa natembea uchi siku tatu mfululizo halafu najiua kutakuwa hamna haja ya kuendelea kuishi ile dhana ya bad luck itajidhihirisha waziwazi
Shaban Kissu kaja na jina jingne eti.Usilazimishe wafanane
1. Samia hateki watu
2. Samia hafokei watu
3. Samia anatambua Corona ipo
4. Samia anajipendekeza kwenye uhusiano wa kimataifa
5. Samia hapendi sifa za kupakwa mafuta kwa mgongo wa chuma (Ref: SABAYA)
6. Samia sio mshamba wa kujiona yeye ana akili kuliko watu wote eti kwa sababu tu ni Rais
7. Samia hana strategies za kuua upinzani
Usimfananishe kabisa na yule "MWANAKWENDAZAKE NA AENDE"
Hizo ni dalili za ukichaa kuwa makiniKama Pasco hakikosa kuteuliwa kwenye hizi nafasi mbili zilizo wazi hapa natembea uchi siku tatu mfululizo halafu najiua kutakuwa hamna haja ya kuendelea kuishi ile dhana ya bad luck itajidhihirisha waziwazi
cc: Pascal MayallaKama Pasco hakikosa kuteuliwa kwenye hizi nafasi mbili zilizo wazi hapa natembea uchi siku tatu mfululizo halafu najiua kutakuwa hamna haja ya kuendelea kuishi ile dhana ya bad luck itajidhihirisha waziwazi
Wewe vipi? Tatizo unadhani utapata nafuu bila kujitahidi. Utaishia kutukana bila hata faida kwa yanayotokea. Usikalie kulia lia mwaka mzima, wenzako tumeshakata kona na tunamwangalia mama kwa analytical mind.Tofauti wanayo kubwa sana mwendakuzimu alikuwa liuaji na jizi
Lini JPM alionea wamachinga wewe kima?Mkuu mbona tofauti ni kubwa sana ingekuwa ni Magufuli hao wawili wangepandishwa vyeo kuwa RC na mwingine pengine kuwa RAS. Magufuli alikuwa anapenda wateule wake wawe harsh kwa wananchi rejea Chalamila kuwatandika viboko wanafunzi na yule Mkuu wa wilaya ya Arusha Khenan kuwatandika viboko watu wazima hadharani wakati kuna vyombo vya kisheria.
Rais Samia hataki haya ndo maana kawaondoa fasta.Uonevu zama zake zimekwisha.
Paskali mayala a.K.A njaa ni kijana au babu...Kama Pasco hakikosa kuteuliwa kwenye hizi nafasi mbili zilizo wazi hapa natembea uchi siku tatu mfululizo halafu najiua kutakuwa hamna haja ya kuendelea kuishi ile dhana ya bad luck itajidhihirisha waziwazi
Wenye vichwa vyenye kumbukumbu ndogo changieni kule kwenye jukwaa la mapenzi. Munachafua siasa zetu bhana! Kabwe alitumbuliwa kwa sababu gani pale Dar? Mkuu wa wilaya ya Kahama, Fadhili Nkurlu alitumbuliwa kwa sababu gani?Mkuu mbona tofauti ni kubwa sana ingekuwa ni Magufuli hao wawili wangepandishwa vyeo kuwa RC na mwingine pengine kuwa RAS. Magufuli alikuwa anapenda wateule wake wawe harsh kwa wananchi rejea Chalamila kuwatandika viboko wanafunzi na yule Mkuu wa wilaya ya Arusha Khenan kuwatandika viboko watu wazima hadharani wakati kuna vyombo vya kisheria.
Rais Samia hataki haya ndo maana kawaondoa fasta.Uonevu zama zake zimekwisha.
zoezi lililofanyika katika ukumbi wa halmashauri hiyo Msimamizi wa Uchaguzi jimbo la Morogoro mjini, Sheila Lukuba amemtangaza mgombea ubunge wa CCM jimbo la Morogoro mjini Abdulla Aziz Abood ameshinda baada ya kupata kura 171,349. Devotha Minja wa Chadema amepata kura 14,139 Waliojiandikisha walikuwa 286,840 Waliopiga kura 188,030 Kura Hali 186,770 Kura zilizokataliwa ni 1259
Shida Chuki zimezidi mkuu!Wenye vichwa vyenye kumbukumbu ndogo changieni kule kwenye jukwaa la mapenzi. Munachafua siasa zetu bhana! Kabwe alitumbuliwa kwa sababu gani pale Dar? Mkuu wa wilaya ya Kahama, Fadhili Nkurlu alitumbuliwa kwa sababu gani?